
Linex na Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa wanaounda kundi la Lekadutigite ambalo ndani yake lina mastaa wengine kama Ali Kiba, Recho, Abdul Kiba, Baba Levo, Mwasiti, Queen Darleen na wengine wengi.
Linex kwenye kolabo hii amesema kuwa haikuwa imepangwa yaani...