Sunday, November 30, 2014

New Video : Navy Kenzo - Moyoni

Tazama video mpya kutoka kundi la Navy Kenzo inaitwa Moyoni,imeongozwa na Hanscana
Share:

New Video : Wakazi - Wanawake Wa Dar (WWD)

Tazama video mpya kutoka kwa Wakazi inaitwa Wanawake Wa Dar,imeongozwa na Hefemi.
Share:

New Video : Nikki Mbishi feat. One,Songa & Lady JayDee - Kupanda na kushuka

Tazama video mpya kutoka kwa Nikki Mbishi akiwa na One,Songa na Lady JayDee inaitwa Kupanda na kushuka,imeongozwa na Adam Juma.
Share:

New Video : Quick Rocka Feat. Young Dee - Bishoo

Quick Rocka ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo Bishoo akimshirikisha Young Dee,imeongozwa na Khalfan.
Share:

New Video : Lady Jaydee Feat. Dabo - Forever

Tazama video mpya kutoka kwa Lady Jaydee akimshirikisha Dabo inaitwa Forever,imeongozwa na Adam Juma.
Share:

New Video : Ommy Dimpoz - Tupogo Remix

Tazama video mpya kutoka kwa Ommy Dimpoz inaitwa Tupogo,imeongozwa na Adam Juma.
Share:

New Music : Angel Benard - Ufundishe Moyo

"Ni sala ambayo ninamuomba Mungu anifundishe kumuabudu katika roho ya kweli, na siyo tu nikiwa katika shida au ninapohitaji msaada fulani."https://mkito.com/song/ufundishe-moyo/5652

Share:

Thursday, November 27, 2014

New Video : Jose Chameleone - Milliano

Tazama video mpya kutoka kwa DR JOSE CHAMELEONE inaitwa MILLIANO
Share:

Wednesday, November 26, 2014

New Music & Video : Kala Jeremiah Feat. Nuruwell - Usikate Tamaa

Kala Jeremiah ameachia audio na video ya ngoma yake mpya"Usikate Tamaa" akimshirikisha Nuruwell

Share:

New Video : Waje Feat. Diamond Platnumz - Coco Baby

Video ya msanii wa Nigeria Waje na Diamond Platnumz ‘Coco Baby’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sasa imetoka nakukaribisha uitazame hapa
Share:

Zawadi ya Krismasi!

Album mpya ya Krismasi!

Huu ndiyo wimbo wa utambulisho kutoka kwa William Otuck: https://mkito.com/song/zawadi-ya-x-mas/4691


Krismasi hii, Santa hatokuwa akitoa zawadi peke yake. Na hata hivyo inaonekana kuwa baadhi watamzidi katika hilo linapokuja suala la muziki! Otuck William, muimbaji wa soul, athibitisha hilo kwa kuleta mbele yako bidhaa mpya itakayobadili sura nzima ya msimu wa Krismas mwaka huu kimuziki. Ni santuri itakayokuwa imebeba nyimbo kumi na tano (15) mahususi kabisa kwa ajili ya Krismas.

Akizungumzia album hiyo Otuck anasema; "“Zawadi Ya Krismasi” ni album yenye nyimbo 15 iliyotayarishwa kwa ushirikiano wa kwangu mwenyewe na Nach B, mtayarishaji kutoka studio za Beats Bank Music zilizopo jijini Mbeya. Hii si album ya dini (Gospel) japokuwa imebeba baadhi ya nyimbo za zamani za kidini za Krismas, ambazo tumezitayarisha katika mahadhi tofauti kidogo, lakini ni album inayohusu Familia, Matumaini, Faraja, Imani na Upendo. Kwa kadri ya ufahamu wangu inaweza kuwa album ya kwanza kabisa ya Krismas kuwahi kutengenezwa Tanzania au Afrika Ya Mashariki kwa ujumla”.


Ni wazi kwamba kila mtu anatamani kujua nini hasa Otuck ametuandalia, kitakachodumu kwa muda mrefu na kutufariji kila ifikapo msimu kama huu.  Album hiyo itakuwa ikipatikana katika mtandao wa Mkito.com kuanzia Tar 26 Novemba 2014. Lakini pia itauzwa katika mfumo wa CD.


Kwa mawasiliano zaidi ya namna ya kupata CD hizo au kuwa wakala wa usambazaji, andika barua pepe kwa otuckwilliam@gmail.com au piga simu nambari +255712168011

Huu ndiyo wimbo wa utambulisho: https://mkito.com/song/zawadi-ya-x-mas/4691

Social Media:
Twitter: @Otuck_William
Instagram: @Otuck_William
Share:

New Video : Hisia - Gimme A Call

Video directed by Hanscana of Wanene Entertainment,audio produced by John Blass for Grandmaster Records Download Gimme A Call here: https://mkito.com/song/gimme-a-call/3054
Share:

New Video : Tiwa Savage - My Darlin'

Mavin Records & 323 Entertainment presents ''My Darlin'' official video by Tiwa Savage. Produced by Don Jazzy,Directed by Kemi Adetiba.
Share:

Tuesday, November 25, 2014

New Music : Waje Feat. Diamond Platnumz - Coco Baby

Ile single mpya ya msanii wa Nigeria Waje na Diamond Platnumz ‘Coco Baby’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sasa imetoka nakukaribisha uisikilize hapa
Share:

New Music : Quick Rocka Feat. Young Dee - Bishoo

Wimbo mpya kabisa kutoka kwa bingwa wa tongue twister. QUICK ROCKA anakuletea BISHOO ambao ni wimbo amemshirikisha Young Dee.https://mkito.com/song/bishoo-ft-young-dee/4832

Share:

New Music : Ditto - Heri ya Christmas

Msimu wa Christmas ndiyo unatufikia sasa na wimbo wa kwanza wa Christmas ndiyo huu hapa kutoka kwa Ditto. Ditto ambaye ameandika nyimbo nyingi ambazo ni hits kubwa katika muziki wa Tanzania pia ni mwimbaji na mwalimu wa muziki Tanzania House of Talent.https://mkito.com/song/heri-ya-christmas/5122

Share:

New Music : Navy Kenzo - Moyoni

Wimbo mpya kutoka kwa Navy Kenzo unaitwa MOYONI na unatoka kwenye album mpya ya NIROGE. Wimbo unaongelea wapenzi wawili ambao wanataka kuchukua hatua nyingine kubwa katika uhusiano wao. Wimbo umekuwa produced na Nahreel mwenyewe.https://mkito.com/song/moyoni/4842
Share:

Video : Wema Sepetu "In My Shoes" S02EP02 Fiesta Tour Mwanza

Tazama sehemu ya pili  reality ya show ya Msanii wa filamu Tanzania 'Wema Sepetu' inayojulikana kama "In My Shoes"
Share:

New Video : Jaguar Feat. Iyanya - One Centimeter Remix

Tazama video mpya kutoka kwa Jaguar (Kenya) akiwa na Iyanya (Nigeria) inaitwa One Centimeter
Share:

Monday, November 24, 2014

New Music : AY Feat. Sean Kingston & Ms Triniti -Touch Me

AY ameachia ngoma yake mpya "Touch Me"Featuring Sean Kingston & Ms Triniti,imetayarishwa na  Riley na Zaire Koalo.
Share:

New Music : Lady Jaydee Feat. Dabo - Forever

Pakua wimbo mpya kabisa kutoka kwa Lady Jay Dee na Dabo. Jay Dee amehama kidogo kutoka style yake ya kawaida ya Zouk Rhumba na kuimba wimbo huu katika style ya Reggae. Amemshirikisha mdogo wake Dabo ambaye ni mshindi wa tuzo ya KTMA best reggae artist wa Tanzania mwaka 2013. mtayarishaji ni Man Water.https://mkito.com/song/forever-ft-dabo/4762

Share:

New Music : Jaguar Feat. Iyanya - One Centimeter Remix

Download na Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Jaguar (Kenya) na Iyanya (Nigeria) inaitwa One Centimeter imefanyika Main Switch Studios
Share:

New Music : Witnesz – Chunga Mdomo wako

Download na Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa Witnesz  unaitwa  Chunga Mdomo wako 
                          DOWNLOAD
Share:

New Music : Victoria Kimani - Show

Chocolate City’s raving East African songstress Victoria Kimani releases her newest single Show produced by prolific Made Men Music group producer Tekno Miles.
Following up her successful East African hit Prokoto with featured Diamond Platnumz and Ommy Dimpoz, Victoria Kimani delivers yet another party track to rock the dance floor and celebrate the upcoming holiday season across Africa.
Share:

New Music : Davido - Owo Ni Koko

 
Davido releases a new track and he calls this one OWO NI KOKO. Enjoy......
Share:

Friday, November 21, 2014

New Video : Young Killer Feat. Fid Q & Belle 9 - 13

Young Killer ameachia video ya wimbo wake mpya" 13" Wimbo huu umetayarishwa na producers wanne yaani P Funk Majani kutoka Bongo Records, Palla Midundo, Amiga Tyga na Lol Pop na video imeongozwa na Director Nisher.Itazame hapa
Share:

New Music : Angel Benard - Mimi na Yesu

Ni wimbo unaoelezea jinsi ambavyo Mungu ni ukamilifu wa maisha ya mwanadamu. Na hivyo hakuna cha kuogopa wala wa kumuogopa humu duniani. Kila kitu kimetoka kwa Mungu, kinapatikana kwake na mwisho wa siku tuna kila sababu ya kutoogopa na kukiri kwa ujasiri kuwa yote yanapatikana kwake.
Share:

Thursday, November 20, 2014

New Video : Mr Blue - Pesa

Mr Blue ameachia video ya wimbo wake uitwao" Pesa" Mtayarishaji wa audio ni Sei kutoka Sei Records na video imeongozwa na Adam Juma kutoka Next Level Production.Itazame hapa
Share:

New Video : Diamond Platnumz - Ntampata Wapi

Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake mpya " Ntampata Wapi" Mtayarishaji wa audio ni Sheddy Clever na video imefanywa na Godfather Productions nchini afrika kusini.Itazame hapa
Share:

Video : Wema Sepetu "IN MY SHOES" S02EP01 Mapokezi ya Diamond

Msimu wa pili wa reality show ya Msanii wa filamu Tanzania 'Wema Sepetu' umeanza.Tazama sehemu ya kwanza hapa
Share:

New Video : Meda - Barua kwa Diamond

Ni dakika mbili na sekunde 59 ambazo zimetumika na mwimbaji huyu mpya kwenye bongofleva ambapo barua hii imesimamiwa na producer Silley kutoka Sampamba Music (Iringa) na video ya barua hii imepigwa hukohuko Iringa.
 

Share:

New Music : Diamond Platnumz - Ntampata wapi?

Wimbo mpya kutoka kwa Diamond Platnumz - Ntampata wapi?
Share:

New Music : Makomando - Sherikoko

Ngoma mpya kutoka Makomando - SHERIKOKO
 
Share:

Wednesday, November 19, 2014

New Video : Avril - Nikimuona

Tanzania ilimfahamu vizuri baada ya hits zake kama mama na ile ya ‘chokoza’ lakini baada ya hapo Avrill ambae ni Mkenya ameendelea kuwa kwenye TV na Radio kutokana na kazi zake nzuri ambazo amekua akizitoa mara kwa mara.hii ni video yake nyingine mpya inayoitwa Nikimuona
Share:

Coming Soon : Ntampata wapi?

Kitu kipya kesho "Ntampata wapi?"
Share:

Tuesday, November 18, 2014

New Music :Vanessa Mdee & Barnaba - Siri

Wimbo mpya kutoka kwa Vanessa Mdee na Barnaba. Wimbo unaitwa SIRI.https://mkito.com/song/siri-vanessa-barnaba/3513
Share:

New Video : PSquare - Shekini

Africa’s biggest singing duo come through with the second video to one of the singles off their recently released 6th studio album, “Double Trouble”. “Shekini” video is an energetic pictorial which sees the artistes combine with youthful dancers to perform moves that’d bring you to life. From garages to underground scenes, the dark-themed flick definitely does justice to the song. Video was directed by Clarence Peters, and song produced by Vtek, who also made a cameo appearance
BUY on iTunes:- https://itunes.apple.com/us/album/she...
Curated by www.freemedigital.com
Share:

New Music : Mwasiti Feat. Kingzilla - Leo

Wimbo mpya kutoka kwa Mwasiti akimshirikisha Kingzilla. Wimbo unaitwa Leo.https://mkito.com/song/leo-ft-kingzilla/3507
Share:

New Music : Dully Sykes Feat. Maunda Zorro - That's the way

Wimbo mpya kutoka kwa Dully Sykes a.k.a. Mr Misifa akiwa na Maunda Zorro. Wimbo unaitwa That's the way.https://mkito.com/song/thats-the-way-ft-maunda-zorro/3503
Share:

New Music & Lyrics - Jimmy Yeyoo Feat. L5 - Hamjanijua

Artist Jimmy Yeyoo Ft L 5
Song Hamjanijua
Gentr HipHop
Country Tanzania
LYLics
Intro [L5]
Hamjanijuaaa ,
Mnanisumbuaaaa
Haayaaa hayaaaa
Nisomeni Kwa Makini nisikilizeni
Ahaaa -- B One Records
Nisomeni kwa makini nisikilizeni
Maneno Yangu Kichwani Yawekeni;
Verce 1:
Moja tisa nane Tatu, ndipo nilipokuja ndani ya ulimwengu huu wa tatu, Nikiwa wakwanza ndani ya vichwa vitatu, Dingi akanitosa kabla sijavaa viatu, ndipo mama akahustle ndani ya vichwa vitatu yaani damu Tatu, Tangu mdogo nlifunzwa kupenda watu, kupenda watu maana Maisha ni watu, japo duniani kuna watu na viatu, wapo walo timamu, wapo walofyatu, hili ufanyikiwe upaswi kutazama watu, tizama watu kwa jicho la tatu, hata nduguyo anakuchekea hila mnaa tu, unapofanyikiwa hana raha ye karaha tu, kwenye shida hayupo anakufuata kwenye bata tu, nazijua shida Raha nimepata kidogo tu, nimeanza kuuza pombe geto nna miaka minane tu, mama analala night mi nakesha na walevi tu, nampa tafu nipate pay ya school, eeh mungu juu niondolee hawa watu wenye upeo nusu kama style za viduku, wanaojua kuponda hapa nliposimamia, bila kujua machungu ya huko nlikotokea, nlikotokea wangejua wasingeongea, asante mungu mpaka Leo napumua nipo nawatazama nahisi bado hamjanijua/
Chorus(L5)
Hamjanijua ndomaana,
Mnanizingua haaaayaaa
Nisimeni kwa makini nisikilizeni,
Maneno yangu kichwani yawekeni, nisomeni kwa makini nisikilizeni, maneno yangu kichwani yawekeniii×2 haaa ya haayaaa ahaayaaa
Verce (2)
Haaayaaa a hayaaa
Mama aliniambia nisiache shule kisa muzki, bado akaniambia nisifanye muzik kwa dhiki, nipo booth yeyoo, natizama mic, natizama mic namuona 2pac, ananiambia hip hop ya bifu ndo inalipa, maana ukipata kick ndo tayari we umetoka, one luv two luv three luv four, four luv three luv, two luv one, jipende wewe wengine wanakuongopea, marapa wanasaka kick kwa kumuimba babu sea, RIP langa Albert mangwair, mi ndo super duper raper mlokufa bila kunijua, nipo smart, bright, flow zangu classic, nina punch nzito kama shoot La podosick, nawatungua wote ma Mc ving'ast, sina tena hasira rohoni sina kisasi, nimeisha msamehe huyu mungu pamoja nasi, siku zinakwenda umri nao unasogea baada ya kuhustle sana nahitaj kupumua, asante mungu maana hapa natusua, nipo nawatizima naamini note mtanijua yeyoo/
Chorus
Hamjanijua ndomaana
Mnannisumbua hayaaa
Nisomeni kwa makini nisikilizeni, maneno yangu kichwani yawekeni
Nisomeni kwa makini nisikilizeniii
Maneno yangu kichwani yawekeniii
Hayaaa ha hayaaaa
Autro;
King muddy
Bichwa kubwa lisilokuwa na akili ni mzigo kwa miguu myembamba hisiyokuwa na dili
Chriss yeyoo
Brown boy
One love my brother.
Share:

Saturday, November 15, 2014

New Video : Tox Star Feat. Seseme - Ole

Tazama video mpya kutoka kwa Tox Star akiwa na Seseme inaitwa Ole
Share:

Coming soon : Sgizzy - Utatokea

 Ngoma mpya ikwendayo kwa jina la utatokea iliyo imbwa na shadygideon(sgizzy) itatoka ijumaa ijayo chini ya producer Tibe.
Share:

New Music : Bob Haisa - Maisha Ya Ndoa

''Kumraadhi mashabiki na wadau wenzangu hivi karibuni kupitia Mwandishi Nyemo Malecela niliahidi  kwamba ifikapo tarehe 15.11.2014 nitaachia wimbo mpya uitwao 'Mswaki' ila mambo hayajaenda hivyo na badala yake nimewawekea rhumba hili liitwalo Maisha ya ndoa.Enjoy'' Bob Haisa

Share:

Thursday, November 13, 2014

New Music : Nay Wamitego - Akadumba

AKADUMBA ngoma mpya kutoka Nay Wamitego, sasa ipo hapa
Share:

Wednesday, November 12, 2014

New Music : Godzilla - Illumi Naughty & Karibu Yako.

 Nyimbo mbili mpya kutoka kwa Godzilla - Illumi Naughty na Karibu Yako.

Wimbo wa Karibu Yako umerekodiwa chini ya usimamizi wa Lamar akiwa Fishcrab studios na wimbo wa Illumi Naughty umerekodiwa chini ya Mswaki. 
Share:

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support