Ommy Dimpoz ameachia rasmi audio ya wimbo wake 'Ndagushima' ambao video yake inafanya poa sana katika vituo mbalimbali vya Television.Wimbo huu umetayarishwa na Tudd Thomas.
Usikilize na Download ha...
Tazama video mpya ya Msanii Mr Digital Kutoka Babati Manyara.audio imetengenezwa ndani ya studio za Jams Records,Muongozaji wa video hii ni Dir Lameck.kwa mawasiliano zaidi unaweza kumcheki Mr Digital kwa simu namba 0655 922 0...
Msanii kutoka Rock City,Mwanza 'Sajna' ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Mpiro Mpiro',Imetengenezwa ndani ya studio za K-Records na Mtayarishaji wa ngoma hii ni Lolipop
Isikilize na Download ha...
Rapper Chiku K ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Wanashindana',ndani ya ngoma hii amewashikilisha wasanii kama Tifa, Brown Suga, Stoch na Walter Chilambo.Studio iliyoandaa ngoma hii ni Tongwe Records.
Isikilize na Download ha...
Rapper Mansu Li ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Kila Sababu', ndani ya ngoma hii amemshirikisha Msanii wa miondoko ya RnB 'Damian Soul',ngoma imetayarishwa ndani ya Studio za Tongwe Records.Isikilize na Download ha...
Msanii J. Martins kutoka Nigeria ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Dance 4 Me'
Hello
friends, My New Song titled "Dance 4 Me" is Dedicated to all our
beautiful women out there and those who love and respect our beautiful
women! Download and enjoy Dance 4 Me.Aliandika...
Baada ya kufanya poa na ngoma ya 'Otea Nani' Msanii Nuh Mziwanda ameachia ngoma yake nyingine mpya inayoitwa 'Msondo Ngoma',Ngoma hii imetengenezwa ndani ya Studio za Mazuu Records pia ndani utamsikia Msanii Shilole aka 'Shishi baby' ambaye ndiye 1st lady wa Nuh Mziwanda .Isikilize...
Msanii Baby Madaha aka Gal Blader ambaye yupo chini ya label kubwa
jijini Nairobi, Kenya ‘Candy n Candy’, ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Nawaponda’. Wimbo
huu umetengenezwa na Producer Joe kutoka Candy n Candy Records. Itazame ha...
Angalia picha za utengenezaji wa video ya wimbo mpya wa Chege na
Temba "Wauwe" ambayo imeshutiwa ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Kambarage Nyerere.wimbo umetengenezwa kwenye studio za Mkubwa na Wanawe Producer ni Shirko na muongozaji wa video hii ni...
Msanii wa Hip Hop, Reggae na Dancehall kutoka Kenya 'Nazizi' ameachia video ya ngoma yake mpya inayoitwa '254'.Ngoma imetengenezwa ndani ya studio za Love Child records zinazomilikiwa na Msanii wa Reggae na Dancehall 'Wyre'. Producer wa ngoma hii ni 'Ibrahim Alex'.Itazame...
Baada ya kuachia ngoma mbili Number One remix ya Diamond Platnumz akimshirikisha Davido na Asante ya AY akimshirikisha Dela,
Lamar amekuja na Refix nyingine safari hii amedondosha Refix ya wimbo wa Ommy Dimpoz akimshirikisha Vanessa Mdee "Me and You".Sikiliza na Download...
Msanii kutoka Endless Fame kampuni inayomilikiwa na Super Star Wema Sepetu,
Mirror ambae alifanya poa na ngoma yake ya Baby ameachia ngoma nyingine mpya
inayokwenda kwa jina la Kolokolo.Isikilize na download ha...
Song: mguu pande mguu sawa
Artist: stamina ft walter chilambo
Studio: one love fx
Producer; tiddy hotter
Song writer: stamina (verse),walter (choruss)
Intro;stamina
Yeaaah,,,u know what tiddy
One love fx again men
Iz moro town in da house
Shorwebwenzi on this one
Vers...
Wimbo huu unazungumzia matatizo ya kinyumba zaidi na kimaisha kati ya mke na mume
haswa lipo kwenye kutokua na kipato kikubwa na kati yao mwanamke kutokua
na uvumilivu kutokana na maisha halisi ya mumewe na kazi anazofanya
kwahiyo katika wimbo huu unazungumzia zaidi wanawake...
Msanii Chipukizi wa nyimbo za dini kutoka Mwanza Matheo Zengo ameachia wimbo wake mpya 'Tuhurumie'. Wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio za Sound Lab Records zilizopo Usagara jijini Mwanza.Usikilize na download h...
Rapper Stamina ameachia ngoma yake mpya Mguu Pande Mguu Sawa akimshirikisha Walter Chilambo.Ngoma imetengenezwa na Producer Tiddy Hotter kutoka Studio za One Love Fx.Isikilize na Download ha...
Baada ya kufanya poa sana na wimbo wake 'wakawaka' kwenye kombe la dunia mwaka 2010,Shakira amerudi tena na kibao kingine 'La La La' maalum kwenye kombe la dunia mwaka huu ndani yake imehusisha familia nzima ya Shakira, mwanae pamoja na
mpenzi wake ambaye ni mwanasoka wa...