Monday, June 30, 2014

Orodha nzima ya washindi wa tuzo za BET 2014 iko hapa

Best Female R&B/Pop Artist Beyoncé (WINNER) Janelle Monáe Jhené Aiko K. Michelle Rihanna Tamar BraxtonBest Male R&B/Pop Artist Pharrell Williams (WINNER) August Alsina Chris Brown John Legend Justin TimberlakeBest Collaboration Beyoncé f/ JAY Z – "Drunk In Love" (WINNER)...
Share:

Baucha - Champododo (Official Video)

Tanzanian Bongo Star Baucha Performing Champododo Video Directed By Tonee Blaze Audio Produced By Paul Beat BoX Kruz.Watch ...
Share:

Sunday, June 29, 2014

K - Zungu - Nawaasa (Audio)

Tatizo Julius aka  K. Zungu kutoka Mwanza ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Nawaasa' Imefanyika JIA Records. Kwa mawasiliano zaidi mcheki kwa 07556886...
Share:

Bob Haisa - Ramadhan Kareem (Audio)

"Mwenyezi Mungu muweza wa kila jambo ndiye aliyetupa fursa ya kuushuhudia Mwezi wake mtukufu wa Ramadhan, si kwa ujanja wetu Bali ni mapenzi yake tu. Nafungua kinywa changu kukiri na kusifu utukufu huu wa Mungu mkuu huku nikisema Ramadhan Kareem.Sikiliza tungo hii kisha...
Share:

Saturday, June 28, 2014

Ben Pol ft. Joh Makini - Unanichora (Official Video)

Mwimbaji wa RnB Tanzania, Ben Pol ameachia video ya wimbo wake mpya 'Unanichora' audio imetengenezwa na Fundi Samweli na video imeongozwa na  Nisher.Itazame hap...
Share:

Shetta ft. Diamond Platnumz- Kerewa (Official Video)

Shetta ameachia video ya ngoma yake mpya 'Kerewa' akimshirikisha Diamond Platnumz,audio imetengenezwa na Sheddy Clever kutoka Burn Records na video imeongozwa na Godfather Productions.Itazame hap...
Share:

Kala Jeremiah ft. Nay wa Mitego & Mo Music - Simu ya Mwisho (Official Video)

Kala Jeremiah ameachia video ya wimbo wake mpya 'Simu ya Mwisho' akiwa amemshirikisha Nay wa Mitego na Mo Music,Audio imetengenezwa na Mona Gangstar kutoka Classic Sounds na video imeongozwa na Pablo.Itazame ha...
Share:

Friday, June 27, 2014

Flavour - I'm For Real (Official Video)

New music video by Flavour, performing his newest hit 'I'm For Real'. (c) 2014 2Nite Enter-10-Ment.Directed by Godfather Productions.Watc...
Share:

Janu Rocka - Hit That (Audio)

Download na sikiliza ngoma mpya ya Janu Rocka kutoka Mwanza inaitwa Hit that,imetengenezwa na Vinas.  bofya hapa ku-downloadhttp://www.hulkshare.com/louivinas/hit-that-janu-ro...
Share:

Mataluma ft. Msaga Sumu - Kinyume Nyume (Audio)

Baada ya kimya, Mataluma amerudi tena na ngoma yake mpya inayoitwa 'Kinyume Nyume' akimshirikisha Msaga Sumu,Mtayarishaji ni Nash Designer. Isikilize na Download h...
Share:

Ben Pol - Upendo (Audio)

Mwimbaji wa RnB Tanzania, Ben Pol ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Upendo' Wimbo huu umeandikwa na mwalimu wa St. Augustine University of Tanzania (SAUT), anaefahamika kwa jina la Wynjones Kinye ambaye anafundisha masomo ya Mawasiliano ya Umma.Mtayarishaji ni Man Water.Usikilize...
Share:

Nay wa Mitego & Mr Touch - Mr Nay (Audio)

Nay wa Mitego ameachia ngoma yake mpya iliyopo kwenye mradi wa producer wake 'Mr Touch' ngoma inaitwa 'Mr Nay' Isikilize na Download h...
Share:

Dayna Nyange - I Do (Audio)

Baada ya kufanya poa sana na ngoma ya 'Mimi na Wewe' Dayna Nyange amerudi tena na ngoma yake mpya inayoitwa 'I Do',Imetengenezwa na Triss kutoka Conga Music.Isikilize na Download h...
Share:

Kala Jeremiah ft. Nay wa Mitego & Mo Music - Simu ya Mwisho (Audio)

Kala Jeremiah ameachia wimbo wake mpya 'Simu ya Mwisho' akiwa amemshirikisha Nay wa Mitego & Mo Music,imetengenezwa na Mona Gangstar kutoka Classic Sounds.Isikilize na Download h...
Share:

Jux - Nitasubiri (Official Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Jux ameachia rasmi video yake mpya inayoitwa 'Nitasubiri' audio imetengenezwa na Manecky kutoka AM Records na video imeongozwa na Zed Benson.Itazame hap...
Share:

Wednesday, June 25, 2014

Afande Sele - Miaka Kumi (Audio)

Afande Sele ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Miaka Kumi' Usikilize na Download h...
Share:

Quick Rocka ft. Barnaba - Subiri Kidogo (Sukido) (Audio)

Quick Rocka ameachia ngoma yake mpya 'Subiri Kidogo (Sukido)' akimshirikisha Barnaba,imefanyika Switch Records producer akiwa ni  Nahreel.Isikilize na Download h...
Share:

Makamua ft. Rama Dee - Jua Muda (Audio)

Download na Sikiliza ngoma mpya kutoka Makamua akimshirikisha Rama Dee inaitwa Jua M...
Share:

Pasha - Papara (Official Video)

Tazama video mpya kutoka kwa Pasha inaitwa Papara Audio imetengenezwa na Geof Master kutoka Tongwe Records na muongozaji wa video ni Pizzo Mtena kutoka Skillz Videoz...
Share:

Diamond Platnumz,Davido, Tiwa Savage, MiCasa, Sarkodie & Lola Rae – Africa Rising (Official Video)

Video for Multi Choice Africa Rising project featuring African music stars including  Davido, Tiwa Savage, MI Casa, Sarkodie, Lola Rae, Diamond. Video was filmed by Callback dreams and shot in Ghana.Watch...
Share:

Joh Makini - Najiona Mimi (I See Me) (Audio)

Rapper kutoka kundi la Weusi 'Joh Makini' ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Najiona Mimi (I See Me)' imetengenezwa na Nahreal. Isikilize na Download h...
Share:

Lamar ft. TID - Asha (The Refix) (Audio)

Baada ya kuachia ngoma sita  Number One remix ya Diamond Platnumz akimshirikisha Davido,Asante ya AY akimshirikisha Dela,Me and You ya Ommy Dimpoz akimshirikisha Vanessa Mdee,Sugua Gaga ya Shaa, 'Come Over' ya Vanessa Mdee na Roho yangu ya Rich Mavoko Lamar amekuja...
Share:

Bob Haisa atimiza mwaka mmoja tangu aanze kutoa ngoma mpya kwa kila mwezi

 Mwanamuziki Bob Haisa leo ametimiza mwaka mmoja tangu aanze kuachia nyimbo zake mtandaoni kwa kila mwezi,akiongea na blog hii alisema kuwa "Leo ni siku muhimu kwangu kwani mwaka mmoja unatimia tangu nianzishe rasmi utaratibu wa kuachia ngoma zangu kupitia mitandao,...
Share:

Monday, June 23, 2014

Meninah - Kacopy Kapaste (Official Video)

Meninah ameachia video ya wimbo wake mpya 'Kacopy Kapaste',Audio imetengenezwa na Mesen Selekta.Itazame hap...
Share:

Sunday, June 22, 2014

Lameck Ditto - Tuongeze Bidii (Official Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Lameck Ditto ameachia video ya wimbo wake mpya 'Tuongeze bidii' umetengezwa na Ema The Boy kutoka Surround Sound Studio na Muongozaji wa video ni Sadiki Hamadi kutoka Redline Production.Itazame hap...
Share:

Jaykah Mtengwa - Hip Hop Ujamaa (Audio)

Majina kamili ni Javis Karani Mwangu jina la usanii ni Jaykah Mtengwa ana umri wa miaka 20, Ngoma inaitwa Hiphop Ujamaa' Imefanya chini ya studio za Ricky Recordz Producer akiwa ni Ricky.Isikilize na Download h...
Share:

Kana Kape - Ng'wana wa Bukwingwa + Pili ng'wana wa kisukuma (Audio)

Download na sikiliza ngoma mbili kutoka kwa Kana Kape Msanii kutoka Rock City,Mwanza.Moja inaitwa 'Ng'wana wa Bukwingwa' na ya pili inaitwa 'Pili ng'wana wa kisukuma...
Share:

Saturday, June 21, 2014

Ally Nipishe - Mshamba (Audio)

Ally Nipishe ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Mshamba' ikiwa ni mkono wa Mesen Selekta.Isikilize na download h...
Share:

Nakaaya - Blessing (Audio)

"As an artist, I thought of an everlasting way of expressing my love and appreciation to my son. So with the help of super producer D.X of Noizmekah production, we were able to cook a beautiful song from the depths of my heart. It is the start of many more records to...
Share:

Mkubwa na Wanawe - Nitajuta (Audio & Video)

Mkubwa na Wanawe wamekuja na ngoma yao mpya inayoitwa 'Nitajuta' imetengenzwa na producer Shirko. Isikilize na Tazama video hapa...
Share:

Coming Soon : Future Jnl - Worumo

Baada ya kuachia track ya 'Crazy' Future Jnl aongelea kuachia track nyingine mpya inayoitwa 'Worumo'. "Worumo ni track ambayo itakuwa mpya masikioni mwa watu kwa sababu imekaa tofauti kidogo na style niliyozoeleka kufanya,hii itakuwa katka mahadhi ya Afro-Pop ambayo imetengenzwa...
Share:

Gerry wa Rhymes - Elewa (Official Video)

  Gelly Wa Rhymes ameachia video ya ngoma yake mpya inayoitwa 'Elewa' ikiwa imetayarishwa na Producer Manecky ndani ya AM Records na muongozaji wa video ni Adam Juma wa Next Level.Itazame hapa...
Share:

Friday, June 20, 2014

2Face Idibia ft Bridget Kelly - Let Somebody Love You (Official Video)

Msanii kutoka Nigeria '2Face Idibia' ameachia video yake mpya 'Let Somebody Love You' akimshirikisha Bridget Kelly.Itazame ha...
Share:

Trey Songz - Foreign (Official Video)

Trey Songz was in South Africa earlier this month for the 2014 MTV Africa Music Awards, and the ladies across Africa loved him on the red carpet and on stage. He has released his new music video called “Foreign“. Watch ...
Share:

Linah ft. Diamond Platnumz - Kizai zai (Audio)

Linah Sanga ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Kizai zai' akimshirikisha Diamond Platnumz,Mtayarishaji ni Tudd Thomas.Usikilize na Download h...
Share:

Vanessa Mdee - Come Over (Official Video)

Hatimaye Vanessa Mdee ameachia video ya wimbo wa Come Over ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu sana na Mashabiki wake.Audio imetengenezwa na Nahreel na muongozaji wa video ni Enos Olik.Itazame ha...
Share:

Thursday, June 19, 2014

Chege & Temba ft. Maromboso - Wauwe (Audio)

Chege na Temba wamerudi tena kwenye spika zako na ngoma mpya inayoitwa 'Wauwe' wakimshirikisha Maromboso kutoka Mkubwa na Wanawe,Mtayarishaji ni Shirko pamoja na Marco Chali.Isikilize na Download h...
Share:

Wednesday, June 18, 2014

Tanzania All Stars - Tuulinde (Official Video)

Tarehe 14 June,2014 Wasanii mbali mbali walikusanyika mjini Dodoma kuzinduaVideo hii ambapo mgeni rasmi alikuwa Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi mbali mbali. Itazame hap...
Share:

Tuesday, June 17, 2014

Video : Uzinduzi wa video ya Jux 'Nitasubiri'

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Jux usiku wa kuamkia Juni 16, 2014 alizindua video yake mpya iitwayo 'NITASUBIRI' ndani ya Klabu Billicanas jijini Dar es Salaam.Tazama hapa ilivyokuwa...
Share:

Kiba Square - Pita Mbele (Audio)

Alikiba na Abdukiba (Kiba Square) wameachia ngoma yao mpya inayoitwa 'Pita Mbele' imetengenezwa na Abydad kutoka Chaiderz Records.Isiklize na Download h...
Share:

Ngoma mpya ya Langa aliyomshirikisha Julio & TID iko hapa

Ni mwaka mmoja tangu kifo cha rapper Langa, imefahamika kuwa siku 5 kabla ya kufariki kwake aliweza kumalizia ngoma yake ya mwisho iliyokuwa inahusiana na maisha yake. Na ndio siku waliokutana na Julio Batalia aliyekuwa mshiriki wa BBA 2012 na kufikia hatua ya kumaliza...
Share:

Monday, June 16, 2014

Navy Kenzo - Aiyola (Audio)

Baada ya kufanya poa na ngoma ya 'Chelewa',Navy Kenzo wamerudi tena na ngoma nyingine mpya inayoitwa 'Aiyola'. Isikilize na Download h...
Share:

Rich Mavoko - Roho Yangu (Refix) (Audio)

Baada ya kuachia ngoma tano Number One remix ya Diamond Platnumz akimshirikisha Davido,Asante ya AY akimshirikisha Dela,Me and You ya Ommy Dimpoz akimshirikisha Vanessa Mdee,Sugua Gaga ya Shaa na 'Come Over' ya Vanessa Mdee Lamar amekuja na Refix nyingine safari hii amedondosha...
Share:

Dj Pro ft. Sat B & Mkombozi - Katoto Rmx (Official Video)

Dj Pro ameachia video ya katoto remix akiwa amewashirikisha Sat B na Mkombozi.Itazame hap...
Share:

Sunday, June 15, 2014

New Music: D’Banj – Alaye

Early on this week, D’Banj aka Kiniun Fun Fun (The White Lion) celebrated his 34th birthday. The #1 Entertainer in Africa, D’Banj drops a new song titled, “Alaye”. It was produced by recently signed DB Records Artistes/Producers, 2Kriss. This year marks 10 years for D’Banj...
Share:

Future Jnl - Crazy (Audio)

Mkali wa miondoko ya RnB kutoka Rock City,Mwanza 'Future Jnl' amerudi tena  kwenye spika zako na single moja hatari "Crazy" akiwa peke yake kuonyesha zaidi uwezo wake katika muziki. Hebu chukua dakika zako kadhaa kumsikiliza na tupitia comment yako hapa...
Share:

Mayne K - Zawapi Hizo (Audio)

Hii ni ngoma mpya kutoka kwa Msanii Mayne K inaitwa 'Zawapi Hizo' imefanyka ndani ya studio za Sound Lab Records zilizopo Usagara,Mwanza. Isikilize na download h...
Share:

Saturday, June 14, 2014

Bob Haisa - Lamsondo (Audio)

Mwanamuziki kutoka Rock City,Mwanza 'Bob Haisa' ameachia ngoma yake mpya yenye mahadhi ya Chakacha inayoitwa 'Lamsondo'."hii ni ngoma fulani hivi ambayo inanikumbusha uimbaji wa miondoko ya kipwanipwani ambao naupendaga sana".Alisema Bob Haisa wakati akiongea na blog hii. Pia...
Share:

Heri Muziki - Nakukumbukaga (Audio)

Msanii Heri Muziki amekuja na ngoma yake mpya inayoitwa 'Nakukumbukaga',imeandikwa na Barnaba,KT na Heri Muziki.Mtayarishaji ni Producer Mswaki pamoja na Fundi Samweli bonyeza hapa ku-download na kusikiliza http://www.hulkshare.com/katongo/heri-muziki-nakukumbukaga au Dropbox...
Share:

Rama K - Muda Wa Hatari (Audio)

"Hii ni freestyle yangu ambayo nahisi wadau wangu wanahitaji kuisikia" Rama K bonyeza hapa kuisikiliza http://www.hulkshare.com/bpm6xb7acwe8...
Share:

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support