Tuesday, April 14, 2015

New Music : Blood Power Feat. HD - Goma (Stevee.Noiz)

Bofya HAPA http://goo.gl/fWnGhi kupakua wimbo wa "Blood Power" wakimshirikisha Mwanadada "HD" katika wimbo kwa jina "Goma" ikiwa ni BongoFleva Category,kwa Mawasilano/Mahojiano zaidi check na BLOOD POWER Kwa +255 764 965 568 au +255 768 490 592 powered by @vmgafrica #SupportYourOwn @defxtro
Share:

Monday, April 13, 2015

New Music : Mbigiri Squad - Inakuwa Nini (NOIZ)

Bofya HAPA http://goo.gl/eDrMzP kupakua wimbo wa "Mbigiri Squad" wakiwakilisha Karatu katika Game la Bongo,Ngoma inaenda kwa jina "Inakuwa Nini" ikiwa ni hiphop category toka @noizmekah, kwa mawasilano/mahojiano zaidi +255 655 531 090 & +255 766 155 428 powered by @vmgafrica @defxtro www.vmgafrica.com #SupportYourOwn
--
Share:

New Music : Kaa La Moto - Litakuchoma

Sikia wimbo kutoka kwa Kaa La Moto - Litakuchoma > https://mkito.com/song/litakuchoma/13038

Kaa La Moto ni msanii chipukizi wa hip hop Kutoka Kenya Coast ambaye pia ni host wa TV show (Pwani TV). Ameshawahi kushirikiana na wasanii kama vile One Incredible Kutoka Tanzania na Pia Nyota Ndogo.
Share:

Wakazi - Live From Staki Shari Mixtape

Wakazi drops the long awaited mixtape "Live From Stakishari".

This is the 5th mixtape since he started droping them and from the release of the earlier tracks like, "Dengue Fever", "One Day Yes", "Usinshike Mkono" and "Kwa Mtogole".

Wakazi is currently in preparations to finish off his debut album and his international releases all set to drop this year.
Share:

Monday, April 6, 2015

New Video : Bonta - Mauongo Uongo

Rapper wa kundi la Weusi, Bonta Maarifa ameachia video ya wimbo wake 'Mauongo Uongo' iliyoongozwa na Hanscana.Itazame hapa
m
Share:

New Music : Fid Q Feat. Ben Pol - Bendera ya Chuma

Fid Q akimshirikisha Ben Pol anakuletea zawadi ya pasaka BENDERA YA CHUMA.Pakua hapa https://mkito.com/song/bendera-ya-chuma/13838
Share:

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support