Showing posts with label News. Show all posts
Showing posts with label News. Show all posts

Monday, January 16, 2017

Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la Nne 2016

BREAKING NEWS : Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA) 2016 na Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA) 2016 Yametangazwa Rasmi.


Share:

Sunday, July 12, 2015

Mke afumania,achezea kichapo!


Stori: Mashaka Kisusi,Mwanza/Risasi

NDANI ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, mama mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, mkazi wa maeneo ya stendi, wilayani Misungwi mkoani Mwanza anadaiwa kuchezea kichapo kutoka kwa mumewe baada ya kumfumania akiwa na kimada, Risasi Jumamosi linatiririka>>>>http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/mke-afumania-achezea-kichapo
Share:

Sunday, June 21, 2015

Mpate Dj Haazu Live katika Positive Mood Radio 5 Arusha

By @djhaazu It's Official NIMEJIUZULU Kufanya kazi Mambo Jambo Radio MJ FM Arusha as a Production Manager, Producer, Presenter, Dj, Event Organizer and IT Tech kwa Maamuzi yangu Mwenyewe bila kushinikizwa na Mtu.Ahsanteni wasikilizaji wangu, Wasanii wote tuloshirikiana na Ahsante kwa Management na Wafanyakazi wote wa MJ FM Tutazidi kushirikiana Inshaalah.
NIMEANZA RASMI KAZI @radio5fm Nisikilize kwenye POSITIVE MOOD Saa Tisa na Nusu Mchana na kuendelea

Radio 5 FM frequencies:

Arusha 105.7fm
Dar 91. 3Fm
Mwanza 92.5fm
Mbeya 93.8fm
Dodoma 88.6fm
Morogoro 94.8fm
Tanga 98.9fm
Mtwara 94.5fm
Kigoma 87.7fm
Powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com #SupportYourOwn
Share:

Monday, April 27, 2015

Ben Pol Asaini Mkataba na Pana Music Ltd

Tanzanian leading music act, Ben Pol, signed a long term management contract with Panamusiq, a recently established artist management company based in Dar es Salaam.

Ben is an award winning singer and songwriter mainly prolific with R&B tunes that have always graced the top tables of Tanzanian radio charts. His last production, “Sophia”, is currently on the highest rank of most notable charts. Other well known hits from this “Dodoma boy” are “Jikubali”, “Samboira”, “Unanichora” feat. Joh Makini and “Maneno” to name few out of a long catalogue of music from this Bongo talent.

His latest video of “Sophia” enjoys huge popularity on the net with over 91,000 views in its first 7 days on YouTube. Video link: https://youtu.be/81i3dybXK8U

Panamusiq, established in mid 2014, provides innovative management services to African artists to develop their talent in fully exploitable brand value. Panamusiq most remarkable achievements have been accomplished with its previously managed Tanzanian music star Vanessa Mdee. More notably: a) Brand Ambassadorship deal with Samsung Electronics; b) Product Placement by Crown Paints Kenya for the production of Hawajui Video (this was a first for a Tanzanian artist); c) Signing of a records deal with Kult Records, NYC (www.kult.com) for “Come Over”.
The new partnership aims at developing Ben Pol into a sustainable global brand and consolidating his fame in Tanzania and across Africa. We expect to realize this plan through the production of great music, highly professional services and the co-operations with global brands and international music industry players.

For more info: info@panamusiq.com or +255784172291

powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com  @defxtro #SupportYourOwn
Share:

Pigia Kura "XO" Video ya Joh Makini TZW13E

Pigia Kura Video ya "XO" by @joh_makini ft @gnakowarawara katika "Tuzo za Watu 2015" kuwania Tuzo ya Video Bora Inayopendwa na Watu kwa kuandika "TZW13E" kwenda "15678" au kupitia Tovuti ya www.tuzozawatu.com powered by tuzozawatu @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @weusikampuni @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com  @defxtro #tuzozawatu2015 #SupportYourOwn
Kupiga kura andika code ya muigizaji unayempenda na tuma ujumbe wa simu kwenda namba 15678 au tembelea www.tuzozetu.com.  Piga kura kwa wingi zaidi, ujipatie nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali zikiwemo tickets za safari ya ndege, ndani na nje ya nchi kutoka kwa wadhamini wetu Fastjet.

Share:

Friday, April 24, 2015

Wafahamu Zaidi STDZ

STDz stands for Street Delegates.TUMSIME and MSHUMBU are the members.Born in ARUSHA a.k.a CHUGA,Raised at SANAWARI crazy about Street Hip Hop. Bofya https://mkito.com/artist-profile/stdz/599 Kutembelea Profile na kupakua nyimbo zote za STD'z

https://mkito.com/song/mida-inayeyuka/13421

https://mkito.com/song/hizi-mitaa/4501

https://mkito.com/song/pressure-remix-ft-lordizzy-stoparhymes-chindo-ladynaike-fidovato-lavosti-son/2231

https://mkito.com/song/pressure/2234

kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na STD'z kwa email stdzchuga@gmail.com @tumsime17 & @stephenmwenera powered by @vmgafrica @defxtro www.vmgafrica.com  @j4cinyo @mkitodotcom @djhaazu @fredyze1 #SupportYourOwn #vmgafrica
Share:

Friday, April 17, 2015

Ujio wa #ShuttUpDeejayz Arusha

The newest #DeejayBrand In Arusha @djp_tz &  @djnoel255 under @batooentertainment @man_batoo @noizmekah ibuka kwenye #JamSession Every Sunday saa nane mchana hadi usiku Pale Milestone Club Sakina powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com @mkitodotcom @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
Share:

Ujio wa VMG Africa online Tv

#vmgafricatv OnlineTv Coming Soon!!!  Kaa Tayari kuchek vitu vizuri https://youtu.be/v1D50aBVxDo
Pia unaweza kutufata Instagram na Twitter @vmgafrica @vmgafrica @vmgafrica
#VmgAfrica @vmgafrica ni Jukwaa Lako Pia
Share:

Friday, March 13, 2015

Coming Soon : K-Zungu - Hadija

Baada ya kuachia ngoma ya Nawaasa K Zungu kutoka Mwanza anatarajia kuachia ngoma nyingine mpya hivi karibuni inayoitwa Hadija chini ya Usimamizi mpya kabisa.Kaa tayari
Share:

Tuesday, February 17, 2015

Coming Soon : Heri Muziki - Watu

Kaa tayari kwa ngoma mpya kutoka kwa Heri Muziki inaitwa Watu.
Share:

Saturday, January 10, 2015

Coming Soon : Sparrow Feat.T-Nock - Kisparrow Sparrow

 Kaa tayari kwa ngoma mpya kutoka kwa Sparrow itakayotoka hivi karibuni.


Share:

Friday, January 2, 2015

Bob Haisa asitisha rasmi utaratibu wa kuachia wimbo mpya kila mwezi

"Wapendwa mashabiki Na wadau wa Muziki ninapenda kuwataarifu kwamba ule utaratibu  tuliokua tukiendeleanao wa kuachia wimbo mpya kila mwezi tumeusitisha rasmi ukiwa na nafanikio lukuki,Sina zaidi ya shukrani kwa mungu na wote waliofanikisha zoezi hili lililotimiza mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu lianze,Asanteni sana".Bob Haisa yes
Share:

Wednesday, November 19, 2014

Coming Soon : Ntampata wapi?

Kitu kipya kesho "Ntampata wapi?"
Share:

Saturday, November 15, 2014

Coming soon : Sgizzy - Utatokea

 Ngoma mpya ikwendayo kwa jina la utatokea iliyo imbwa na shadygideon(sgizzy) itatoka ijumaa ijayo chini ya producer Tibe.
Share:

Monday, November 10, 2014

Coming Soon : Mwasiti Feat. Kingzillah - Leo

Kaa tayari kwa ngoma mpya kutoka kwa Mwasiti akiwa na Kingzillah inaitwa Leo.
Share:

Thursday, November 6, 2014

Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2014

Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2014  
Share:

Friday, October 31, 2014

Coming Soon : JCB - Mtoto Mkali

Kaa tayari kwa ngoma mpya kutoka kwa JCB inaitwa Mtoto Mkali imetayarishwa na Daz Naledge kutoka Watengwa Records.
Share:

Thursday, October 30, 2014

Ngoma mpya ya Young Killer "13" kutoka 31.10.2014

Rapper kutoka Rock City,Young Killer Msodoki kesho (31.10.14) anatarajia kuachia ngoma yake mpya aliyoipa jina la Kumi na tatu (13).Ndani ya ngoma hiyo amemshirikisha Rapper Fid Q kutoka Mwanza pia na mkali wa RnB, Belle 9 kutoka Morogoro.ngoma imetayarishwa na Palla Midundo,Amiga Tyga,Lolpop na P Funky Majani.
Share:

Saturday, October 18, 2014

Ujio wa Angel Benard

ANGEL BENARD ni jina ambalo limekuwa likisikika kwa miaka kadhaa sasa kwenye ulimwengu wa muziki wa gospel. Angel Benard mwenye miaka 25 hatimaye sasa anaachia album yake NEW DAY kwenye mfumo wa digitali kupitia Mkito.com. Watu wengi wamekuwa wakisubiri kusikia nyimbo zake za zamani lakini haikuwa rahisi kuzipata. Album hii ni album ya 3 ya mwana dada huyu mwenye sauti ya maajabu. Ni wasanii wachache sana wa muziki wa gospel ambao wamefanikiwa kuvusha nyimbo zao zikapendwa na wapenzi wa gospel pamoja na wapenzi wa muziki wa bongo flava, RnB n.k. na mwimbaji huyu ni mmoja wapo.

Katika kuitambulisha album hii Angel Benard ataachia wimbo mmoja kila siku ya Alhamis kwa wiki 10 mfululizo. Wimbo wa kwanza utatoka tarehe 23 October na unaitwa NEED YOU TO REIGN ukiwa katika minodoko ya Reggae.
Share:

Friday, October 10, 2014

Coming Soon - Nikki Mbishi, One The Incredible, Songa Feat. Lady Jay Dee

New song coming soon - Nikki Mbishi, One The Incredible, Songa Ft. Lady Jay Dee

KUPANDA NA KUSHUKA

Produced by Man Water.
Share:

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support