Friday, July 31, 2015
Mkito Mpya | Usiku Mmoja - Mansu-Li
Mkito Mpya | Do for me - Young Killer Ft. Maua Sama
Usipitwe na wimbo mpya wa Young Killer na Maua Sama - #DoForMe
Link > https://mkito.com/song/do-
Mkito Mpya | Imebaki Story - HEMEDY PHD
Sikiliza story iliyomtokea Hemedy Phd, mkasa alioamua kuutungia wimbo
huu na kuutengenezea video ambayo inatoka hivi karibuni! #ImebakiStory
Pakua hapa > http://bit.ly/ImebakiStory
Video itazame hapahttps://www.youtube.com/watch?v=m9p1Y6QHSDY
Video itazame hapahttps://www.youtube.com/watch?v=m9p1Y6QHSDY
Tuesday, July 28, 2015
#WazoLaDefxtro #DefQuotes
Wazzup Ma Pipo #ishiukweli #wazoladefxtro follow @defxtro.. Miaka ya
Tisini Ujana ulikua maji ya moto haswa. Sasa hivi Ujana ni maji ya Betri
kabisa. Bora ushauriwe na watu kuliko Uamuliwe na watu #Usikurupuke
#TulizaKichwa powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica www.vmgafrica.com #SupportYourOwn
Saturday, July 25, 2015
Mkito Mpya | Ganda la ndizi - Shilole & Nuh Mziwanda
Shilole pamoja na Nuhu Mziwanda au kama wanavyojiita SHIWONDER wanakuletea drama mpya iitwayo GANDA LA NDIZI. Pakua wimbo hapa
https://mkito.com/song/ganda- la-ndizi/15358











