Msanii kutoka Nigeria '2Face Idibia' ameachia video yake mpya 'Let Somebody Love You' akimshirikisha Bridget Kelly.Itazame hapa
Friday, June 20, 2014
Trey Songz - Foreign (Official Video)
Trey Songz was in South Africa earlier this month for the 2014 MTV Africa Music Awards, and the ladies across Africa loved him on the red carpet and on stage.
He has released his new music video called “Foreign“.
Watch
Linah ft. Diamond Platnumz - Kizai zai (Audio)
Linah Sanga ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Kizai zai' akimshirikisha Diamond Platnumz,Mtayarishaji ni Tudd Thomas.Usikilize na Download hapa
Vanessa Mdee - Come Over (Official Video)
Hatimaye Vanessa Mdee ameachia video ya wimbo wa Come Over ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu sana na Mashabiki wake.Audio imetengenezwa na Nahreel na muongozaji wa video ni Enos Olik.Itazame hapa
Thursday, June 19, 2014
Chege & Temba ft. Maromboso - Wauwe (Audio)
Chege na Temba wamerudi tena kwenye spika zako na ngoma mpya inayoitwa 'Wauwe' wakimshirikisha Maromboso kutoka Mkubwa na Wanawe,Mtayarishaji ni Shirko pamoja na Marco Chali.Isikilize na Download hapa
Wednesday, June 18, 2014
Tanzania All Stars - Tuulinde (Official Video)
Tarehe 14 June,2014 Wasanii mbali
mbali walikusanyika mjini Dodoma kuzinduaVideo hii ambapo
mgeni rasmi alikuwa Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi
mbali mbali. Itazame hapa











