
Stori: Mashaka Kisusi,Mwanza/Risasi
NDANI ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, mama mmoja ambaye jina lake
halikufahamika mara moja, mkazi wa maeneo ya stendi, wilayani Misungwi
mkoani Mwanza anadaiwa kuchezea kichapo kutoka kwa mumewe baada ya
kumfumania akiwa na kimada, Risasi...