Wimbo huu unalenga kupunguza tofauti kati ya matajiri na masikini.umetayarishwa na Producer Mnyambudu kutoka Delta Media Studio TZ.
Sunday, October 5, 2014
New Video : Wadogo Zao - Chanda Chema
Wadogo zao ni kundi ambalo limeanzishwa na vijana wapatao watatu ambao
wanamalengo ya kuweza kuufikisha mziki huu wa bongo flava katika level
za juu zaidi ya hapo ulipo,tazama video yao hapa.
Saturday, October 4, 2014
New Video : Micharazo B.O.B Feat. Mr.Tz aka SanTz - True Story
Tazama video mpya kutoka kwa Micharazo BOB wakimshirikisha Mr TZ a.k.a San TZ msanii kutoka Washington DC
Friday, October 3, 2014
Thursday, October 2, 2014
New Music : Gosby Feat. Godzilla - Blame On Me
Gosby lets off a new tune from his upcoming mixtape, MISSTAPE . “Blame On Me,” featuring Godzilla, was produced by Fundi Samweli, additional vocals by Damian Soul.
DOWNLOAD
DOWNLOAD











