Thursday, July 31, 2014

New Music : Professor Jay - Tatu Chafu

 Professor Jay ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Tatu Chafu' imetayarishwa na Villy kutoka Mwanalizombe Studios.Isikilize na Download hapa
Share:

New Music : Flora Mvungi Feat. H-Baba - Kidogo

Msanii wa filamu Tanzania,Flora Mvungi ameachia ngoma yake mpya Kidogo akimshirikisha Mumewe ' Hamis Baba a.k.a H-Baba' Mtayarishaji ni C9. Isikilize na Download hapa
Share:

Wednesday, July 30, 2014

Video : Diamond akihojiwa Marekani baada ya ushindi wa AFRIMMA

Tazama video ya Diamond Platnumz akihojiwa Marekani baada ya ushindi wa AFRIMMA bofya hapa http://www.youtube.com/watch?v=Tfi8W5KzkYc
Share:

New Music : Mfashist Feat. Rock - Japo Suna

Download na sikiliza wimbo wa kwanza wa Mfashist 'Japo Suna',Umefanywa na producer Tira K na Beat imetengenezwa na Noizmekah ipo kwenye mixtape ya biashara ngumu.
Share:

New Music : King Yk - Malkia

Download na sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Yk inaitwa Malkia.Mtayarishaji ni Mtanzania Bamuyu kutoka DarkStone Records.
Share:

Brand New Single : Fuse ODG Feat. Angel - T.I.N.A.

Baada ya kushika chart za juu na ngoma ya Dangerous Love aliyomshirikisha 'Sean Paul'.Msanii kutoka Ghana,'Fuse ODG' amerudi tena na ngoma nyingine mpya inayoitwa 'T.I.N.A' akimshirikisha Msanii wa R&B 'Angel' kutoka Uingereza.Mtayarishaji ni Kill beatz kutoka nchini Ghana.Isikilize hapa
Share:

New Music : Lamar Feat. Chege - Uswazi Take Away (The Refix)

Kazi nyingine ya producer Lamar sasa hivi ni kuzitengenezea version tofauti baadhi ya hit singles za bongofleva project ambayo ameianza zaidi ya mwezi mmoja uliopita.
Leo ametupa nafasi ya kuisikiliza ‘Uswazi Take Away’ ya Chege.
Share:

New Music : Deddy - Tujimwage

Deddy ameachia ngoma yake mpya iitwayo Tujimwage,Mtayarishaji ni Dupy kutoka Uprise Music.Isikilize na Download hapa

Share:

Tuesday, July 29, 2014

New Music : Maheeda - Can You Handle It

Nigerian Rapper, singer, social media phenomenon, beauty queen of controversy MAHEEDA,
is asking if you can handle it with her new hot single Prod. by TeeBeeO
"CAN YOU HANDLE IT".
MAHEEDA always brings something new and different to the table to suit all kinds of taste buds.
Maheeda will be touring Australia in september and is currently in nigeria.
Enjoy this new dance track and follow Maheeda @maheedanigeria and M9JA1 on instagram
Share:

New Video : Bx Feat. Mr Blue, Nyandu Toz & Young Dee - Kesho

Tazama video mpya kutoka kwa Bx akiwa na Mr Blue, Nyandu Toz na Young Dee inaitwa 'Kesho'.Muongozaji ni Nick Dizzo kutoka Focus Films.
Share:

Monday, July 28, 2014

Video : Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel

Mkasi Wiki Iliyopita na Aunt Ezekiel Unaweza kuangalia kupitia hapa https://www.youtube.com/watch?v=BLaFf50kjPA
Share:

Sunday, July 27, 2014

New Video : Kcee – Ogadinma

Nigerian Artist 'Kcee' presents a new music video 'Ogadinma' from his Takeover album.Directed by Aje Films.
Share:

Dmmoze One Feat. First Godfrey (EBSS) - Najiuliza (Audio)

"Kwajina naitwa Dmmoze One(1) Nimsanii wa Muziki wa Kizazi kipya Tanzania Huu ni wimbo wangu wa kwanza kuingia studio na kurekodi kama official track,Ambayo inatambulika kwa jina la  NAJIULIZA  iliofanyika katika studio ya spirty iliopo Dar es Salaam chini ya producer C91,Nilioamua kumshirikisha msanii ajulikanae kama first godfrey (EBSS) mwenye nyimbo yake ya suprise chini ya producer C91"
Share:

Ayler - Nishampata (Audio)

Msanii Ayler kutoka Arusha ameachia ngoma yake mpya iitwayo Nishampata, Mtayarishaji ni Marco Chali.Isikilize na Download hapa
Share:

Saturday, July 26, 2014

Teso Boy - Jala Mijeli (Official Video)

Tazama video mpya kutoka kwa Teso Boy iitwayo Jala Mijeli,audio imetayarishwa na Naroh Stress kutoka Rash Record na video imeongonzwa na Pizzo Mtena kutoka Skillz Videos
Share:

Darasa Feat. Osman - Sio Mbaya (Official Video)

Rapper Darasa ameachia video ya ngoma yake mpya "Sio Mbaya" akimshirikisha Osman,Audio imetayarishwa ndani ya studio za AM Records na Muongozaji wa video ni Hanscana.Itazame hapa
Share:

Barnaba - Wahalade (Official Video)

Barnaba ameachia video ya ngoma yake mpya inayoitwa 'Wahalade' ambayo ipo katika mahadhi ya mduara.Itazame hapa
Share:

Friday, July 25, 2014

Dully Sykes - Togola (Audio)

"Togola" Ni mkwaju mpya wa Prince Dully Sykes akiwa ameutayarisha yeye mwenyewe ndani ya studio za 4.12.Isikilize na Download hapa
Share:

Exclusive : Alikiba - Mwana & Kimasomaso (Audio)

Baada ya wapenzi wa muziki Tanzania kusubiri kwa muda mrefu sasa wamepata nafasi ya kujiburudisha na ngoma mpya kutoka kwa Alikiba. Tarehe 25 Julai, 2014 Alikiba ameachia single mbili mpya kwa wakati mmoja ziitwazo “Mwana” na “Kimasomaso”. Alikiba anajulikana ndani na nje ya Tanzania kwa hit zake kama Cinderella, Mapenzi yanarun dunia, Single boy, na Dushelele. Cinderela ndiyo wimbo ambao mpaka sasa umeweka rekodi ya kuuza copy nyingi katika Afrika Mashariki mwaka 2008. Mwaka 2012 Alikiba alishinda tuzo ya best Rhumba/ Zouk na wimbo wake wa “Dushelele” katika tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards. Alikiba anajulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kuimba na utunzi wa nyimbo pamoja na kuwa mburudishaji mkali sana katika show zake za live na mpaka sasa ametembea nchi nyingi sana duniani kuburudisha wapenzi wa muziki. Sasa unaweza kupata nyimbo mbili mpya za Alikiba bure katika tovuti ya www.mkito.com
Share:

Thursday, July 24, 2014

Country Boy Feat. Mr Blue – Mchaka Mchaka (Audio)

Country Boy ameachia ngoma yake mpya iitwayo Mchaka Mchaka akimshirikisha Mr Blue,Mtayarishaji ni Mesen Selekta kutoka Defatality Music.Isikilize na Download hapa
Share:

Skylight Band - Pasua Twende (Audio & Video)

Skylight Band wameachia ngoma yao mpya  iitwayo 'Pasua Twende' imefanyika kwenye studio zao za Skylight Production .Isikilize,Download na Itazame hapa
Share:

Wednesday, July 23, 2014

Mavins Feat. Don Jazzy, Tiwa Savage, Dr SID, D'Prince, Reekado Banks, Korede Bello, Di'Ja - Dorobucci (Official Video)

Enjoy the offcial video for Mavin Records Hit single Dorobucci featuring Don Jazzy, Tiwa Savage, Dr SID, D'Prince, Reekado Banks, Korede Bello, Di'Ja. Directed by Nick Molotov and shot on location in South Africa the Video Also features a cameo appearance by the Winner of the Channel O Mavin superfan competition.
Share:

New Music : Jaguar - One Centimeter

Msanii kutoka Kenya, Jaguar ameachia ngoma yake mpya "One Centimeter" imetayarishwa ndani ya Studio za Main Switch. Isikilize na Download hapa
Share:

New Music : Sauti Sol - Sura Yako

New single Sura Yako (Swahili for Your Face) by East Africa’s top band Sauti Sol (Kenya). The song is the third single off the group’s third album “Live and Die in Africa” dropping this year. Sura Yako is written and produced by Sauti Sol under Sauti Sol Entertainment.
Share:

Tuesday, July 22, 2014

Waje Feat. Tiwa Savage - Onye (Official Video)

Nigerian songstress Waje premieres the video of her single Onye featuring  Tiwa Savage,Directed by Kemi Adetiba.Watch
Share:

Young Killer Feat. Banana Zoro - Umebadilika (Audio)

Young Killer Msodoki ameachia ngoma yake mpya 'Umebadilika' akimshirikisha Banana Zoro, Mtayarishaji ni Dee Classic na Man Walter.Isikilize na Download hapa
Share:

Sunday, July 20, 2014

Lamar Feat. Navy Kenzo - Chelewa (The Refix) (Audio)

Lamar anaendelea na Project yake ya kuzirudia ngoma za bongo na kuzitengeneza katika mahadhi ya dance,Safari hii ameachia ngoma ya Navy Kenzo 'Chelewa'.Isikilize na Download hapa
Share:

Makamua Feat.Tanah Wa Tanchi & Fidempah - Mi Lover (Audio)

Download na Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Makamua akimshirikisha Tanah Wa Tanchi na Fidempah inaitwa Mi Lover
Share:

Saturday, July 19, 2014

Young Dee - Rockstar (Official Video)

Young Dee ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo Rockstar,Audio imetayarishwa na Maximilian, Erastone Machine, Moses Kinanda, na Allan Mapigo.Muongozaji wa video ni Enos Olik.Itazame hapa
Share:

Stamina Feat. Nay Wa Mitego - Huko Kwenu Vipi (Audio)

Stamina ameachia ngoma yake mpya iitwayo Huko Kwenu Vipi akimshirikisha Nay Wa Mitego, Mtayarishaji ni Mr T Touch kutoka Seductive Records.Isikilize na Download hapa
Share:

Friday, July 18, 2014

Hafsa Kazinja - Mlala Nje (Official Video)

Hafsa Kazinja ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo Mlala Nje,Audio imetayarishwa na Ema The Boy na Muongozaji wa Video ni Meja.Itazame hapa
Share:

Stella Mwangi Feat. Kristoff & Khaligraph Jones - Biashara (Official Video)

Stella Mwangi is out with her new smash hit BIASHARA!´Biashara´ is a swahili word for ´Business´.
The song is about the struggle for money, power and respect in the corporate world.Song produced by Rumblin. Watch
Share:

Fuse ODG Feat. Sean Paul - Dangerous Love (Official Video)

Msanii kutoka Ghana, Fuse ODG ameachia video ya wimbo wake mpya 'Dangerous Love' akimshirikisha Sean Paul kutoka Jamaica.Audio imetayarishwa na Killbeatz pamoja na Di Denius.Itazame hapa
Share:

Stereo Feat. Ben Pol - Usione Hatari (Official Video)

Tazama video mpya kutoka kwa  Stereo akimshirikisha Ben Pol inaitwa Usione Hatari.Audio imetayarishwa na DX kutoka Noizmekah Studio na Muongozaji wa video ni Adam Juma kutoka Next Level Production
Share:

Introducing Toto Shine Magazine

I’m so excited that one of the projects that is so dear to my heart (to empower women and children) for the last 3 years I have been working very hard on it, is soon to become a reality…

The Toto Shine Magazine is now looking for drawings, poems or short stories from children ages 6 -14.

This magazine is for the whole East Africa region and beyond, so we want as many kids from Tanzania as possible to participate.  

I do remember when I was a little kid Mama na Mwana show read something I sent to them on the radio that was one of my best days. Also I answered some questions and they mailed me a congratulatory letter for being one of the winners. That little piece of paper I received was one of my inspirations growing up and I kept it for so many years.....

Motivate your kids to participate.  Thanks to my very good friends who believe me on this project so far we pay US $20  if we use each drawing, story or poem on our magazine. 

It is not just funny to earn money while still a kid but its also empowers. That little achievement your child, niece or nephew will receive can be a solid foundation of his/her ambition and determination to do much more in life.

The phone app is coming soon to easily update your kid’s work direct from your phone or tablet.  

Tell you kids, nieces and nephews and everyone you know. From abstract art and traditional drawing to sketching, painting, or doodling or perhaps it’s something that symbolizes the culture or maybe it’s a moment in her/his life that stands out. It could be a character he/she has created, or a drawing of a favorite pet. We are looking for it all. 

For poems we prefer non-rhyming poetry (free verse poems) though if your kid prefers rhyming poetry don’t hesitate to send it to us. 

For short stories 1500 words or fewer works best for our readers’ ages. 

For a chance your kid to be accepted make sure you or a teacher carefully read his/her writing or look at his/her artwork before submitting, and then consider any suggestions to make it better. Often, there are events in stories that don’t make sense, and having someone read it and make suggestions always helps! 

You or your child/niece/nephew must be 6-14 years old to participate.

Follow us at @totoshinemag and facebook ID Toto Shine for more updates 
The website www.totoshine.com is soon coming 

Also for those who would like to support our effort you can download our media kit at http://www.kwanzapress.com/Toto%20Shine%20media%20kit.pdf

Best Regards,
Pauline
Share:

Thursday, July 17, 2014

Stopa The Rhymecca - Mapenzi na Maisha (Audio)

Download na Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Stopa The Rhymecca inaitwa Mapenzi na maisha.
Share:

New Music : Linah - Ole Themba

Linah ameachia ngoma yake mpya iitwayo Ole Themba Mtayarishaji ni Uhuru..Isikilize na Download hapa
Share:

WizKid - Show You The Money (Official Video)

The tag team of EME & STARBOY are proud to jointly present to you the brand new video for WizKid's "Show You The Money"... the video was shot on location in the exact same hood that Wiz grew up in, and shows that he hasn't forgotten his roots as he celebrates with everyone, young and old... this one is sure to keep global dance floors rocking. The video was directed by Patrick Ellis, and the jam was produced by Shizzi. We hope you enjoy this as you watch.
Share:

Koba Feat. Dully Sykes - Kizungumkuti (Official Video)

Tazama video mpya kutoka kwa Koba akimshirikisha Dully Sykes inaitwa  Kizungumkuti.Audio imetayarishwa ndani ya studio za Digital Vibes na Studio 4.12 mtayarishaji akiwa ni GQ.Video imeongozwa na Henxer Films
Share:

Chege & Temba Feat. Malomboso - Wauwe (Offcial Video)

Chege na Temba wameachia video ya ngoma yao mpya inayoitwa 'Wauwe' wakimshirikisha Maromboso kutoka Mkubwa na Wanawe,Mtayarishaji ni Shirko pamoja na Marco Chali.Muongozaji wa video ni Adam Juma kutoka Next Level Production
Share:

Linah - Ole Themba (Official Video)

Linah finally drops the video for "Ole Themba"
The video was shoot in South Africa,
Lovely video from Linah and good directing skills from GODFATHER.Watch
Share:

Wednesday, July 16, 2014

Kalapina Feat. Q Chillah - Hip Hop Is Alive (Official Video)

Tazama video mpya kutoka kwa Kalapina akimshirikisha Q Chillah inaitwa  Hip Hop Is Alive,Audio imetayarishwa ndani ya studio za Rubby Records na Muongozaji wa video ni Nick Dizzo kutoka Focus Films
Share:

Matokeo ya kidato cha Sita 2014

Matokeo ya Kidato cha sita 2014 bofya hapa http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE.htm kutazama
Share:

Matokeo ya Ualimu 2014

Matokeo ya ualimu 2014 bofya hapahttp://www.necta.go.tz/matokeo2014/ualimu.html kutazama
Share:

Peter Msechu Feat. Amini - Nyota (Audio)

Peter Msechu ameachia ngoma yake mpya iitwayo Nyota akimshirikisha Amini, Mtayarishaji ni Amyz kutoka C9 Records.Isikilize na Download hapa
Share:

Tuesday, July 15, 2014

Y Tony - Shitobe (Audio)

Download na Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Y Tony inaitwa Shitobe, imetayarishwa na Abbar Process kutoka Vipaji Tz
Share:

Rich Mavoko - Turururu (Audio)

Download na Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Rich Mavoko iitwayo Turururu,imetayarishwa na Bob Junior kutoka Sharobaro Records.
Share:

D knob - Njaa Ya Mkwanja (Audio)

Baada ya kufanya poa na ngoma ya Nishike Mkono D knob amedondosha ngoma nyingine mpya iitwayo "Njaa Ya Mkwanja" imetayarishwa na Villy David kutoka Mwanalizombe Studios.Isikilize na Download hapa
Share:

Bracket - Nana (Official Video)

Nigerian pop group Bracket has released a brand new video 'Nana' Directed by Clarence Peters.Watch
Share:

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support