Sunday, August 31, 2014

New Video : Flora Mvungi Feat. H-Baba - Kidogo

Hii ni video mpya ya Msanii wa filamu Tanzania 'Flora Mvungi' a.k.a H Mama akimshirikisha H Baba inaitwa Kidogo. Video imefanywa na Kwetu Studios na audio ni C9.Itazame hapa
Share:

Saturday, August 30, 2014

New Music : Dabo - I love You

Siku ya leo Msanii wa Ragga/Dancehall Dabo ambaye aliwahi kushinda tuzo wa KTMA 2014 ana funga ndoa na pia anachia ngoma mpya inaitwa "I Love You". Tumpe Dabo support na hongera kubwa. Tayari wimbo huu upo hapahttps://mkito.com/song/i-love-you/2449
Share:

Friday, August 29, 2014

New Music : Snura - Jidabue

Snura ametoa ngoma mpya leo inaitwa "Jidabue". Tayari ipo hapa https://mkito.com/song/jidabue/2465

Share:

Ngoma 3 na video moja mpya kutoka P Square

P square wameachia ngoma tatu mpya pamoja na video ya wimbo mmoja waliomshirikisha Rapper T.I kutoka Marekani. 
kupitia website yao wameandika "To our fans all over the world, the wait is over. Our 6th album is almost ready for you but just before then, here are 3 new singles for #TeamPSquare. Enjoy!"
Bonyeza katika majina ya ngoma hapo chini kudownload
Share:

New Video : Nay Wa Mitego - Mr Nay

Hii ni Video Nyingine Kutoka Kwa Msanii Wa Hip Hop Nay Wa Mitego Iliyotengenezwa Na Kevin Bosco Jnr Wa Decent Media.Audio ilitayarishwa na Mr. T Touchez.Itazame hapa
Share:

New Music : Stereo ft. Victoria Kimani - Wako (Never let u down)

Hii ni kazi mpya ya Stereo akimshirikisha Victoria Kimani inaitwa Wako (Never let u down). Isikilize na Download
Share:

Wednesday, August 27, 2014

New Video : One Six - Maya


One Six ameachia video ya ngoma yake mpya "Maya", imeongozwa na Erick Backamaza.Bofya hapahttps://www.youtube.com/watch?v=Iak7-Es5qwo kuitazama
Share:

New Video : Bob Junior - Bolingo

Bob Junior ameachia video ya ngoma yake mpya "Bolingo" imeongozwa na Khalfani.Bofya hapahttps://www.youtube.com/watch?v=rydOymFkwco kuitazama
Share:

New Music : Nikki Mbishi - Hands Down Low

Hii ni kazi mpya ya Nikki Mbishi inaitwa Hands Down Low Isikilize na Download hapahttps://mkito.com/song/hands-down-low/2341
Share:

New Music : Amili Mili Feat. Aslay - Nikupeti Peti

Mkubwa na wanawe wanatambulisha msanii kutoka kituoni kwao anakwenda kwa jina la Amili Mili na wimbo wake unakwenda kwa jina la NIKUPETI PETI,Umetayarishwa na Shirko. Tayari huu wimbo upohttps://mkito.com/song/nikupeti-peti/2435

Share:

New Music : M 2 the P - Siabonga Nkosi

Hii ni kazi mpya ya Msanii M 2 the P akimshirikisha Mtoto wa Mandela  inaitwa Siabonga Nkosi,imefanyika Uprise Music chini ya Mtayarishaji Dupy.Isikilize na download hapa
Share:

Tuesday, August 26, 2014

New Video : Nameless - Butterfly

East African artist Nameless has always had a very close relationship with Uganda. During one of his many tours , a Ugandan fan challenged him to learn some Luganda. This inspired the idea to this song. Butterfly (kiwojolo) is a love song from a man to a woman of a different background. The man needs to learn her language to communicate his feelings to her. He also teaches her his language .

Off his B4iR project is the single Butterfly.

Produced by Washington...
Written by David (Nameless) Mathenge , Saxess Busulwa Male and Emron.
Performed by Nameless
Video by Fenon films , Directed by Bob Dixon
Share:

Video : Mkasi | SO9E10 with AliKiba

 Show ya Mkasi Wiki Iliyopita na Ali Kiba Bonyeza hapa https://www.youtube.com/watch?v=LiMOXRXtAoA kuangalia
 
Share:

New Video : Jaguar - One Centimeter

Msanii kutoka Kenya, Jaguar ameachia video ya ngoma yake mpya "One Centimeter"aliyoshoot Afrika Kusini.  Itazame hapa
Share:

Monday, August 25, 2014

New Video - Cyrill Kamikaze - Alowa

Cyrill Kamikaze ametoa video ya ngoma yake mpya iitwayo "Alowa" Audio Imefanyika AM Records Chini ya producer Manecky na Video imeongozwa na Msafiri Shabani kutoka Kwetu Studios.Itazame hapa
Share:

New Video : SaRaha - Shemeji


A New Brand Music Video from The Dream STUDIOs™, (SaRaha - SHEMEJI Official Music Video) Shot & Directed Raymond Kasoga,For the Booking call +255 713 349 128.
Artist: SaRaha
Song: Shemeji
Producer: Memo Crescendo
Director: Raymond Kasoga
Dancers: Jitambue Group
Designer: Didas Katona
Share:

New Music : Ben Pol - Twaendana

Msanii wa RnB Tanzania, Ben Pol ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Twaendana' Umefanyika ndani ya studio za Noizmekah.Usikilize na Download hapahttps://mkito.com/song/benpol-twapendana/2376
Share:

Sunday, August 24, 2014

Video : Nay wa Mitego - Mr Nay (Behind The Scene)

Hii ni video ya wakati wa utengenezaji wa video ya wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa 'Mr Nay' ilifanyika Nairobi,Kenya.Itazame hapa
Share:

Saturday, August 23, 2014

New Mix Tape : Daz Naledge - Kua Uone

 
Leo Daz Naledge ametoa Mix Tape mpya inaitwa "Kua Uone" . Daz ameamua kufanya kitu cha kipekee na kuunganisha nyimbo zote 9 iwe track 1 ndefu ya dakika 36.

Mixtape title: KUA UONE
Artist KINGS
SONGS
01 Nawachanganyia habari
02 Chana mistari
03 Usijumwae
04 Kua uone
05 Mamluki
06 Acheni Blah Blah
07 Red RED wine
08 mitaa inahitaji
09 Hasira zangu



Share:

NEW MUSIC : PIWA MAGIC,SHADY,SNIGER & CHALLY PLOW - DISCPLINE

ARTIST PIWA MAGIC,SHADY,SNIGER & CHALLY PLOW
SONG DISCPLINE
GENTRE HIP HOP
COUNTRY TANZANIA
Share:

New Music : Raya Maclever Feat. Uwezo - Movie

Download na sikiliza ngoma mpya kutoka RAYA MACLEVER akimshirikisha  UWEZO inaitwa MOVIE,Imefanyika T.A Records
Share:

Wednesday, August 20, 2014

New Video : Joe El Feat. 2face Idibia – Hold On

Msanii kutoka Nigeria, Joe El ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa Hold on akimshirikisha 2face kutoka Nigeria pia.mtayarishaji wa audio ni Hakim Absulsamad na muongozaji wa video ni Clarence Peters.Bofya hapahttp://www.youtube.com/watch?v=CLeVmqRO8iI kuitazama
Share:

New Video : Nicki Minaj - Anaconda

Nicki Minaj ameachia rasmi video ya ngoma yake mpya iitwayo 'Anaconda' Bofya hapahttp://www.youtube.com/watch?v=LDZX4ooRsWs&list=UUaum3Yzdl3TbBt8YUeUGZLQ kuitazama
Share:

Tuesday, August 19, 2014

New Video : Asia - Leo

Asia ametoa video ya ngoma yake mpya iitwayo "Leo" Audio Imefanyika C9 Records Chini ya Producer C9. Tayari ipo hapahttp://www.youtube.com/watch?v=VoSnXeeA4r4
Share:

New Music : Chidi Benz Feat. Diamond Platnumz & AY - Mpaka Kuchee

Download na sikiliza ngoma mpya kutoka Chidi Benz akiwashirikisha Diamond Platnumz na AY inaitwa Mpaka Kuchee Bofya hapahttp://www.hulkshare.com/i3d5ubj986ww
Share:

New Music : Gelly wa Rhymes - Iyolele

Hii ni kazi mpya ya Gelly wa Rhymes inaitwa Iyolele imefanywa  na kusimamiwa na Producer Lil Ghetto.Isikilize na Download hapahttp://www.hulkshare.com/lsspyq8wo740
Share:

New Music : Bushoke - Bwagamoyo

Download na sikiliza ngoma mpya kutoka Bushoke inaitwa Bwagamoyo,Imefanyika Tidy Production,Cape Town-South Africa.Bofya hapahttp://www.hulkshare.com/l869ryr7aww0
Share:

Video : Mkasi | SO9E09 with Dudubaya

Wengi mnamjua kama Dudu Baya, ila jina halisi ni Godfrey Tumaini! Mzaliwa wa Mwanza na mmoja wa watoto 13, Godfrey ana historia ndefu yenye kupanda na kushuka kufikia alipo sasa.
Nyota njema huonekana asubuhi, na kwa Dudu Baya, mapenzi yake kwa muziki hayakuanza juzi wala jana. Alipokuwa anasoma, alitumia muda wa ziada kuimba katika vikundi kanisani na inasadikika kuwa hilo ni moja ya motisha wake kuingia kwenye fani muda ulipowadia.
Mambo yalianza kushika kasi pale alipojisogeza Morogoro katika kupata Elimu zaidi, na ndipo alipotambulishwa rasmi katika muziki kufuatia mapenzi yake kwa kazi za Marehemu Tupac, Mr II na Afande Sele. Katika siku za awali alijulikana zaidi kama Double G ama “Godfrey Gangster” na alifanya maonesho kadhaa kwa mualiko wa wasanii nguli nchini, na hao ndio waliomsaidia kupata kujiamini zaidi kuwa anaweza pata mafanikio.
Nyimbo yake ya “Mwanangu Huna Nidhamu” aliyotengenezea MJ Records ni moja ya nyimbo zilizompa umaarufu wa ghafla Dudu Baya, ikifuatiwa na kazi nyingine kama “Siku Ya Kufa Kwangu”, “Dege la Jeshi”,”Amri 10 za Mungu”, “Tupa Mawe” na “Kunguru Hafugiki”. Wimbo wa “Nakupenda Tu” ni mmoja kati ya Nyimbo zilizopata kupendwa sana sio tu Tanzania bali Afrika Mashariki, na muda si muda Dudu Baya alijikuta akifanya kazi na watayarishaji muziki toka Kenya na Uganda na kupata ufuasi mkubwa sana katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Hivi sasa ana mapishi anayoyafanya chini kwa chini, na alipokutana na Crew ya Mkasi TV, alikua na mengi ya kusema! Tumia muda wako na umsikilize akitueleza mwenyewe hapa hapa!
Enjoy!
L•O•V•E

Share:

Monday, August 18, 2014

New Music : Asia - Leo

Asia ametoa ngoma mpya inaitwa "Leo" Imefanyika C9 Records Chini ya Producer C9. Tayari ipo hapa https://mkito.com/song/leo/2313
Share:

New Music : Jambo Squad Feat. Arusha United - Mamong'oo Remix

Mamong'oo Remix Sasa imetoka Rasmi na inapatikana kwa LINK HII HAPA    https://mkito.com/song/mamongoo-remix-noiz-ft-arusha-united/2283

Pata kuburudika na Ngoma hii ya Kipekee Toka Kwa Jambo Squad aka Mamong'oo wakiwa sambamba na wasanii kumi na tatu wanaowakilisha Kaskazini Tanzania akiwemo StopaRhymeca, Chindo, BouNako, Moplus, Chaba, Nakaaya, FidoVato, SpacDawg, Kajoli Masai, G-Nako, Ruff G, Nikki wa Pili aka NickMweusi na ChiefMufasa kwa mawasiliano Mahojiano Zaidi Wasiliana na Jambo Squad kwa Nambari +255 653 610 249 au +255 762 164 241

Share:

Sunday, August 17, 2014

New Video : Bushoke Feat L.O.S - Mr Dj

 Bushoke ameachia video ya wimbo wake mpya 'Mr Dj' akiwa amemshirikisha L.O.S.Itazame hapa
Share:

Saturday, August 16, 2014

New Music : Hardmad - Rock Bong

Download na sikiliza ngoma mpya kutoka Hardmad inaitwa Rock Bong,Imefanyika One Love FX Chini ya Producer Tiddy Hotter.
Share:

New Music : Mwasiti Feat. Lamar - Serebuka (Refix)

Lamar ameachia refix mpya,Ni refix ya Serebuka wimbo wa Mwasiti. Tayari ipo hapahttps://mkito.com/song/serebuka-refix-ft-lamar/2296
Share:

Friday, August 15, 2014

New Video : Niyola Feat. Banky W – Love to Love You

Msanii kutoka Nigeria,Niyola ameachia video ya wimbo wake 'Love to Love You' aliyomshirikisha Banky W,Muongozaji ni Kemi Adetiba.Itazame hapa
Share:

New Music : Recho - Naringa

Hii ni kazi mpya ya Recho inaitwa Naringa imefanyika Kiri Records na kusimamiwa na Producer Rash Don.Isikilize na Download hapa http://www.hulkshare.com/kisusi/recho-naringa
Share:

New Music : Bob Haisa Feat. Mayala - Jino Bovu

"Wapendwa mashabiki wangu na wapenzi wa miduara kwa ujumla nifursa nyingine naitumia kutekeleza ahadi yangu kwenu ya kukupatieni ngoma mpya kila tarehe 15 ya kila mwezi.Leo hii nadondosha mduara mwingine mpya baada ya Lamsondo Sasa nakuambia 'kheri pengo kuliko jino bovu' hebu isikilize" Bob Haisa Yes!
Share:

New Video : Chris Brown Feat. Usher & Rick Ross - New Flame

Chris Brown ameachia video ya wimbo wake mpya 'New Flame' akiwa na Usher na Rick Ross bofya hapahttps://www.youtube.com/watch?v=HwctEiWLe84 kuitazama
Share:

New Music : Roma Feat. Bob Junior - Maumivu

Ngoma tuliyokuwa tunaisubiri kwa hamu ya ROMA na Bob Juinor "Maumivu" sasa ipo! imefanyika Sharobaro Music bofya hapa https://mkito.com/song/maumivu/2289 ku-Download

Share:

New Music : Jeff China Feat. Teacher Z - Abomangai

Huyu jamaa anaitwa Jeff China akimshirikisha Teacher Z ngoma inaitwa Abomangai,Imefanyika One Love FX Chini ya Producer Tiddy Hotter & Lollipop
Share:

Thursday, August 14, 2014

New Video : Michael Ross - Ndi Nowange

Msanii kutoka Uganda,Michael Ross ameachia video ya wimbo wake mpya 'Ndi Nowange' bofya hapahttp://www.youtube.com/watch?v=jb5I17sTN7o&feature=youtu.be kuitazama
Share:

New Video : Victoria Kimani Feat. Diamond & Ommy Dimpoz - Prokoto

Msanii kutoka Kenya,Victoria Kimani ameachia video ya wimbo wake mpya Prokoto akiwa na Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz.Mtayarishaji wa audio ni Tudd Thomas na Muongozaji wa video ni Kevin Bosco JNR.Itazame hapa
Share:

New Music : Wille - Uze Mbela

Download na sikiliza ngoma mpya kutoka Wille inaitwa Uze Mbela,Imefanyika Mazuu Records bofya hapa http://www.hulkshare.com/hx59rd9w5jpc  Ku-Download

Share:

Wednesday, August 13, 2014

New Music : Fid Q feat. P-Funk Majani - Bongo Hip Hop

Fid Q ameachia ngoma yake mpya 'Bongo Hip Hop' akimshirikisha P-Funk Majani kama zawadi ikiwa leo (Agosti 13) ni siku yake ya kuzaliwa.Isikilize na Download hapa
Share:

New Video : Sho Daddy Feat. Bob Junior - Mapenzi Ya Lawama

Tazama video mpya kutoka kwa Sho Daddy akimshirikisha  Bob Junior inaitwa Mapenzi Ya Lawama
Share:

Tuesday, August 12, 2014

New Music : Joe El Feat. 2face Idibia – Hold On

Msanii kutoka Nigeria, Joe El ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Hold on akimshirikisha 2face kutoka Nigeria pia. 

Share:

New Music : AT - Sitaki Kusemwa

Download na sikiliza ngoma mpya kutoka AT inaitwa Sitaki Kusemwa bofya hapa http://www.hulkshare.com/ihs06kfgn8xs kudownload
Share:

Monday, August 11, 2014

New Music : Uncle P - Ni wewe

Download na sikiliza ngoma mpya kutoka Uncle P inaitwa Ni wewe.Bofya hapa http://www.hulkshare.com/9v0j9iweodfk ku-download
Share:

New Music : Rama K Feat. Jakaqu - Halla

Msanii kutoka Kenya,Rama K ameachia ya ngoma yake mpya inayoitwa 'Halla' akimshirikisha Jakaqu.Mtayarishaji ni Dupy na RS Bofya hapa http://www.hulkshare.com/3dp89jrfoq4g Ku-Download 
Share:

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support