Nguli wa Bongo Flava Inspector Haroun kajibu mashambulizi ya Roma (Viva) katika huu wimbo wake mpya #HapaKaziTu
Link > http://bit.ly/HapaKaziTu
Tuesday, September 29, 2015
Mkito Mpya | Ben Pol Feat. Avril & Rossie M - Ningefanyaje
Anayejulikana kama undisputed king of RnB BEN POL amerudi tena baada ya
kibao chake Sofia na kukuletea wimbo wake mpya aliyomshirikisha AVRIL.
Usipitwe na hit mpya kutoka kwa BEN POL - NINGEFANYAJE?
_______________________
The undisputed Tanzania's King of RnB is back with a Brand new RnB Ballad called Ningefanyaje to be release 24th September, 2015. This song features Kenya’s Sweetheart Avril and Tanzania’s upcoming songbird Rossie M. This project is produced by Mswaki.
Ben Pol has taken part in Coke Studio Season 3 which will be aired on 10th October,
2015 and Ningefanyaje is among the songs he performs with a live band
of Coke Studio in Nairobi, Kenya. On Coke Studio Ben Pol is paired and
collaborated with Kenya's Wangechi.
This single comes as a follow up of the successful hit record called Sophia which was released on 15th January,
2015. Sophia is rated the longest chart topping single of 2015 so far.
Sophia has spread on airwaves and crossed boarders all over the East
African Region and some other parts of Africa.
______________________
Instagram: @iambenpol
FaceBook: www.facebook.com/ IAmBenPol
Twitter: www.twitter.com/ iambenpol
for Bookings Contact
http://bit.ly/ningefanyajeMkito Mpya | Nakupenda - Switcher Ft. Quick Rocka
Sikiliza wimbo mpya Switcher Ft. Quick Rocka - Nakupenda!
Mkito Mpya | Sista Sista - Nakaaya Ft Lady Jaydee
Link > http://bit.ly/SistaSista
Mkito Mpya | Usingizi - Tarsis Masela
"Baba mwenye nyumba amerudi wapangaji wanatafutana..." ndivyo unavyoanza wimbo wa Tarsis Masela (Akudo Impact) - USINGIZI!
Pakua hapa > https://mkito.com/song/ usingizi/16319
Friday, September 18, 2015
New Video : Mtes - Baby
Contacts:
WhatsApp: +255 713218555
Link ya Video ni>>>>>>>> https://vimeo.com/138788330
Mkito Mpya | Nimepania - Sammisago Ft. Ben Pol
Kuwa wa kwanza kupakua kitu kipya kutoka kwa Sammisago akimshirikisha Ben Pol - Nimepania!
Link > http://bit.ly/NIMEPANIA
Mkito Mpya | Dully Sykes - Kwani wewe ni nani?
Prince Dully Sykes anakuja na mzigo mpya kutoka studio za Dhahabu Records. Wimbo unaitwa Kwani wewe ni nani?
Pakua wimbo hapa http://bit.ly/ KwaniWeweNiNani
Monday, September 14, 2015
Mkito Mpya | Jooh Harakati Feat. Walter Chilambo - September 14
"Nimefanya Track hii ambayo
inaelezea nusu ya maisha yangu niliyopitia mpka hapa leo nilipo na kila
nilichokiimba kinanigusa mimi kwa 100%. September
14 nilizaliwa na baada ya miaka 2 kupita baba alifariki na kubaki na
mama, kaka na dada pia, mama alikomaa mpka wote tukapata misingi na
tumezaliwa watoto 11, 2012 mama yetu mpendwa alifariki. Nakupitia Track
hii nimeelezea Isikilize."
Jooh Harakati - 2015
Saturday, September 12, 2015
New Video : Wyre - Kingston girl
This is the first single off Wyre's LION Album. Produced by Chimney Records off the Country Bus Riddim. Video by Young Wallace Productions. LION ALBUM Available on Itunes https://itunes.apple.com/ke/album/lio...
or www.wyre-music.com
Mkito Mpya | Young Killer - Mtanzania
Katika msimu huu wa kampeni za uchaguzi wasanii mbalimbali wamekuletea
maoni yao kuhusu kiongozi bora wa kupigiwa kura ni yupi. Msikilize YOUNG
KILLER katika wimbo wake mpya iitwayo MTANZANIA akitoa maoni yake.
https://mkito.com/song/ mtanzania/16245
New Video : Tell Everybody - The Global Goals Campaign
Tell Everybody features Mafikizolo (South Africa), Yemi Alade (Nigeria), Diamond (Tanzania), Sauti Sol (Kenya), Toofan (Togo), Becca and Sarkodie (Ghana). Learn more about the Global Goals at http://www.globalgoals.org
Written, recorded, produced and released by Africans for the world, the song attempts to ignite the political passions of young people to hold their leaders to account in meeting the Global Goals for Sustainable Development: to end extreme poverty, fight inequality and fix climate change by 2030.
The historic signing of the Global Goals for Sustainable Development by 193 world leaders will take place on 25 September at the United Nations in New York.
To capture the voice of Africa’s youth, producers Cobhams Asuquo (Nigeria), David KING DAVID Muthami (Kenya) and Ellputo (Mozambique) launched a verse-writing competition and received 5712 entries from 24 African countries.
Help us get the goals to everyone on the planet. Share this video.
Join here and challenge your leaders to deliver the goals: http://www.one.org/telleverybody
Click here to download the track: http://po.st/TellEverybody
Mkito Mpya | Redsan - Shoulder Back
Huu ni wimbo mpya wa Redsan ambao umekua ukisubiriwa kwa hamu kubwa
Link > http://bit.ly/ShoulderBack
Mkito Mpya | Utu Uzima Dawa - Nakaaya Feat. Dunga
"Its a song expressing my
freedom from the chains that held me back as a woman and an individual.
Its a song reminding me of my mothers advice.It does not matter how many times or how hard you fall. Its how you get yourself back up.
I
am now a proud single mom, happy and thankful to have and to raise my
soldier alone. In truth utu uzima dawa. You live and you learn."- Nakaaya
Link > http://bit.ly/UtuUzimaDawaFriday, September 11, 2015
New Song : Mtes - Baby
Contacts
WhatsApp: +255713218555
Facebook: Geofray Mtes
Twitter: iamdjmtes
Instagram: iamdjmtes
Link ya Nyimbo ni hii>>>>> http://old.hulkshare.com/ mupzqn5fo268
Thursday, September 10, 2015
Mkito Mpya | Staaay - Godzillah
Link > http://bit.ly/STAAY
Tuesday, September 8, 2015
Mkito Mpya | Fikiri Mara Mbili - Trubadour Feat. P The MC, Songa
Katika kipindi hiki cha uchaguzi, Trubadour akiwa na P The MC
pamoja na Songa wanakusihi ukae chini na ufikiri kwa makini kabla ya
kupiga kura!
Saturday, September 5, 2015
Mkito Mpya | Nakaaya - I am an African
The
song 'I am an African' Was inspired by the genocide in both Rwanda and
Kenya. I wrote it because i felt like alot of Africans have lost sight
of who they really are and instead focused on very irrelevant issues
such as tribalism or political affiliations. At the end of the day, we
are all Africans and it should not matter what tribe, religion or
country you come from. We are one! We should be proud.
Nakaaya - 2015