FM Academia wanakuletea albam yao mpya kabisa iitwayo CHUKI YA NINI?
Hizi ndizo nyimbo mbili za kwanza kwenye album hii ya wakali wa muziki
wa dansi wazee wa Ngwasuma!
Wednesday, November 12, 2014
Tuesday, November 11, 2014
New Music : Izzo Bizness Feat. G-Nako - Haina Kufeli
Download na Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa Izzo Bizness - Haina Kufeli
Monday, November 10, 2014
New Music : Beeman Feat. J Deal,Dullayo,Jordan,Wyre,Banana Zorro,Steve RnB & Ben Pol - Embe Dodo Remix
Embe Dodo Remix - Hiini kubwa kuliko kutoka Grandmaster Records kwa ushirikiano mkubwa na
Lovechild Records, Beeman akiwa na Jordan, Wyre, Banana Zorro, Ben Pol,
Jdeal, Steve RnB na Dullayo. Produced by John B
#embedodormx
#balaatupu #kubwakuliko #grandmasterrecords follow @johnbgrand
@beemantz @wyredalovechild @bananazorro @iambenpol @stevernb powered by
@fresh120media, www.fresh120media.com
New Music : JCB - Mtoto Mkali
Hii ni ngoma mpya ya JCB Kutoka WATENGWA Kijenge Juu, ngoma inaitwa MTOTO MKALI (Ghetto Luv)
imefanywa katika studio za Watengwa chini ya Daz Naledge na kufanyiwa
Mastering na DX wa Noiz Maker. Featured kwenye huu wimbo ni Hisia kutoka
Tusker Project Fame. Hii ngoma itapatikana katika Album mpya ya
#YANIKAMBELEKABISA #YKMK ambayo itatoka hivi karibuni.












