Friday, May 30, 2014

Ujamaa Hip Hop Darasa - Ujamaa (Audio & Video)

Vijana wa Ujamaa Hip Hop Darasa lililo chini ya Fid Q wameachia audio na video ya wimbo wao mpya unaoitwa'Ujamaa' usikilize na utazame hapa
Share:

Thursday, May 29, 2014

Ommy Dimpoz - Ndagushima (Audio)

Ommy Dimpoz ameachia rasmi audio ya wimbo wake 'Ndagushima' ambao video yake inafanya poa sana katika vituo mbalimbali vya Television.Wimbo huu umetayarishwa na Tudd Thomas.
Usikilize na Download hapa
Share:

Mr Digital - Tell Me (Official Video)

Tazama video mpya ya Msanii Mr Digital Kutoka Babati Manyara.audio imetengenezwa ndani ya studio za Jams Records,Muongozaji wa video hii ni Dir Lameck.kwa mawasiliano zaidi unaweza kumcheki Mr Digital kwa simu namba 0655 922 000
Share:

Sajna - Mpiro Mpiro (Audio)

Msanii kutoka Rock City,Mwanza 'Sajna' ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Mpiro Mpiro',Imetengenezwa ndani ya studio za K-Records na Mtayarishaji wa ngoma hii ni Lolipop
Isikilize na Download hapa
Share:

Chiku K ft. Tifa, Brown Suga, Stoch & Walter Chilambo - Wanashindana (Audio)

Rapper Chiku K ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Wanashindana',ndani ya ngoma hii amewashikilisha wasanii kama Tifa, Brown Suga, Stoch na Walter Chilambo.Studio iliyoandaa ngoma hii ni Tongwe Records.
Isikilize na Download hapa
Share:

Mansu-Li ft. Damian Soul - Kila Sababu (Audio)

Rapper Mansu Li ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Kila Sababu', ndani ya ngoma hii amemshirikisha Msanii wa miondoko ya RnB 'Damian Soul',ngoma imetayarishwa ndani ya Studio  za Tongwe Records.Isikilize na Download hapa
Share:

Wednesday, May 28, 2014

J. Martins - Dance 4 Me (Audio)

Msanii J. Martins kutoka Nigeria ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Dance 4 Me' 
Hello friends, My New Song titled "Dance 4 Me" is Dedicated to all our beautiful women out there and those who love and respect our beautiful women! Download and enjoy Dance 4 Me.Aliandika kupitia ukurasa wake wa Facebook.
Isikilize na Download hapa
Share:

Tiwa Savage - Wanted (Official Video)

Msanii wa kike anaefanya vizuri kutoka Nigeria Tiwa Savage amechia video ya wimbo wake mpya 'Wanted'
muongozaji wa video hii ni Moe Musa.Itazame hapa
Share:

Tuesday, May 27, 2014

Nuh Mziwanda - Msondo Ngoma (Audio)

Baada ya kufanya poa na ngoma ya 'Otea Nani' Msanii Nuh Mziwanda ameachia ngoma yake nyingine mpya inayoitwa 'Msondo Ngoma',Ngoma hii imetengenezwa ndani ya Studio za Mazuu Records pia ndani utamsikia Msanii Shilole aka 'Shishi baby' ambaye ndiye 1st lady wa Nuh Mziwanda .Isikilize na Download hapa
Share:

Baby Madaha - Nawaponda (Official Video)

Msanii Baby Madaha aka Gal Blader ambaye yupo chini ya label kubwa jijini Nairobi, Kenya ‘Candy n Candy’, ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Nawaponda’. Wimbo huu umetengenezwa na Producer Joe kutoka Candy n Candy Records. Itazame hapa
Share:

Monday, May 26, 2014

Picha: Utengenezaji wa video mpya ya Chege na Temba 'Wauwe'

 Angalia picha za utengenezaji wa video ya wimbo mpya wa Chege na Temba "Wauwe" ambayo imeshutiwa ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere.wimbo umetengenezwa kwenye studio za Mkubwa na Wanawe Producer ni Shirko na muongozaji wa video hii ni Adam Juma wa Next Level. 
Share:

Nazizi - 254 (Official Video)

Msanii wa Hip Hop, Reggae na Dancehall kutoka Kenya 'Nazizi' ameachia video ya ngoma yake mpya inayoitwa '254'.Ngoma imetengenezwa ndani ya studio za Love Child records zinazomilikiwa na Msanii wa  Reggae na Dancehall 'Wyre'. Producer wa ngoma hii ni 'Ibrahim Alex'.Itazame hapa chini
Share:

Sunday, May 25, 2014

Ommy Dimpoz ft. Vanessa Mdee - Me and You (Refix) (Audio)

Baada ya kuachia ngoma mbili Number One remix ya Diamond Platnumz akimshirikisha Davido na Asante ya AY akimshirikisha Dela, Lamar amekuja na Refix nyingine safari hii amedondosha Refix ya wimbo wa Ommy Dimpoz akimshirikisha Vanessa Mdee "Me and You".Sikiliza na Download hapa
Share:

Saturday, May 24, 2014

Hondwa - Uinuliwe (Gospel Audio)

Msanii wa nyimbo za dini Hondwa Mathias ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Uinuliwe' Usikilize na Download hapa
Share:

Mirror - Kolokolo (Audio)

Msanii kutoka Endless Fame kampuni inayomilikiwa na Super Star Wema Sepetu,
Mirror ambae alifanya poa na ngoma yake ya Baby ameachia ngoma nyingine mpya inayokwenda kwa jina la Kolokolo.Isikilize na download hapa
Share:

Friday, May 23, 2014

Stamina ft. Walter Chilambo - Mguu Pande Mguu Sawa (Lyrics)

Song: mguu pande mguu sawa
Artist: stamina ft walter chilambo
Studio: one love fx
Producer; tiddy hotter
Song writer: stamina (verse),walter (choruss)
Intro;stamina
Yeaaah,,,u know what tiddy
One love fx again men
Iz moro town in da house
Shorwebwenzi on this one
Vers 1(stamina)
Peleka kitanda batani,kama unapenda ukeshe bar/
Sista duu muda hausimami,hata uivulie nguo saa/
Ishi kiushujaa,kama umepanga kambi ya jeshi/
Kati ya maarufu na star,maarufu anaongoza kwa deshi/
Ewe raisi wa wanyama,fanya sensa usisahau/
Mfuasi aliyesaliti chama,huku mjini bonge la nyau/
Tunza bible sio irizi,ufalme wa mbingu hauna fensi/
Ndo maana akifaga mzinzi,mazishi hatufanyi gesti/
Chagua kilicho best,kati ya copy na kupaste/
Je Yule aliyefeli maisha na class alifeli test?/
Hakuna demu anayejiuza,hicho ndo nikijuacho/
Nachojua wanakodisha,unatumia huondoki nacho/
Bitozi msaka mchumba,usiforce unapotemwa/
Piga goti kwa muumba,ikibidi akuumbe tena/
Mguu mmoja pande,mwingine urudishe sawa/
Hiyo ndo ishara ya kiafande,ya kuweka mambo sawa/
Chorus(walter chilambo)
Naamini kama nyuma ulikosea rudi
Weka mambo sawa na plan b
Unaweza fanya bora zaidi (muda bado)
Mguu pande(mojaaaaa)mguu sawa(mojaaaaa)
Nyuma geuka(moja mbili tatu mojaaa)…..x2
Mguu pandeeee(mojaaaaaa)mguu sawa(mojaaaa)
Nyuma geukaaaaaa.
Verse 2(stamina)
Mjini wanyama kibao,cha ajabu wanakula unga/
Mawazo ya vichwa vyao,dingi afe warithi nyumba/
Ewe kengeza,chunga usimcheke chongo/
Cha msingi muombe ebeneza,akupe vision yenye michongo/
Saka chaka kila sehemu,maana pesa ina machale/
Nyie mnaowinda mademu,hivi mna nyota ya mshale?/
Mnyamazie mshenzi,ukimjibu tu anatuna/
Hadi shoga nae ana mpenzi?,kweli madem mna huruma/
Mziki umejaa stress,ambazo haziishagi kwa pombe/
Mastar wamewekeza desi,wanakufa hawana hata ng’ombe/
Underground chondechonde,usiache shule kisa mziki/
Usuperstar una mabonde,na miteremko ya dhiki/
Yesu anarudi lini?,hilo swali ndo ujiulize/
Sio stamina utaoa lini,nitajibu tu niko bize/
Mguu mmoja pande,mwingine urudishe sawa/
Hiyo ndo ishara ya kiafande,ya kuweka mambo sawa/
Chorus(walter chilambo)
Naamini kama nyuma ulikosea rudi
Weka mambo sawa na plan b
Unaweza fanya bora zaidi (muda bado)
 Mguu pande(mojaaaaa)mguu sawa(mojaaaaa)
Nyuma geuka(moja mbili tatu mojaaa)…..x2
 Mguu pandeeee(mojaaaaaa)mguu sawa(mojaaaa)
Nyuma geukaaaaaa.
Vers 3(stamina)
Usitupe mayai kiholela,zalisha ili uache chata/
Maisha baiskeli ya delela,ukiinama chako unapata/
Kumpa kibogoyo mnofu,kisa nyama bei aghali/
Ni sawa na kumteta kipofu,huku kifikra anaona mbali/
Hakuna zali la mentali,kwenye sayari ya kupendwa/
Mlevi mnywa safari,je unajua unapokwenda?/
Acha mashauzi,sista duu genge linalipa/
Ujanja sio kwenda south,au china ili ukawe striper/
Mapenzi ni kutendwa,mpendaji jiamini/
Sharo ukiona unapendwa,ujue una nyota ya ukimwi/
Ni sawa na uote,usiku una kiss na jini/
Halafu uamke ujikute,una lips stick kwenye ulimi/
Unahitaji akili,sio mashavu yenye dimpoz/
Mwanaume jasiri,hajichubui kisa ana pimpoz/
Mguu mmoja pande,mwingine urudishe sawa/
Hiyo ndo ishara ya kiafande,ya kuweka mambo sawa/
Chorus(walter chilambo)
Naamini kama nyuma ulikosea rudi
Weka mambo sawa na plan b
Unaweza fanya bora zaidi (muda bado)
 Mguu pande(mojaaaaa)mguu sawa(mojaaaaa)
Nyuma geuka(moja mbili tatu mojaaa)…..x2
Mguu pandeeee(mojaaaaaa)mguu sawa(mojaaaa)
Nyuma geukaaaaaa.
Share:

Joshma - Matatizo (Audio)

Wimbo huu unazungumzia matatizo ya kinyumba zaidi na kimaisha kati ya mke na mume haswa lipo kwenye kutokua na kipato kikubwa na kati yao mwanamke kutokua na uvumilivu kutokana na maisha halisi ya mumewe na kazi anazofanya kwahiyo katika wimbo huu unazungumzia zaidi wanawake kutokua na uvumilivu na kipato cha mwenza wake.

Share:

Christian Bella ft. Ommy Dimpoz - Nani Kama Mama (Audio)

Sikiliza na download wimbo mpya wa Christian Bella akimshirikisha Ommy Dimpoz wimbo unaitwa Nani kama Mama, mdundo umetengenezwa na Man Water.
Share:

Matheo Nzengo - Tuhurumie (Gospel Audio)

Msanii Chipukizi wa nyimbo za dini kutoka Mwanza Matheo Zengo ameachia wimbo wake mpya 'Tuhurumie'. Wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio za Sound Lab Records zilizopo Usagara jijini Mwanza.Usikilize na download hapa
Share:

Stamina ft. Walter Chilambo - Mguu Pande Mguu Sawa (Audio)

Rapper Stamina ameachia ngoma yake mpya Mguu Pande Mguu Sawa akimshirikisha Walter Chilambo.Ngoma imetengenezwa na Producer Tiddy Hotter kutoka Studio za One Love Fx.Isikilize na Download hapa
Share:

Thursday, May 22, 2014

Shakira - La La La (Brazil 2014) ft. Carlinhos Brown (Official Video)

Baada ya kufanya poa sana na wimbo wake 'wakawaka' kwenye kombe la dunia mwaka 2010,Shakira amerudi tena na kibao kingine 'La La La' maalum kwenye kombe la dunia mwaka huu ndani yake imehusisha familia nzima ya Shakira, mwanae pamoja na mpenzi wake ambaye ni mwanasoka wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Spain Gerard Pique. Wachezaji wengine walionekana kwenye video hiyo ni Lionel Messi, Aguero, Radamel Falcao na wengine wengi. Tazama Video yake hapa
Share:

PNC ft. Dully Sykes - Sina Mpango nawe (Audio)

Share:

Wednesday, May 21, 2014

AY ft. Lamar - Asante (The Refix) (Audio)

Share:

Mb Dog - Mbona Umenuna (Official Video)

Share:

Tuesday, May 20, 2014

Monday, May 19, 2014

Sunday, May 18, 2014

Nikki Mbishi - Natoka Tanzania (Audio)

Share:

Jaggar ft. Ze Nova - Birthday (Official Video)

Share:

Elly G - Wanataka Niongee (Audio)

Share:

Ommy Dimpoz - Ndagushima (Official Video )

Share:

Saturday, May 17, 2014

Mwasiti - Serebuka (Official Video)

Share:

Friday, May 16, 2014

Ed Mc ft. Foby - Mikono Mitupu (Audio)

Share:

C-Sir madini - Kosa Gani (Audio)

Share:

Thursday, May 15, 2014

Matirio the IQ ft. Future Jnl - Mapito (Audio)

Share:

Linex - Honga Honga (Audio)

Share:

JCB ft. Fid Q & Kala Pina - Sina Muda (Audio)

Share:

Bob Haisa - Bhatoja (Official Video)

Share:

Wednesday, May 14, 2014

TID ft. Jay Moe - Chumvini (Audio)

Share:

Baby Madaha – Nawaponda (Audio)

Share:

Rama K - Msako Umeanza (Official Video)

Share:

Tuesday, May 13, 2014

Rama K ft. Lucky Shaz - Nakomaa (Audio)

Share:

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support