Msanii Wakazi ameachia video ya ngoma yake mpya 'Sumu Ya Panya (My City)' ambayo audio yake imetengenezwa na Producer Bano Stylez na Muongozaji wa video hii ni Hefemi.Itazame hapa
Tuesday, June 3, 2014
Monday, June 2, 2014
Nasry - Nini (Official Video)
Hii ni video mpya ya Msanii Nasry inaitwa 'Nini' audio yake imetengenezwa na Producer Manecky na Muongozaji wa video hii ni Dir. Nisher. Itazame hapa chini
Maswaga - Mtondogoo (Audio)
Mike Tee – Mchepuko (Audio)
Mike Mwakatundu maarufu kama Mike Tee ameachia ngoma yake mpya inayoitwa Mchepuko ambayo imetengenezwa na Producer Mbezi Isikilize na Download hapa









