Saturday, July 5, 2014

Rama K ft. Kaa la Moto - Dundika (Audio)

Hii ni ngoma mpya kutoka kwa Rama K msanii wa hiphop kutoka kenya akiwa amemshirikisha Kaa la Moto wa tamaduni music ya tanzania.Isikilize na Download hapa
Share:

Friday, July 4, 2014

Shaa - Subira (Audio)

Shaa ameachia ngoma yake mpya 'Subira' imetengenezwa na Shirko,Isikilize na Download hapa
Share:

J. Martins - Faro (Official Video)

"Hello Beautiful People, it's fresh and it's out Watch, enjoy and share Brand new J. Martins Video for "Faro" Thanks for spreading and supporting African Music" J. Martins
Share:

Snura - Ushaharibu (Official Video)

Snura ameachia video ya wimbo wake mpya 'Ushaharibu',audio imetengenezwa na Abby Dady kutoka Chaiderz Records na muongozaji wa video ni Adam Juma kutoka Next Level.Itazame hapa
Share:

Thursday, July 3, 2014

Video : Tarsis Masela ft. Mzee Yusuf - Tabia Mbaya

Tazama video mpya kutoka kwa Tarsis Masela akimshirikisha Mzee Yusuf inaitwa Tabia Mbaya.
Share:

Ney Lee ft. Nay wa Mitego - Usinikatae (Audio)

'Usinikatae'Ni mkwaju mpya wa Mwanadada Ney Lee hapa akimshirikisha Nay Wa Mitego.Mtayarishaji ni Mr T. Usikilize na Download
Share:

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support