
Wimbo
mpya kabisa kutoka Young Killer Msodoki akishirikiana na mkongwe wa hip
hop Fid Q pamoja na Belle 9. Wimbo huu umewashirikisha producer wanne
yaani P Funk Majani kutoka Bongo Records, Palla Midundo, Amiga Tyga na
Lol Pop. Wimbo unaitwa 13.
https://mkito.com/so...