Tazama video mpya kutoka kwa Ney Lee inaitwa Ni kweli,Audio imetengezwa na Zest Mkali na muongozaji wa video ni Tenya Brown kutoka Alama XP.
Thursday, July 3, 2014
Wednesday, July 2, 2014
Madee - Ni Sheedah (Audio)
Barakah Da Prince - Sio Fine (Audio)
Msanii wa Tetemesha Entertainment, Barakah Da Prince leo (July 2) ameachia wimbo wake unaoitwa ‘SIO FINE’.
Wimbo huu anautoa kama ‘zawadi’
kwa mashabiki wake kwa kumpokea vizuri na single yake iliyopita
‘Jichunge’, wakati akijiandaa na single yake ‘official’ itakayotoka
October.
Wimbo huu uliwahi kusikia kwenye vituo
vya Mwanza na kanda ya ziwa ila katika version tofauti na hii, lakini
haukutoka official, hivyo tumeamua kuurekodi upya na kwa kiwango bora
zaidi ili uweze kuwafikia mashabiki wote wapya na wa zamani.
Song Credits:
Producers: Kidboy, Nusder & Lollipop
Song writer: Barakah Da Prince
Studio: Tetemesha (2014)
Triple MG ft. Iyanya, Emma Nyra, Tekno, Selebobo & Baci - Say Yeah (Official Video)
Triple MG release the
video for ‘Say yeah‘, the first single off ‘The Evolution’ album
featuring Iyanya, Emma Nyra, Tekno, Selebobo and Baci.
It was Directed by Mattmax, watch below…...
Read More at thenet.ng/2014/07/video-triple-mg-say-yeah-feat-iyanya-emma-nyra-tekno-baci-selebobo/ Follow us: @theNETng on Twitter | theNETng on Facebook

Triple MG release the video for 'Say Yeah' the first single off 'The Evolution' album featuring Iyanya, Emma Nyra, Tekno, Selebobo and Baci,Directed by Mattmax.Watch below
Tuesday, July 1, 2014
Mkasi | SO9E02 with Fareed Kubanda (Fid Q) (Video)
Fareed Kubanda, Wa Kipekee, One of a Kind au kama anavyofahamika kwa
wengi Fid-Q, Msanii Mkongwe wa Hip Hop Tanzania mwenye mafanikio
makubwa ana machache ya kusema. Msanii alieipandisha Mwanza katika
ramani ya kimuziki Tanzania, na mshahiri mahiri mwenye tenzi zenye uzito
katika lugha adhimu ya Kiswahili.
Miaka saba bila kushinda tuzo yoyote pamoja na kuteuliwa, na almanusra akate tama, anatukumbusha kuwa mvumilivu hula mbivu.
Fareed anatukumbusha machache kuhusu changamoto ya kujenga familia akitolea mfano mahusiano ya wazazi wake. Fid Q pia anatueleza ni jinsi gani malezi yake yamempa funzo katika jinsi anavyotarajia kumlea mwanawe.
Fid Q ana mengi ya kutushirikisha kuhusu alichofanya kukuza sanaa na vipaji, jinsi gani tutawatambua wale waliopiga hatua na kuitambulisha nchi kisanii. Ni mmoja wa wasanii waliokomaa, na hekima zikitiririka kinywani kwake....msikilize mwenyewe, upate machache!
L . O . V . E