Saturday, October 20, 2012

MISUNGWI STARS YALIZWA NA BIASHARA FC

Mabingwa wa soka Wilaya ya Misungwi,Misungwi Stars leo wamekubali kichapo cha mabao mawili 2-0 kutoka kwa washindi wa tatu wa kombe la polisi jamii Wilaya ya Misungwi, Biashara FC.
Mabao ya Biashara FC yamefungwa na John Paul dakika ya 51 pamoja na Yona Ndabila dakika ya 89.
Fainali ya kombe hilo itapigwa kesho baina ya Nange FC na Misasi Stars.
Share:

Friday, October 12, 2012

IJUE MISUNGWI

 Misungwi ni Wilaya inayopatikana katika Mkoa wa Mwanza.
Wakazi wake (wenyeji) ni wasukuma,vivutio  vingi vinapatikana katika wilaya hii kama ngoma za asili n.k.
Wakazi wake ni wakarimu na wanaoweza kuishi na makabila mengine bila ubaguzi.
Karibu Misungwi kwa ukuzaji na uboreshaji wa maisha yako.
Share:

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support