
909 waja tena kwa nguvu na Wimbo huu
usemao sikubali kushindwa, wasikika ndani ya Wimbo huu wakisema “I used
to be a problem, now am the solution” Sikiliza ngoma hii na wewe upate
matumaini na ni uhakika ukiisikiliza mara moja tu, “sikubali kushindwa”
itakuwa slogan ya...