Belle 9 na Joh Makini wanakuletea wimbo wao mpya kabisa uitwao VITAMIN
MUSIC. Wimbo umetambulishwa rasmi leo kupitia East Africa Radio pamoja
na Mkito.com.
Pakua wimbo kupitia hii link: https://mkito.com/song/vitamin-music-ft-joh-makini/2...
Msanii kutoka kundi la Wakali Kwanza 'Joslin' ameachia video ya ngoma yake mpya
inayoitwa 'Tesa Nae' akimshirikisha Msanii wa Hip Hop 'Stopa'. Ngoma
imetengenezwa na Davie Dizzo kutoka Legendary Music na video imeongozwa na OJ kutoka Numark production .Itazame ha...
Video mpya ya wimbo wa "Lamsondo" kutoka kwa Bob Haisa hii hapa imeongozwa na Dir. Kenny Ukiyz kutoka Peace Film
Production na audio imetayarishwa na King Fenya kutoka Mbunda Record...
Kundi la Navy Kenzo akiwemo producer Nahreel pamoja na Aika wametoa
video ya wimbo wao wa kwanza kutoka kwenye album yao mpya iitwayo NIROGE,wimbo unaitwa I Just Wanna Love You....
Mwanamuziki Bob Haisa anatarajia kuachia video yake mpya hivi punde kupitia Ukurasa wake wa Facebook amesambaza picha na kuandika Zilikuwa siku sasa ni masaa kadhaa tu ya kusubiri kuitazama video yetu
mpya ya wimbo wa "Lamsondo" ambayo itakuwa hewani muda mfupi,Video
imeongozwa...
Kundi la Navy Kenzo akiwemo producer Nahreel pamoja na Aika wametoa
wimbo wao wa kwanza kutoka kwenye album yao mpya iitwayo NIROGE.
Navy
Kenzo waliingia kwa nguvu kubwa wakiwa na style ya tofauti kabisa
kwenye vibao kama CHELEWA na ONE DOLLAR ONE DAY na sasa...
Rich Mavoko amekuja na track mpya kabisa iitwayo Pacha Wangu. Video imetengenezwa S.A chini ya director mkali Adam Juma https://www.youtube.com/watch?v=ZgYICVvuDts
Audio inapatikana hapa https://mkito.com/song/pacha-wangu/2782
Enjoy good musi...
Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Pacha Wangu.audio ya imetengenezwa na Mazuu Records na Muongozaji wa video ni Adam Juma.Itazame hap...
Mkubwa na Wanawe wanaendelea kutoa nyimbo mpya za album yao. Pini mbili
mpya hizi hapa MSAMAHA na BORA KIJIJINI zinakuja kwenu rasmi kupitia
Mkito.com
Bora Kijijini: https://mkito.com/song/bora-kijijini/2756
Msamaha: https://mkito.com/song/msamaha/2757...
After weeks of anticipation and intense expectation, Triple MG frontline
artiste, Iyanya, releases the video to his banging hit track “Mr Oreo”.
One of the tracks off the Triple MG album, “Mr Oreo” was produced by
in-house producer, Selebobo. The video, directed by Mega...
Ngoma 2 kali za G Nako zimetoka rasmi leo. Haina
haja ya kusema mengi, G Nako amefanya mambo makubwa hapa!
SONGS
Mavijana Ft. Nikki Wa Pili - https://mkito.com/song/mavijana-ft-nikki-wa-pili/2721
Chunga sana unyumba Ft. Barnaba and Lord Eyez - https://mkito.com/song/chunga-sana-unyumba-ft-barnaba-and-lord-eyez/2722
Twitter:...
Albam mpya ya Saviana Daffi "Ninakutukuza Mungu" sasa inapatikana kwa wapenzi wote wa muziki wa Injili. Bofya hii link kuipata https://mkito.com/artist-profile/saviana-daffi/749. ...
De Fatality Music & H2O Music are proud to present the video for
Mesen Selekta "Kanyaboya". The audio is produced by Mesen Selekta. The
video directed by Msafiri Shabani (Kwetu Studios)....
'Bob Haisa' kutoka Misungwi,Mwanza ameachia ngoma yake mpya 'Ngoma Inogile' akimshirikisha Malkia
wa Taarabu asilia 'Bi Shakila' kutoka Dar Es Salaam,ngoma hiyo imetayarishwa na King Fenya kutoka Mbunda Records.Sikiliza na Pakua h...
Professor Jay ameachia video mbili mpya "Tatu Chafuhttp://youtu.be/xfJ_pyXXT20 na Kipi Sijasikia http://www.youtube.com/watch?v=9pt0s-16DvI&list=UUxj74nkDXr-LRoapPwJrTAg aliyomshirikisha Diamond Platnumz" En...
Msanii John Rodgers ametoa ngoma mpya leo inaitwa "YOU MAKE MY
HEART SING FT. SHILAH" sasa ipoHAPAhttps://mkito.com/song/you-make-my-heart-sing-ft-shilah/2634
John Rodgers amesema:
"Kwa
mara nyingine JOHNRODGERS FT SHILAH naachia ngoma nyingine na ngoma hii
inaitwa...
Anaitwa Chambo Raba Raba ambaye yupo lebo katika studio ya Revolution sound chini ya Producer Deey Classic na ngoma imetengenezwa na deey classic na doncher wimbo unaitwa Bye bye
...
Wimbo umerekodiwa katika studio ya Flexible Music pamoja na Combination Sound,ambapo waliotengeneza huu wimbo na kuuimba ni watarishaji wa muziki (The Producers) katika hizo Studio,MBATIZAJI na MAN WAT...
SURA YAKO (YOUR FACE) - the fourth single
off upcoming Sauti Sol third album: LIVE AND DIE IN AFRIKA. The video
plays out a typical Kenyan pre-wedding ceremony (ruracio). SURA YAKO has
been produced by Sauti Sol/ co-produced by Cedric "Cedo" Kadenyi. The
video has been...