"Kesho ni tarehe 15 ya Mwezi Oktoba nitaweka wimbo wa Unisamehe (remix) ambao
nimemshirikisha Producer Dr Eddo.Hii ni katika kuendeleza mpango wangu wa kuachia ngoma mpya kila mwezi. Usikose kufuatilia uweze kusikia uwezo mkubwa uliokutanisha vichwa viwili vikali"..Bob Haisa
0 comments:
Post a Comment