Home »
News
» TANZANIAN BLOG AWARDS,SHINDANO LA MWAKA HUU 2013
Vipengele vya Kushiriki na Sheria za Shindano la Mwaka Huu 2013 Tafadhali
soma vizuri.
Mwaka huu tumebadilisha,vipengele vya shindano letu na
sheria ya shindano letu. Kwa blog yako au blog unayotaka ipendekezwe
tafadhali wataarifu bloggers hao, hatutaki kushirikisha bloggers ambao hawataki
kuhusishwa katika shindano hili. Sasa ili tujue kuwa blogger huyo
unayempendekeza amekubali au anajua kushirikishwa kwake katika shindano
hili mwambie alink blog yake katika shindano letu.
Jinsi ya kulink
1. Aandike post kuhusu shindano hili na kuwataarifu wasomaje wake katika post hiyo alinki kwetu...Tanzanian blog awards link.
2. Kama blog unayoipendekaza hatafanya hivyo blog yake haitashirikishwa
3.
Unaweza kupendekeza blog katika vipengele vingi upedavyo lakini katika
kila email unayotuma ni blog moja tu utaruhusiwa kuipendekeza kwa wakati
mmoja
mfano: Kwenye subject unaandika jina la blog unayotaka kuipendekeza
tanzanianblogawards.blogspot.com
Kwenye body ya email unaandika vipengele unayotaka blog hiyo ishirikishwe
Best Agriculture
Best Beauty/Fashion Blog
etc etc
4.
Email iwe ni ya ukweli kama tukiwa tunataka kuwasiliana na wewe kuhusu
link ya blog uliyopendekeza tuweze kufanya hivyo na tuma mapendekezo
yako kwa hii hapa
Email
nomination@bloggersassociationoftanzania.com
au tanzanianblogawards@gmail.com
5. Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ni
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 30/8/2013 saa 11:59pm saa za Africa mashariki
Vipengele
Best Agriculture
Best Beauty/Fashion Blog
Best Business Blog
Best Creative Writing Blog
Best Design/Graphic Design Blog
Best Educational Blog
Best Entertainments
Best Food Blog
Best General Blog
Best Inspiration Blog
Best Newcomer Blog
Best News Blog
Best Photography Blog
Best Political Blog
Best Religion Blog
Best Sports Blog
Best Technology Blog
Best Tots Blog (17 yr old and below)
Best Travel Blogs
0 comments:
Post a Comment