Hii ni video mpya ya Msanii wa filamu Tanzania 'Flora Mvungi' a.k.a H Mama akimshirikisha H Baba inaitwa Kidogo. Video imefanywa na Kwetu Studios na audio ni C9.Itazame ha...
Siku ya leo Msanii wa Ragga/Dancehall Dabo ambaye aliwahi kushinda
tuzo wa KTMA 2014 ana funga ndoa na pia anachia ngoma mpya inaitwa "I
Love You". Tumpe Dabo support na hongera kubwa. Tayari wimbo huu upo hapahttps://mkito.com/song/i-love-you/24...
P square wameachia ngoma tatu mpya pamoja na video ya wimbo mmoja waliomshirikisha Rapper T.I kutoka Marekani.
kupitia website yao wameandika "To our fans all over the world, the wait is over. Our 6th album is
almost ready for you but just before then, here are 3 new...
Hii ni Video Nyingine Kutoka Kwa Msanii Wa Hip Hop Nay Wa Mitego Iliyotengenezwa Na Kevin Bosco Jnr Wa Decent Media.Audio ilitayarishwa na Mr. T Touchez.Itazame ha...
Mkubwa
na wanawe wanatambulisha msanii kutoka kituoni kwao anakwenda kwa jina
la Amili Mili na wimbo wake unakwenda kwa jina la NIKUPETI PETI,Umetayarishwa na Shirko. Tayari huu wimbo upohttps://mkito.com/song/nikupeti-peti/2435 ...
Hii ni kazi mpya ya Msanii M 2 the P akimshirikisha Mtoto wa Mandela inaitwa Siabonga Nkosi,imefanyika Uprise Music chini ya Mtayarishaji Dupy.Isikilize na download h...
East African artist Nameless has always had a very close relationship
with Uganda. During one of his many tours , a Ugandan fan challenged
him to learn some Luganda. This inspired the idea to this song.
Butterfly (kiwojolo) is a love song from a man to a woman of a...
Cyrill Kamikaze ametoa video ya ngoma yake mpya iitwayo "Alowa" Audio Imefanyika AM Records Chini ya producer Manecky na Video imeongozwa na Msafiri Shabani kutoka Kwetu Studios.Itazame hap...
A New Brand Music Video from The Dream STUDIOs™, (SaRaha - SHEMEJI
Official Music Video) Shot & Directed Raymond Kasoga,For the Booking
call +255 713 349 128.
Artist: SaRaha
Song: Shemeji
Producer: Memo Crescendo
Director: Raymond Kasoga
Dancers: Jitambue Group
Designer:...
Msanii wa RnB Tanzania, Ben Pol ameachia wimbo wake mpya unaoitwa
'Twaendana' Umefanyika ndani ya studio za Noizmekah.Usikilize na
Download hapahttps://mkito.com/song/benpol-twapendana/2...
Leo
Daz Naledge ametoa Mix Tape mpya inaitwa "Kua Uone" . Daz ameamua kufanya kitu cha kipekee na kuunganisha nyimbo
zote 9 iwe track 1 ndefu ya dakika 36.
Mixtape title: KUA UONE
Artist KINGS
SONGS
01 Nawachanganyia habari
02 Chana mistari
03 Usijumwae
04...
Msanii kutoka Nigeria, Joe El ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa Hold on akimshirikisha 2face kutoka Nigeria pia.mtayarishaji wa audio ni Hakim Absulsamad na muongozaji wa video ni Clarence Peters.Bofya hapahttp://www.youtube.com/watch?v=CLeVmqRO8iI kuitaza...
Nicki Minaj ameachia rasmi video ya ngoma yake mpya iitwayo 'Anaconda' Bofya hapahttp://www.youtube.com/watch?v=LDZX4ooRsWs&list=UUaum3Yzdl3TbBt8YUeUGZLQ kuitazam...
Asia ametoa video ya ngoma yake mpya iitwayo "Leo" Audio Imefanyika C9 Records Chini ya Producer C9. Tayari ipo hapahttp://www.youtube.com/watch?v=VoSnXeeA4...
Download na sikiliza ngoma mpya kutoka Chidi Benz akiwashirikisha Diamond Platnumz na AY inaitwa Mpaka Kuchee Bofya hapahttp://www.hulkshare.com/i3d5ubj98...
Hii ni kazi mpya ya Gelly wa Rhymes inaitwa Iyolele imefanywa na kusimamiwa na Producer Lil Ghetto.Isikilize na Download hapahttp://www.hulkshare.com/lsspyq8wo...
Download na sikiliza ngoma mpya kutoka Bushoke inaitwa Bwagamoyo,Imefanyika Tidy Production,Cape Town-South Africa.Bofya hapahttp://www.hulkshare.com/l869ryr7a...
Wengi mnamjua kama Dudu Baya, ila jina halisi ni Godfrey Tumaini!
Mzaliwa wa Mwanza na mmoja wa watoto 13, Godfrey ana historia ndefu
yenye kupanda na kushuka kufikia alipo sasa.
Nyota njema huonekana asubuhi, na kwa Dudu Baya, mapenzi yake kwa
muziki hayakuanza juzi wala...
Mamong'oo Remix Sasa imetoka Rasmi na inapatikana kwa LINK HII HAPA https://mkito.com/song/mamongoo-remix-noiz-ft-arusha-united/2283
Pata
kuburudika na Ngoma hii ya Kipekee Toka Kwa Jambo Squad
aka Mamong'oo wakiwa sambamba na wasanii kumi na tatu wanaowakilisha...
Hii ni kazi mpya ya Recho inaitwa Naringa imefanyika Kiri Records na kusimamiwa na Producer Rash Don.Isikilize na Download hapa http://www.hulkshare.com/kisusi/recho-nari...
"Wapendwa mashabiki wangu na wapenzi wa miduara kwa ujumla nifursa nyingine naitumia kutekeleza ahadi yangu kwenu ya kukupatieni ngoma mpya kila tarehe 15 ya kila mwezi.Leo hii nadondosha mduara mwingine mpya baada ya Lamsondo Sasa nakuambia 'kheri pengo kuliko jino bovu'...
Chris Brown ameachia video ya wimbo wake mpya 'New Flame' akiwa na Usher na Rick Ross bofya hapahttps://www.youtube.com/watch?v=HwctEiWLe84 kuitazam...
Ngoma tuliyokuwa tunaisubiri kwa hamu ya ROMA na Bob Juinor "Maumivu" sasa ipo! imefanyika Sharobaro Music bofya hapa https://mkito.com/song/maumivu/2289 ku-Download...
Huyu jamaa anaitwa Jeff China akimshirikisha Teacher Z ngoma inaitwa Abomangai,Imefanyika One Love FX Chini ya Producer Tiddy Hotter & Lollipop
DOWNLOAD&nbs...
Msanii kutoka Uganda,Michael Ross ameachia video ya wimbo wake mpya 'Ndi Nowange' bofya hapahttp://www.youtube.com/watch?v=jb5I17sTN7o&feature=youtu.be kuitazam...
Msanii kutoka Kenya,Victoria Kimani ameachia video ya wimbo wake mpya Prokoto akiwa na Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz.Mtayarishaji wa audio ni Tudd Thomas na Muongozaji wa video ni Kevin Bosco JNR.Itazame hap...
Download na sikiliza ngoma mpya kutoka Wille inaitwa Uze Mbela,Imefanyika Mazuu Records bofya hapa http://www.hulkshare.com/hx59rd9w5jpc Ku-Download
...
Fid Q ameachia ngoma yake mpya 'Bongo Hip Hop' akimshirikisha P-Funk Majani kama zawadi ikiwa leo (Agosti 13) ni siku yake ya kuzaliwa.Isikilize na Download h...
Msanii kutoka Kenya,Rama K ameachia ya ngoma yake mpya inayoitwa 'Halla' akimshirikisha Jakaqu.Mtayarishaji ni Dupy na RS Bofya hapa http://www.hulkshare.com/3dp89jrfoq4g Ku-Download ...