Friday, January 2, 2015

New Video : Isaya - Kamotokaa

Baada ya kutamba na nyimbo zake
zilizopita, Isaya Wa Adorina ameachia video ya
wimbo wake wa 'KAMOTOKAA'. Mazingira ya
hii video ni USWAZI kabisa. Hebu utizame
hapa halafu tuambie unazingumziaje hii
video yake Kisha
share na washikaji
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support