Tuesday, July 15, 2014
Leo Mysterio ft. Deddy - I Wish (Audio)
Download na Sikiliza wimbo mpya wa Leo Mysterio akimshirikisha Deddy wimbo unaitwa I Wish,Mtayarishaji ni Duppy kutoka Uprise Music
Mkasi | SO9E04 with Penny (Video)
Mkasi Wiki Iliyopita na #VjPenny Bonyeza https://www.youtube.com/watch?v=a01W4mVwmM8 Kuangalia
Fred Swagg ft. Young Killer & Kad Go - Maandishi (Official Video)
Official Video ya msanii Fred Swagg feat. Young Killer & Kad Go.
Nyimbo inaitwa Maandishi audio imetengenezwa na DEE CLASIC wa REVOLUTION
SOUND. Video imefanywa na KWETU STUDIOS, Directed by Msafiri Shabani.
Future Jnl - Worumo (Audio)
Future Jnl ameachia ngoma yake mpya inayoitwa Worumo
imetengenezwa na J Monster kutoka Studio za MegaTown Records.Isikilize na Download hapa
imetengenezwa na J Monster kutoka Studio za MegaTown Records.Isikilize na Download hapa
Bob Haisa - Ramadhan Kareem (Lyrics + acapella)
Yaa shahar ramadhan khair min alfu shahar ooh!
shahar ramadhan khair min
Alfu shahar×2
Verse1
Mwezi ulojaa amani
utulivu wa duniani
huzidi za waja
imani
ufikapo yaa ramadhan
Karibu ramadhan
karibu ramadhan
karibu
ramadhan yaa shahar ramadhan,
karibu ramadhan
karibu ramadhan
karibu
ramadhan yaa shahar ramadhaan
Chorus
Yaa shahar ramadhan khair min alfu shahar ooh!
shahar ramadhan khair min
Alfu shahar×2
Verse 2
You are the best than
thousand month's,
you are the best than thousand month's×2
we are happy
with you ramadhan Kareem,
we don't want to loose you ramadhan kareem
,
we are proud of you ramadhan Kareem,x2
Twakufurahia ramadhan kareem
Hatutaki ututoke ramadhan kareem
Uwepo siku zote ramadhan kareem
ramadhan kareem Yaaaaaaaa yaaaaa
Chorus
Yaa shahar ramadhan khair min alfu shahar ooh!
shahar ramadhan khair min
Alfu shahar×2
Bridge
yaa shaharr ramadhan karibu ya ramadhaan ramadhan kareem
yaa karibu ya ramadhaan karibu ya ramadhaan ramadhan kareem
Chorus
Yaa shahar ramadhan khair min alfu shahar ooh!
shahar ramadhan khair min
Alfu shahar×2











