Tuesday, June 17, 2014

Video : Uzinduzi wa video ya Jux 'Nitasubiri'

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Jux usiku wa kuamkia Juni 16, 2014 alizindua video yake mpya iitwayo 'NITASUBIRI' ndani ya Klabu Billicanas jijini Dar es Salaam.Tazama hapa ilivyokuwa.
Share:

Kiba Square - Pita Mbele (Audio)

Alikiba na Abdukiba (Kiba Square) wameachia ngoma yao mpya inayoitwa 'Pita Mbele' imetengenezwa na Abydad kutoka Chaiderz Records.Isiklize na Download hapa
Share:

Ngoma mpya ya Langa aliyomshirikisha Julio & TID iko hapa

Ni mwaka mmoja tangu kifo cha rapper Langa, imefahamika kuwa siku 5 kabla ya kufariki kwake aliweza kumalizia ngoma yake ya mwisho iliyokuwa inahusiana na maisha yake. Na ndio siku waliokutana na Julio Batalia aliyekuwa mshiriki wa BBA 2012 na kufikia hatua ya kumaliza kipande chao na kumsubiria TID ambaye mwaka 2013 siku hiyo alikuwa Uingereza na ilikuwa ombi lake la mwisho kwamba kwenye ngoma yake hiyo alikuwa anataka kumsikia mnyama TID angefanya nini kwenye chorus. Pata ngoma hii ambayo kila ukiisikiliza utagundua kuwa Langa alikuwa anaongea na mashabiki wake.
Share:

Monday, June 16, 2014

Navy Kenzo - Aiyola (Audio)

Baada ya kufanya poa na ngoma ya 'Chelewa',Navy Kenzo wamerudi tena na ngoma nyingine mpya inayoitwa 'Aiyola'. Isikilize na Download hapa
Share:

Rich Mavoko - Roho Yangu (Refix) (Audio)

Baada ya kuachia ngoma tano Number One remix ya Diamond Platnumz akimshirikisha Davido,Asante ya AY akimshirikisha Dela,Me and You ya Ommy Dimpoz akimshirikisha Vanessa Mdee,Sugua Gaga ya Shaa na 'Come Over' ya Vanessa Mdee Lamar amekuja na Refix nyingine safari hii amedondosha Refix ya wimbo wa Rich Mavoko 'Roho Yangu'.Usikilize na Download hapa
Share:

Dj Pro ft. Sat B & Mkombozi - Katoto Rmx (Official Video)

Dj Pro ameachia video ya katoto remix akiwa amewashirikisha Sat B na Mkombozi.Itazame hapa
Share:

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support