
Leo ndio siku ninayoachia nyimbo yangu "nimechoka" naomba
uisikilize, vilevile mtumie na mwenzio. Sambaza UJUMBE. Ninaamini kuwa
wote tukizungumza bila uoga, tukiamka... tunaweza kuwa na Tanzania isiyo
na ufisadi. Haijalishi wewe ni chama kipi, kilicho na maana ni-...