Sunday, November 30, 2014

New Video : Navy Kenzo - Moyoni

Tazama video mpya kutoka kundi la Navy Kenzo inaitwa Moyoni,imeongozwa na Hanscan...
Share:

New Video : Wakazi - Wanawake Wa Dar (WWD)

Tazama video mpya kutoka kwa Wakazi inaitwa Wanawake Wa Dar,imeongozwa na Hefem...
Share:

New Video : Nikki Mbishi feat. One,Songa & Lady JayDee - Kupanda na kushuka

Tazama video mpya kutoka kwa Nikki Mbishi akiwa na One,Songa na Lady JayDee inaitwa Kupanda na kushuka,imeongozwa na Adam Jum...
Share:

New Video : Quick Rocka Feat. Young Dee - Bishoo

Quick Rocka ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo Bishoo akimshirikisha Young Dee,imeongozwa na Khalfa...
Share:

New Video : Lady Jaydee Feat. Dabo - Forever

Tazama video mpya kutoka kwa Lady Jaydee akimshirikisha Dabo inaitwa Forever,imeongozwa na Adam Jum...
Share:

New Video : Ommy Dimpoz - Tupogo Remix

Tazama video mpya kutoka kwa Ommy Dimpoz inaitwa Tupogo,imeongozwa na Adam Jum...
Share:

New Music : Angel Benard - Ufundishe Moyo

"Ni sala ambayo ninamuomba Mungu anifundishe kumuabudu katika roho ya kweli, na siyo tu nikiwa katika shida au ninapohitaji msaada fulani."https://mkito.com/song/ufundishe-moyo/5652 ...
Share:

Thursday, November 27, 2014

New Video : Jose Chameleone - Milliano

Tazama video mpya kutoka kwa DR JOSE CHAMELEONE inaitwa MILLIA...
Share:

Wednesday, November 26, 2014

New Music & Video : Kala Jeremiah Feat. Nuruwell - Usikate Tamaa

Kala Jeremiah ameachia audio na video ya ngoma yake mpya"Usikate Tamaa" akimshirikisha Nuruwell ...
Share:

New Video : Waje Feat. Diamond Platnumz - Coco Baby

Video ya msanii wa Nigeria Waje na Diamond Platnumz ‘Coco Baby’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sasa imetoka nakukaribisha uitazame ha...
Share:

Zawadi ya Krismasi!

Album mpya ya Krismasi! Huu ndiyo wimbo wa utambulisho kutoka kwa William Otuck: https://mkito.com/song/zawadi-ya-x-mas/4691 Album nzima inapatikana hapa: https://mkito.com/artist-profile/otuck-william/964 Krismasi hii, Santa hatokuwa akitoa zawadi peke...
Share:

New Video : Hisia - Gimme A Call

Video directed by Hanscana of Wanene Entertainment,audio produced by John Blass for Grandmaster Records Download Gimme A Call here: https://mkito.com/song/gimme-a-call/30...
Share:

New Video : Tiwa Savage - My Darlin'

Mavin Records & 323 Entertainment presents ''My Darlin'' official video by Tiwa Savage. Produced by Don Jazzy,Directed by Kemi Adetib...
Share:

Tuesday, November 25, 2014

New Music : Waje Feat. Diamond Platnumz - Coco Baby

Ile single mpya ya msanii wa Nigeria Waje na Diamond Platnumz ‘Coco Baby’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sasa imetoka nakukaribisha uisikilize h...
Share:

New Music : Quick Rocka Feat. Young Dee - Bishoo

Wimbo mpya kabisa kutoka kwa bingwa wa tongue twister. QUICK ROCKA anakuletea BISHOO ambao ni wimbo amemshirikisha Young Dee.https://mkito.com/song/bishoo-ft-young-dee/4832...
Share:

New Music : Ditto - Heri ya Christmas

Msimu wa Christmas ndiyo unatufikia sasa na wimbo wa kwanza wa Christmas ndiyo huu hapa kutoka kwa Ditto. Ditto ambaye ameandika nyimbo nyingi ambazo ni hits kubwa katika muziki wa Tanzania pia ni mwimbaji na mwalimu wa muziki Tanzania House of Talent.https://mkito.com...
Share:

New Music : Navy Kenzo - Moyoni

Wimbo mpya kutoka kwa Navy Kenzo unaitwa MOYONI na unatoka kwenye album mpya ya NIROGE. Wimbo unaongelea wapenzi wawili ambao wanataka kuchukua hatua nyingine kubwa katika uhusiano wao. Wimbo umekuwa produced na Nahreel mwenyewe.https://mkito.com/song/moyoni/48...
Share:

Video : Wema Sepetu "In My Shoes" S02EP02 Fiesta Tour Mwanza

Tazama sehemu ya pili  reality ya show ya Msanii wa filamu Tanzania 'Wema Sepetu' inayojulikana kama "In My Shoe...
Share:

New Video : Jaguar Feat. Iyanya - One Centimeter Remix

Tazama video mpya kutoka kwa Jaguar (Kenya) akiwa na Iyanya (Nigeria) inaitwa One Centimeter...
Share:

Monday, November 24, 2014

New Music : AY Feat. Sean Kingston & Ms Triniti -Touch Me

AY ameachia ngoma yake mpya "Touch Me"Featuring Sean Kingston & Ms Triniti,imetayarishwa na  Riley na Zaire Koa...
Share:

New Music : Lady Jaydee Feat. Dabo - Forever

Pakua wimbo mpya kabisa kutoka kwa Lady Jay Dee na Dabo. Jay Dee amehama kidogo kutoka style yake ya kawaida ya Zouk Rhumba na kuimba wimbo huu katika style ya Reggae. Amemshirikisha mdogo wake Dabo ambaye ni mshindi wa tuzo ya KTMA best reggae artist wa Tanzania mwaka...
Share:

New Music : Jaguar Feat. Iyanya - One Centimeter Remix

Download na Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Jaguar (Kenya) na Iyanya (Nigeria) inaitwa One Centimeter imefanyika Main Switch Studi...
Share:

New Music : Witnesz – Chunga Mdomo wako

Download na Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa Witnesz  unaitwa  Chunga Mdomo wako                            DOWNL...
Share:

New Music : Victoria Kimani - Show

Chocolate City’s raving East African songstress Victoria Kimani releases her newest single Show produced by prolific Made Men Music group producer Tekno Miles.Following up her successful East African hit Prokoto with featured Diamond Platnumz and Ommy Dimpoz, Victoria...
Share:

New Music : Davido - Owo Ni Koko

  Davido releases a new track and he calls this one OWO NI KOKO. Enjoy.......
Share:

Friday, November 21, 2014

New Video : Young Killer Feat. Fid Q & Belle 9 - 13

Young Killer ameachia video ya wimbo wake mpya" 13" Wimbo huu umetayarishwa na producers wanne yaani P Funk Majani kutoka Bongo Records, Palla Midundo, Amiga Tyga na Lol Pop na video imeongozwa na Director Nisher.Itazame hap...
Share:

New Music : Angel Benard - Mimi na Yesu

Ni wimbo unaoelezea jinsi ambavyo Mungu ni ukamilifu wa maisha ya mwanadamu. Na hivyo hakuna cha kuogopa wala wa kumuogopa humu duniani. Kila kitu kimetoka kwa Mungu, kinapatikana kwake na mwisho wa siku tuna kila sababu ya kutoogopa na kukiri kwa ujasiri kuwa yote yanapatikana...
Share:

Thursday, November 20, 2014

New Video : Mr Blue - Pesa

Mr Blue ameachia video ya wimbo wake uitwao" Pesa" Mtayarishaji wa audio ni Sei kutoka Sei Records na video imeongozwa na Adam Juma kutoka Next Level Production.Itazame ha...
Share:

New Video : Diamond Platnumz - Ntampata Wapi

Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake mpya " Ntampata Wapi" Mtayarishaji wa audio ni Sheddy Clever na video imefanywa na Godfather Productions nchini afrika kusini.Itazame hap...
Share:

Video : Wema Sepetu "IN MY SHOES" S02EP01 Mapokezi ya Diamond

Msimu wa pili wa reality show ya Msanii wa filamu Tanzania 'Wema Sepetu' umeanza.Tazama sehemu ya kwanza hap...
Share:

New Video : Meda - Barua kwa Diamond

Ni dakika mbili na sekunde 59 ambazo zimetumika na mwimbaji huyu mpya kwenye bongofleva ambapo barua hii imesimamiwa na producer Silley kutoka Sampamba Music (Iringa) na video ya barua hii imepigwa hukohuko Iringa.   ...
Share:

New Music : Diamond Platnumz - Ntampata wapi?

Wimbo mpya kutoka kwa Diamond Platnumz - Ntampata wapi? https://mkito.com/song/ntampata-wapi/401...
Share:

New Music : Makomando - Sherikoko

Ngoma mpya kutoka Makomando - SHERIKOKO https://mkito.com/song/sherikoko/3517 &nbs...
Share:

Wednesday, November 19, 2014

New Video : Avril - Nikimuona

Tanzania ilimfahamu vizuri baada ya hits zake kama mama na ile ya ‘chokoza’ lakini baada ya hapo Avrill ambae ni Mkenya ameendelea kuwa kwenye TV na Radio kutokana na kazi zake nzuri ambazo amekua akizitoa mara kwa mara.hii ni video yake nyingine mpya inayoitwa Nikimu...
Share:

Coming Soon : Ntampata wapi?

Kitu kipya kesho "Ntampata wap...
Share:

Tuesday, November 18, 2014

New Music :Vanessa Mdee & Barnaba - Siri

Wimbo mpya kutoka kwa Vanessa Mdee na Barnaba. Wimbo unaitwa SIRI.https://mkito.com/song/siri-vanessa-barnaba/3513 ...
Share:

New Video : PSquare - Shekini

Africa’s biggest singing duo come through with the second video to one of the singles off their recently released 6th studio album, “Double Trouble”. “Shekini” video is an energetic pictorial which sees the artistes combine with youthful dancers to perform moves that’d...
Share:

New Music : Mwasiti Feat. Kingzilla - Leo

Wimbo mpya kutoka kwa Mwasiti akimshirikisha Kingzilla. Wimbo unaitwa Leo.https://mkito.com/song/leo-ft-kingzilla/3...
Share:

New Music : Dully Sykes Feat. Maunda Zorro - That's the way

Wimbo mpya kutoka kwa Dully Sykes a.k.a. Mr Misifa akiwa na Maunda Zorro. Wimbo unaitwa That's the way.https://mkito.com/song/thats-the-way-ft-maunda-zorro/350...
Share:

New Music & Lyrics - Jimmy Yeyoo Feat. L5 - Hamjanijua

Artist Jimmy Yeyoo Ft L 5 Song Hamjanijua Gentr HipHop Country Tanzania LYLicsIntro [L5] Hamjanijuaaa , Mnanisumbuaaaa Haayaaa hayaaaa Nisomeni Kwa Makini nisikilizeni Ahaaa -- B One Records Nisomeni kwa makini nisikilizeni Maneno Yangu Kichwani Yawekeni; Verce 1: ...
Share:

Saturday, November 15, 2014

New Video : Tox Star Feat. Seseme - Ole

Tazama video mpya kutoka kwa Tox Star akiwa na Seseme inaitwa O...
Share:

Coming soon : Sgizzy - Utatokea

 Ngoma mpya ikwendayo kwa jina la utatokea iliyo imbwa na shadygideon(sgizzy) itatoka ijumaa ijayo chini ya producer Ti...
Share:

New Music : Bob Haisa - Maisha Ya Ndoa

''Kumraadhi mashabiki na wadau wenzangu hivi karibuni kupitia Mwandishi Nyemo Malecela niliahidi  kwamba ifikapo tarehe 15.11.2014 nitaachia wimbo mpya uitwao 'Mswaki' ila mambo hayajaenda hivyo na badala yake nimewawekea rhumba hili liitwalo Maisha ya ndoa.Enjoy''...
Share:

Thursday, November 13, 2014

New Music : Nay Wamitego - Akadumba

AKADUMBA ngoma mpya kutoka Nay Wamitego, sasa ipo hapa https://mkito.com/song/akadumba/344...
Share:

Wednesday, November 12, 2014

New Music : Godzilla - Illumi Naughty & Karibu Yako.

 Nyimbo mbili mpya kutoka kwa Godzilla - Illumi Naughty na Karibu Yako. Wimbo wa Karibu Yako umerekodiwa chini ya usimamizi wa Lamar akiwa Fishcrab studios na wimbo wa Illumi Naughty umerekodiwa chini ya Mswaki.  https://mkito.com/song/illumi-naughty/3427...
Share:

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support