Home »
News
» WEMA SEPETU KUTOA MILIONI 13 KUMTOA KAJALA
Wema Sepetu alifuata pesa Benki baada
ya mahakama kutoa hukumu mapema leo
hii juu ya kesi ya Kajala na hukumu yake kutajwa kwenda jela miaka 5 au
kulipa faini ya
Milioni 13. Wema amejitolea kuamua kumsaidia Kajala ili
aweze kutoka.
0 comments:
Post a Comment