
Banana Zoro
Msanii Banana Zoro ameweka wazi kuwa katika ratiba zake nyingi za muziki alikuwa na mpango wa kutengeneza ngoma na msanii kutoka kenya wyre so kwa sasa yupo
kwenye mchakato wa kufyatua kazi poa sana akiwa amemshirikisha Wyre "The Love Child"...