Msanii wa filamu Tanzania,Flora Mvungi ameachia ngoma yake mpya Kidogo akimshirikisha Mumewe ' Hamis Baba a.k.a H-Baba' Mtayarishaji ni C9. Isikilize na Download h...
Download na sikiliza wimbo wa kwanza wa Mfashist 'Japo Suna',Umefanywa na producer Tira K na
Beat imetengenezwa na Noizmekah ipo kwenye mixtape ya biashara
ngu...
Baada ya kushika chart za juu na ngoma ya Dangerous Love aliyomshirikisha 'Sean Paul'.Msanii kutoka Ghana,'Fuse ODG' amerudi tena na ngoma nyingine mpya inayoitwa 'T.I.N.A' akimshirikisha Msanii wa R&B 'Angel' kutoka Uingereza.Mtayarishaji ni Kill beatz kutoka nchini...
Kazi nyingine ya producer Lamar sasa hivi ni kuzitengenezea version
tofauti baadhi ya hit singles za bongofleva project ambayo ameianza
zaidi ya mwezi mmoja uliopita.
Leo ametupa nafasi ya kuisikiliza ‘Uswazi Take Away’ ya Che...
Nigerian Rapper, singer, social media phenomenon, beauty queen of controversy MAHEEDA,
is asking if you can handle it with her new hot single Prod. by TeeBeeO
"CAN YOU HANDLE IT".
MAHEEDA always brings something new and different to the table to suit all kinds of taste...
"Kwajina naitwa Dmmoze One(1) Nimsanii wa Muziki wa Kizazi kipya Tanzania Huu ni wimbo wangu wa kwanza kuingia studio na kurekodi kama official track,Ambayo inatambulika kwa jina la NAJIULIZA iliofanyika katika studio ya spirty iliopo Dar es Salaam chini ya...
Tazama video mpya kutoka kwa Teso Boy iitwayo Jala Mijeli,audio imetayarishwa na Naroh Stress kutoka Rash Record na video imeongonzwa na Pizzo Mtena kutoka Skillz Vide...
Rapper Darasa ameachia video ya ngoma yake mpya "Sio Mbaya" akimshirikisha Osman,Audio imetayarishwa ndani ya studio za AM Records na Muongozaji wa video ni Hanscana.Itazame hap...
Baada ya wapenzi wa muziki
Tanzania kusubiri kwa muda mrefu sasa wamepata nafasi ya kujiburudisha na ngoma
mpya kutoka kwa Alikiba. Tarehe 25 Julai, 2014 Alikiba ameachia single mbili
mpya kwa wakati mmoja ziitwazo “Mwana” na “Kimasomaso”. Alikiba anajulikana
ndani na nje...
Country Boy ameachia ngoma yake mpya iitwayo Mchaka Mchaka akimshirikisha Mr Blue,Mtayarishaji ni Mesen Selekta kutoka Defatality Music.Isikilize na Download h...
Skylight Band wameachia ngoma yao mpya iitwayo 'Pasua Twende' imefanyika kwenye studio zao za Skylight Production .Isikilize,Download na Itazame hapa...
Enjoy the offcial video for Mavin Records Hit single Dorobucci featuring
Don Jazzy, Tiwa Savage, Dr SID, D'Prince, Reekado Banks, Korede Bello,
Di'Ja. Directed by Nick Molotov and shot on location in South Africa the
Video Also features a cameo appearance by the Winner...
New single Sura Yako (Swahili for Your Face) by East Africa’s top band
Sauti Sol (Kenya). The song is the third single off the group’s third
album “Live and Die in Africa” dropping this year. Sura Yako is written
and produced by Sauti Sol under Sauti Sol Entertainme...
Young Killer Msodoki ameachia ngoma yake mpya 'Umebadilika' akimshirikisha Banana Zoro, Mtayarishaji ni Dee Classic na Man Walter.Isikilize na Download h...
Lamar anaendelea na Project yake ya kuzirudia ngoma za bongo na kuzitengeneza katika mahadhi ya dance,Safari hii ameachia ngoma ya Navy Kenzo 'Chelewa'.Isikilize na Download h...
Young Dee ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo Rockstar,Audio imetayarishwa na Maximilian, Erastone Machine, Moses Kinanda, na Allan Mapigo.Muongozaji wa video ni Enos Olik.Itazame ha...
Stamina ameachia ngoma yake mpya iitwayo Huko Kwenu Vipi akimshirikisha Nay Wa Mitego, Mtayarishaji ni Mr T Touch kutoka Seductive Records.Isikilize na Download ha...
Stella Mwangi is out with her new smash hit BIASHARA!´Biashara´ is a swahili word for ´Business´.The song is about the struggle for money, power and respect in the corporate world.Song produced by Rumblin. Wat...
Msanii kutoka Ghana, Fuse ODG
ameachia video ya wimbo wake mpya 'Dangerous Love' akimshirikisha Sean Paul kutoka Jamaica.Audio imetayarishwa na Killbeatz pamoja na Di Denius.Itazame ha...
Tazama video mpya kutoka kwa Stereo akimshirikisha Ben Pol inaitwa Usione Hatari.Audio imetayarishwa na DX kutoka Noizmekah Studio na Muongozaji wa video ni Adam Juma kutoka Next Level Productio...
I’m so excited that one of the projects that is so dear to my
heart (to empower women and children) for the last 3 years I have been
working very hard on it, is soon to become a reality…
The Toto Shine Magazine is now looking for drawings, poems or short...
The tag team of EME & STARBOY
are proud to jointly present to you the brand new video for WizKid's
"Show You The Money"... the video was shot on location in the exact same
hood that Wiz grew up in, and shows that he hasn't forgotten...
Tazama video mpya kutoka kwa Koba akimshirikisha Dully Sykes inaitwa Kizungumkuti.Audio imetayarishwa ndani ya studio za Digital Vibes na Studio 4.12 mtayarishaji akiwa ni GQ.Video imeongozwa na Henxer Film...
Chege na Temba wameachia video ya ngoma yao mpya inayoitwa
'Wauwe' wakimshirikisha Maromboso kutoka Mkubwa na Wanawe,Mtayarishaji
ni Shirko pamoja na Marco Chali.Muongozaji wa video ni Adam Juma kutoka Next Level Productio...
Linah finally drops the video for "Ole Themba"
The video was shoot in South Africa,
Lovely video from Linah and good directing skills from GODFATHER.Watc...
Tazama video mpya kutoka kwa Kalapina akimshirikisha Q Chillah inaitwa Hip Hop Is Alive,Audio imetayarishwa ndani ya studio za Rubby Records na Muongozaji wa video ni Nick Dizzo kutoka Focus Film...
Baada ya kufanya poa na ngoma ya Nishike Mkono D knob amedondosha ngoma nyingine mpya iitwayo "Njaa Ya Mkwanja" imetayarishwa na Villy David kutoka Mwanalizombe Studios.Isikilize na Download h...