ukurasa wake wa Facebook, aliandika kuwa amezuiliwa kufanya Interview katika kituo kimoja cha redio maarufu sana hapa Bongo ...
Sababu iliyomfanya kuzuiliwa kufanya mahojiano hayo ni kuwa alikuwa amevaa viatu vya bafuni [Ndala] pamoja na VEST ...
Kitendo hicho kimeonekana kumkasirisha sana Sir Nature na kufikia kufanya ngoma hii akiliongelea hilo ...
Katika ngoma hiyo mpya ambayo bado haijatoka, Wanaume Halisi wakiwa na Nature ameonekana kumchana mtangazaji huyo aliemfanyia kitendo hicho cha kumzuia ...
Sikiliza kipande cha ngoma yenyewe hapa chini ...
0 comments:
Post a Comment