Thursday, June 5, 2014
Recho - Replay (Audio)
Baada ya kimya kidogo msanii Recho amerejea na ngoma yake mpya inayoitwa Replay.Mtayarishaji wa ngoma hii ni Ema The Boy. Isikilize na Download hapa
Wednesday, June 4, 2014
BHitz ft. DJ Choka,Gosby,Deddy,MRap & Mabeste - Chapa Mitaa (Audio)
BHitz imeachia wimbo mpya uliowashirikisha wasanii wa zamani wa label
hiyo wasanii hao ni DJ Choka, Gosby,Deddy, MRap Lion na Mabeste. Wimbo unaitwa ‘Chapa
Mitaa’ na umetayarishwa na Hermy B na Pancho Latino.Usikilize na Download hapa
Pado Mzungu ft. Brown Punch - Tungi (Audio)
Hii ni ngoma mpya kutoka kwa Msanii Pado Mzungu wa Roho akimshirikisha Brown Punch inaitwa Tungi. Imetengenezwa na madrum classic.Isikilize na Download hapa
Brown Punch - Niache Niende (Audio)
Msanii Brown Punch ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Niache Niende na producer wa wimbo huu ni madrum classic.Usikilize na Download hapa











