Mabingwa wa soka Wilaya ya Misungwi,Misungwi Stars leo wamekubali kichapo cha mabao mawili 2-0 kutoka kwa washindi wa tatu wa kombe la polisi jamii Wilaya ya Misungwi, Biashara FC.
Mabao ya Biashara FC yamefungwa na John Paul dakika ya 51 pamoja na Yona Ndabila dakika ya 89.
Fainali ya kombe hilo itapigwa kesho baina ya Nange FC na Misasi Sta...
Saturday, October 20, 2012
Friday, October 12, 2012
IJUE MISUNGWI
Misungwi ni Wilaya inayopatikana katika Mkoa wa Mwanza.
Wakazi wake (wenyeji) ni wasukuma,vivutio vingi vinapatikana katika wilaya hii kama ngoma za asili n.k.
Wakazi wake ni wakarimu na wanaoweza kuishi na makabila mengine bila ubaguzi.
Karibu Misungwi kwa ukuzaji na uboreshaji wa maisha ya...