Wimbo huu unazungumzia matatizo ya kinyumba zaidi na kimaisha kati ya mke na mume
haswa lipo kwenye kutokua na kipato kikubwa na kati yao mwanamke kutokua
na uvumilivu kutokana na maisha halisi ya mumewe na kazi anazofanya
kwahiyo katika wimbo huu unazungumzia zaidi wanawake kutokua na uvumilivu na kipato cha mwenza wake.
0 comments:
Post a Comment