Sunday, June 15, 2014

New Music: D’Banj – Alaye

Early on this week, D’Banj aka Kiniun Fun Fun (The White Lion) celebrated his 34th birthday. The #1 Entertainer in Africa, D’Banj drops a new song titled, “Alaye”.
It was produced by recently signed DB Records Artistes/Producers, 2Kriss. This year marks 10 years for D’Banj as an artist, expect a lot to happen before the end of the year!
Download & Listen herehttp://www.hulkshare.com/stargazelive/alaye
Share:

Future Jnl - Crazy (Audio)

Mkali wa miondoko ya RnB kutoka Rock City,Mwanza 'Future Jnl' amerudi tena  kwenye spika zako na single moja hatari "Crazy" akiwa peke yake kuonyesha zaidi uwezo wake katika muziki. Hebu chukua dakika zako kadhaa kumsikiliza na tupitia comment yako hapa.
Share:

Mayne K - Zawapi Hizo (Audio)

Hii ni ngoma mpya kutoka kwa Msanii Mayne K inaitwa 'Zawapi Hizo' imefanyka ndani ya studio za Sound Lab Records zilizopo Usagara,Mwanza. Isikilize na download hapa
Share:

Saturday, June 14, 2014

Bob Haisa - Lamsondo (Audio)

Mwanamuziki kutoka Rock City,Mwanza 'Bob Haisa' ameachia ngoma yake mpya yenye mahadhi ya Chakacha inayoitwa 'Lamsondo'."hii ni ngoma fulani hivi ambayo inanikumbusha uimbaji wa miondoko ya kipwanipwani ambao naupendaga sana".Alisema Bob Haisa wakati akiongea na blog hii.
Pia aliongeza kuwa huu ni mwendelezo wake wa kuachia ngoma mpya kwa kila mwezi.
Ngoma hii imetengenezwa na King Fenya kutoka Mbunda Records Isikilize na Download hapa
Share:

Heri Muziki - Nakukumbukaga (Audio)

Msanii Heri Muziki amekuja na ngoma yake mpya inayoitwa 'Nakukumbukaga',imeandikwa na Barnaba,KT na Heri Muziki.Mtayarishaji ni Producer Mswaki pamoja na Fundi Samweli bonyeza hapa ku-download na kusikiliza http://www.hulkshare.com/katongo/heri-muziki-nakukumbukaga
au
Share:

Rama K - Muda Wa Hatari (Audio)

"Hii ni freestyle yangu ambayo nahisi wadau wangu wanahitaji kuisikia" Rama K
bonyeza hapa kuisikiliza http://www.hulkshare.com/bpm6xb7acwe8
Share:

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support