Tuesday, February 17, 2015

New Music : Christian Bella - Ukimwona Remix

Ukiomuona” ni moja ya nyimbo kubwa Bongo Flevani ambayo ilifanywa na Diamond Platnumz, jina la Christian Bella tayari tunalo vichwani mwetu, moja ya wanamuziki toka Congo waliopo Tanzania na wanafanya vizuri sana kwenye muziki.
Pata picha ya hii ladha ya melody kali ya Christian Bella kwenye wimbo wa Diamond Platnumz !
Isikilize hapa “Ukimwona Rmx” alofanya King of the Best Melodies, Christian Bella.http://www.hulkshare.com/christian-bella-ukimwona-remix
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support