Showing posts with label Lyrics. Show all posts
Showing posts with label Lyrics. Show all posts

Tuesday, April 14, 2015

New Music/Lyrics : Diamond Feat. Khadija Kopa - Nasema nawe

Pamoja na kuwa wimbo mpya wa Diamond ulishfikia wengi kwenye mitandao inabidi kukubali kazi ya huyu kijana na kusikiliza Original Master Copy ya wimbo NASEMA NAWE aliyomshirikisha Khadija Kopa. Wimbo unapatikana rasmi kupitia hii link ya Mkito https://mkito.com/song/nasema-nawe/13840

Pia furahia lyrics tamu kutoka kwa Diamond na Khadija Kopa.

VERSE 1 

Halloooo 
Aah, Kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchoka 
Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usoka 
Washinda vibarazani ya wenzako kuropokaaa 
Kwa kuwa umemuona Fulani ona usoo ulivyokukoboka 
Sio mwisho vibaoni adi kwenye vigodoroo 
Usio na haya usoni kote wazua migogoro 
Ivi wewe haujioni kuwa unakasoro 
Uso mchana jioni si wajuz si tomorrow 
Sio mwisho vibaoni kwenye vigodoroo 
Usio na haya usoni kote wazua migogoro 
Hivi wewe haujioni kuwa unakasoro 
Uso mchana jioni si wajuz si aaaah! 

CHORUS 
Nasema naweee x3 
Uso haya nasema nawe 
Umezoea (nasema nawe) 
Chezea chezea (nasema nawe) 
Aaah!! Umezidi (nasema nawe) 
Zidi (nasema nawe) 
zidi (nasema nawe) 

VERSE 2 
Mmmmmhhh, mmmh 
Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaa 
Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataa 
Usio hiana fedhuri uongo umekuja 
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa 
Aagah!! Mwanzako mim turufu si garasa 
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa 
Tena jokali la nguvu makarata 
Lile hodari maguvu si kwasakwasa 
Ooohh!!! Mwenzako mimi turufu si garasa 
Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa 

CHORUS 
Nasema naweee x3 (nawe nawe oh) 
Uso haya nasema naweee 
Nasema naweee x 3(nawew oh) 
Nimechoka nasema nawee 
Umezoea (nasema naweee) 
Chezea chezea (nasema nawee) 
Aaah!! Umezidi (nasema naweee) 
Zidi (nasema naweeee) 
Uso haya nasema naweee 
Oooohhh!!! (nasema naweee) 
Nasema nawee x 3 (nawew oh) 
Nimechoka nasema nawee….
Share:

Saturday, November 8, 2014

New Music + Lyrics : Endru G - Sholela

Endru G mzee wa Skola anakuja na kibao chake kipya SHOLELA. Ujumbe wa wimbo huu unapatikana vizuri zaidi kupitia lyrics zake zilizopo hapa chini.



SHOLELA BY ENDRU G

Sholelaaa....uh badili tabia we,uh badili tabia wee.sholelaa,badili tabia we sholela sholelaa uyeee..ooh ohh..worker…

VERSE 1
Nikweli umeumbika lady,kila jicho linakuona wewee,uzuri wako niwakipekee lakini kinachokuponza ni tabiaa, warembo mbona wako wengi eh,ila moyo umekuona wewee,ah unanigeuza mjinga sababu ninakupenda ahaah, kwani nilidata na ilo penzi lakoo,ila we unanichuna,amini ukukugana na moyo gwane,indumbula we bitee X2

CHORUS
ujanja mwingi mbele giza usijione unaweza,sholelaa,dunia hii tunapita elewa mwisho utafikaa,ujanja mwingi mbele giza usijione umemalizaa,sholela,dunia hii tubapita elewa miaho utafikaaa

VERSE 2
Uzuri wa usoni ungekuwa na na moyoni,usingepata tababu we niwakuwekwa ndani,kuliko kubadili awo mabwana every day,wanakutumia na kukuacha,uzuri wakoo,ingekuwa na moyoni ,usingepata tabu wa ni wakuwekwa ndani,amini today bora mimi nitembee ,dunia ikakufunze wewe, kwani nilisadata na ilo penzi lako ,ila we ukanichunaa,amini ukukugana na moyo gwane,indimbula we biteee X2

CHORUS
ujanja mwingi mbele giza usijione unaweza,sholelaa,dunia hii tunapita elewa mwisho utafikaa,ujanja mwingi mbele giza usijione umemalizaa,sholela,dunia hii tubapita elewa miaho utafikaaa

BRIDGE
Sholela, ujana aufai, sholela, kubadili mabwana , sholela., kutembea na wanaume za watu, sholela, ujana aufai hiiiii

CHORUS
ujanja mwingi mbele giza usijione unaweza,sholelaa,dunia hii tunapita elewa mwisho utafikaa,ujanja mwingi mbele giza usijione umemalizaa,sholela,dunia hii tubapita elewa miaho utafikaaa
Share:

Friday, October 17, 2014

New Music : Hisia - Mawazo (With Lyrics)

Msanii Hisia ambaye aliiwakilisha vyema sana nchi yetu katika mashindano ya Tusker Project Fame mwaka jana anakaribia kuachia wimbo wake mpya uitwao GIVE ME A CALL hapo tarehe 25 Octoba katika show ya live. Katika kuusubiri wimbo huo tujikumbushe track yake ambayo imeshika chati nchini Kenya kwa wiki 6 mfululizo iitwayo MAWAZO. Wimbo huu pia unapatikana kama acapella, yaani vocal tu, ili wapenzi wake tusikie ni kwanini Hisia aliweza kufanya vizuri vile kwenye mashindano ya Tusker Project Fame.

Kwa wale wote watakao taka kufika kwenye show yake itafanyika tarehe 25/10/2014 Alliance Francaise kuanzia saa moja jioni.

Share:

Tuesday, July 15, 2014

Bob Haisa - Ramadhan Kareem (Lyrics + acapella)

Chorus
Yaa shahar ramadhan khair min alfu shahar ooh! 
shahar ramadhan khair min Alfu shahar×2

Verse1
Mwezi ulojaa amani 
utulivu wa duniani 
huzidi za waja imani 
ufikapo yaa ramadhan
 Karibu ramadhan
karibu ramadhan
karibu ramadhan yaa shahar ramadhan,
karibu ramadhan 
karibu ramadhan
 karibu ramadhan yaa shahar ramadhaan
   
 Chorus
Yaa shahar ramadhan khair min alfu shahar ooh! 
shahar ramadhan khair min Alfu shahar×2

Verse 2
 You are the best than thousand month's, 
you are the best than thousand month's×2
 we are happy with you ramadhan Kareem, 
we don't want to loose you ramadhan kareem ,
we are proud of you ramadhan Kareem,x2
Twakufurahia ramadhan kareem
Hatutaki ututoke  ramadhan kareem
Uwepo siku zote  ramadhan kareem
ramadhan kareem Yaaaaaaaa yaaaaa 

Chorus
Yaa shahar ramadhan khair min alfu shahar ooh! 
shahar ramadhan khair min Alfu shahar×2

Bridge
yaa shaharr ramadhan karibu ya ramadhaan ramadhan kareem
yaa karibu ya ramadhaan karibu ya ramadhaan ramadhan kareem

 Chorus
Yaa shahar ramadhan khair min alfu shahar ooh! 
shahar ramadhan khair min Alfu shahar×2
Share:

Saturday, July 12, 2014

Izzo Bizness - Walalahoi (Lyrics)

Intro:
Walala hoi…Walala hoi…Walala hoi
Chorus:
Walala hoi sisi ndio Walala hoi (Walala hoi) x 4
moja haikai mbili haikai mbaya wako ni jirani babu (Walala hoi) x 4
Verse 1:
Tunaunga unga maisha yetu ni safari bado tunataabika (Walala hoi) / tunakomaa maisha ni
safari imani ipo bado sisi mbali tutafika (Walala hoi) / tumazaliwa kwenye njaa njaa imetulea
sisi home mali hatujakuta (Walala hoi) / mama Yanga baba Simba upinzani babu ndani yani kila
dakika (Walala hoi) / kupinda ni sheria usishangae huku kwetu mbona imeshazoeleka (Walala
hoi) / hatujasoma dili chafu leta pesa babu hata iwe dili ya kuteka (Walala hoi) / tunaonekana
hatuna maana tunatengwa kona zote twa dharaulika / majina yote sisi Vidampa wapumbavu wezi
majambazi yote wametupachika / Rhumba kali wewe utadata/ soma pata ondoa shaka/ faster
umenipata chafu tatu maisha karata/ maisha bondi kukosa na kupata / jela nyummbani hakuna
kuogopa sheli tunamoka/ sisi machizi kama kaboka/ uchungu wa meno na kucha kamuulize
Ulimboka /
Chorus:Repeat
Verse 2:
Roba za mbao mtaani ni nani kaleta? (Walala hoi) / kulogana logana tu bila sababu mtaani?
(Walala hoi) / majungu fitina unafiki umbea na chuki? (Walala hoi) / kazi ngumu tunapigika
lakini ujira ni mdogo babu (Walala hoi)/ toa kazi tumalize hatulazi kitu hapa sisi mwendo ni wa
CHAP-CHAP/ kwenye Bar hatukai zetu vilabuni yes sisi mwendo ni MATAPU-TAPU / bila
sababu tunakudiss tukijua umetuzidi sisi wala hatukukwepeshi / chuki roho mbaya jadi yetu
Mungu hapendi lakini sisi tumerithi / kila time tupo simple watu wa Mingle mawazo yetu
kwenye Bingo dr.Kingo ngoma zetu ni Segere na Msondo / sisi ndio wachezeshaji tuite Redondo
/ Rest in Peace James mtoto wa Dandu / hii game bado kwako japo upo kando / big brother the
Chase muulize Nando / kama Zay-B vile watu wapo gado /
Chorus:Repeat
Outro: Walala hoi…Walala hoi…Walala hoi…Walala hoi x 3…hoi hoi hoi Walala … hoi hoi
hoi Walala… hoi hoi hoi Walala.
Share:

Dayna Nyange - I Do (Lyrics)

ARTS :DAYNA NYANGE
SONG : I DO

VERS:1
NAHISI RAHA
MPENZI WANGU UNANIPA RAHA
RAHA RAHA
NAJIHISI MWENYE FURAHA
NAPATA RAHA
MPENZI WANGU UNANIPA RAHA
RAHA RAHA
NAJIHISI MWENYE FURAHA
KINACHONISHANGAZA
TWAPENDANA SIE KWA NINI UCHUKIE
VIBAYA WANITANGAZA
HONGERA ZAWADI NJOO UCHUKUE
NIKUPATIE KIPAZA
KWA SAUTI USEMA USIKIKE
BABY KASHA NIKATAZA
KANIAMBIA NITULIE
BRIDGE
I SEE IT BABY LOVE ON UR FACE
WHEN YOU KISS ME I FELL SO SWEET×2 CHORUS
I DO ×5
I DO BABY
I DO×5
ANYTHING U WANT I DO
I DO ×5
I DO BABY
I DO ×5
I KNOW YOU LOVE ME BABY I DO I DO BABY×4>I DO

VERS: 2
MAPENZI NIPELEKE
NIPELEKE KWA MY BOO
MAHABA NITAWALE NIKAMPATIE NAFUU
RAHA USIENDE MBALI
TWENDE WOTE USIKU HUU
NI USIKU SPECIAL MI NA MY BOO
YA ZAMANI NIMETUPA KULE
NACHOJALI NIWE NA WEWE DARLING
MAANA KALE NILIUMIZWA NA WALE
WALINITESA NAKUNILIZA
MAANA WALE
WALE WALE
HAWAKUJALI PENDO LANGU KIPINDI KILE

CHORUS
I DO×5
I DO BABY
I DO×5
ANYTHING U WANT I DO
I DO×5
I DO BABY
I DO×5
I KNOW YOU LOVE ME BABY I DO I DO BAB×4> I DO

KINACHONISHANGAZA
TWAPENDANA SIE KWA NINI UCHUKIE
VIBAYA WANITANGAZA
HONGERA ZAWADI NJOO UCHUKUE
NIKUPATIE KIPANZA
KWA SAUTI USEMA USIKIKE
BABY KASHA NIKATAZA
KANIAMBIA NITULIE
BRIDGE
I SEE IT BABY LOVE ON UR FACE
WHEN YOU KISS ME I FELL SO SWEET×2
CHORUS
I DO×5
I DO BABY
I DO×5
ANYTHING U WANT I DO
I DO×5
I DO BABY
I DO×5
I KNOW YOU LOVE ME BABY I DO I DO BABY×4> I DO

WRITTEN BY : DAYNA NYANGE
PRODUCED : TRISS STUDIO : CONGA MUSIC
Share:

Monday, June 9, 2014

Mwana FA ft. G Nako - Mfalme (Lyrics)


[Mwana FA]
Look around brother
Choir Master!
Ghetto Gospel (Yes!)
Keeping the good music alive!

[G Nako]
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh! (Mfalmee!)
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfaaalmeee

[Mwana FA]
Holla at ya boy!
Sinung'uniki sina viatu wenzangu hawana miguu
Hawalalamiki wanamshukuru Aliyejuu
Siwezi nikamletea makuu maombi ya kibraza du
Mbwembwe za kuomba magari nawaachia son I'm cool
Kama kipande cha kwanza cha mbao kwenye safina
Mimi ni kitu cha Mungu nafanya alichonituma
Kanipa ubongo na misuli na roho ya kitajili
Sina kitu ila sina roho mbaya tunaishi vizuri
Fukara nayeshukuru au tajiri nisiyekufuru
Najua bata najua hustle mi ni njiwa na kunguru
Kuna vingi vya kumuomba Mungu kabla hujamuomba utajiri
Naishi kwa mapenzi yake hakuna kitu naona hatari
Unapata ulichoandikiwa Mungu hakupi kama hataki
Hata ukipora itapotea ili mradi yatimie maandishi
Mi ndo vito wa kolioni vitu vinaisha my way
Nife nikiwa muumini na everything gon' be I man

[G Nako]
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh! (Mfalmee!)
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfalmeee
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfalmeee

[Mwana FA]
Najua anamipango, anafungua milango
Ndo anatoa michongo, namwita Mfalme Wa Jungle
Boss wa dunia yangu kanipa nguvu na ubongo
Mwenye maamuzi ya mwisho angetaka angeniumba fungo
Mafala wana midomo ka vicheche usiwe kati yao
Wanaosema wenzao rudi angalia maisha yao
Wengine hawana hata kalaki wanaita wenzao maskini
Haki nawaombea mabaya kama wanavyoniombea mimi
Ni hata mtoa wa roho ni malaika, na nahisi ataenda peponi
Achia kuhukumu sio kazi yako, we ni mwenzangu na mimi
Na una dhambi kama mimi, na hatujui kubwa za nani
Labda zako labda zangu, sio kazi yetu ni ya Maanani
Usiniwaze sana mi nawaza maisha yangu
Sina hata mia ya urithi vyote hivi ni vya kwangu
Nshaenda shule bila viatu, nshatoa funza kama buku
Na ipo siku utaniheshimu ama utaheshimu hela zangu

[G Nako]
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh! (Mfalmee!)
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfalmeee
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfalmeee
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh! (Mfalmee!)
Share:

Friday, May 23, 2014

Stamina ft. Walter Chilambo - Mguu Pande Mguu Sawa (Lyrics)

Song: mguu pande mguu sawa
Artist: stamina ft walter chilambo
Studio: one love fx
Producer; tiddy hotter
Song writer: stamina (verse),walter (choruss)
Intro;stamina
Yeaaah,,,u know what tiddy
One love fx again men
Iz moro town in da house
Shorwebwenzi on this one
Vers 1(stamina)
Peleka kitanda batani,kama unapenda ukeshe bar/
Sista duu muda hausimami,hata uivulie nguo saa/
Ishi kiushujaa,kama umepanga kambi ya jeshi/
Kati ya maarufu na star,maarufu anaongoza kwa deshi/
Ewe raisi wa wanyama,fanya sensa usisahau/
Mfuasi aliyesaliti chama,huku mjini bonge la nyau/
Tunza bible sio irizi,ufalme wa mbingu hauna fensi/
Ndo maana akifaga mzinzi,mazishi hatufanyi gesti/
Chagua kilicho best,kati ya copy na kupaste/
Je Yule aliyefeli maisha na class alifeli test?/
Hakuna demu anayejiuza,hicho ndo nikijuacho/
Nachojua wanakodisha,unatumia huondoki nacho/
Bitozi msaka mchumba,usiforce unapotemwa/
Piga goti kwa muumba,ikibidi akuumbe tena/
Mguu mmoja pande,mwingine urudishe sawa/
Hiyo ndo ishara ya kiafande,ya kuweka mambo sawa/
Chorus(walter chilambo)
Naamini kama nyuma ulikosea rudi
Weka mambo sawa na plan b
Unaweza fanya bora zaidi (muda bado)
Mguu pande(mojaaaaa)mguu sawa(mojaaaaa)
Nyuma geuka(moja mbili tatu mojaaa)…..x2
Mguu pandeeee(mojaaaaaa)mguu sawa(mojaaaa)
Nyuma geukaaaaaa.
Verse 2(stamina)
Mjini wanyama kibao,cha ajabu wanakula unga/
Mawazo ya vichwa vyao,dingi afe warithi nyumba/
Ewe kengeza,chunga usimcheke chongo/
Cha msingi muombe ebeneza,akupe vision yenye michongo/
Saka chaka kila sehemu,maana pesa ina machale/
Nyie mnaowinda mademu,hivi mna nyota ya mshale?/
Mnyamazie mshenzi,ukimjibu tu anatuna/
Hadi shoga nae ana mpenzi?,kweli madem mna huruma/
Mziki umejaa stress,ambazo haziishagi kwa pombe/
Mastar wamewekeza desi,wanakufa hawana hata ng’ombe/
Underground chondechonde,usiache shule kisa mziki/
Usuperstar una mabonde,na miteremko ya dhiki/
Yesu anarudi lini?,hilo swali ndo ujiulize/
Sio stamina utaoa lini,nitajibu tu niko bize/
Mguu mmoja pande,mwingine urudishe sawa/
Hiyo ndo ishara ya kiafande,ya kuweka mambo sawa/
Chorus(walter chilambo)
Naamini kama nyuma ulikosea rudi
Weka mambo sawa na plan b
Unaweza fanya bora zaidi (muda bado)
 Mguu pande(mojaaaaa)mguu sawa(mojaaaaa)
Nyuma geuka(moja mbili tatu mojaaa)…..x2
 Mguu pandeeee(mojaaaaaa)mguu sawa(mojaaaa)
Nyuma geukaaaaaa.
Vers 3(stamina)
Usitupe mayai kiholela,zalisha ili uache chata/
Maisha baiskeli ya delela,ukiinama chako unapata/
Kumpa kibogoyo mnofu,kisa nyama bei aghali/
Ni sawa na kumteta kipofu,huku kifikra anaona mbali/
Hakuna zali la mentali,kwenye sayari ya kupendwa/
Mlevi mnywa safari,je unajua unapokwenda?/
Acha mashauzi,sista duu genge linalipa/
Ujanja sio kwenda south,au china ili ukawe striper/
Mapenzi ni kutendwa,mpendaji jiamini/
Sharo ukiona unapendwa,ujue una nyota ya ukimwi/
Ni sawa na uote,usiku una kiss na jini/
Halafu uamke ujikute,una lips stick kwenye ulimi/
Unahitaji akili,sio mashavu yenye dimpoz/
Mwanaume jasiri,hajichubui kisa ana pimpoz/
Mguu mmoja pande,mwingine urudishe sawa/
Hiyo ndo ishara ya kiafande,ya kuweka mambo sawa/
Chorus(walter chilambo)
Naamini kama nyuma ulikosea rudi
Weka mambo sawa na plan b
Unaweza fanya bora zaidi (muda bado)
 Mguu pande(mojaaaaa)mguu sawa(mojaaaaa)
Nyuma geuka(moja mbili tatu mojaaa)…..x2
Mguu pandeeee(mojaaaaaa)mguu sawa(mojaaaa)
Nyuma geukaaaaaa.
Share:

Tuesday, March 11, 2014

SaRaha ft. Marlaw - Kila Ndoto (Lyrics)

Verse 1 - SaRaha
Share:

Friday, February 28, 2014

Walter Chilambo - Mavela (Lyrics)

Umeufunga moyo wako,nakushindwa kuufungua kabisa,Wangu Mavela..
Share:

Monday, February 24, 2014

SNURA - USHAHARIBU (LYRICS)

Verse ya 1
Unatafuta kick na upo kwenye muziki, Ndio kwanza unahit umetukana mashabiki
Share:

Wednesday, February 12, 2014

P SQUARE - TASTE THE MONEY (TESTIMONY) (LYRICS)

Ay ay ay!!
Share:

Sunday, February 9, 2014

T-PAIN FT. AKON & 2FACE - IF I GOT IT (LYRICS)

(Intro)
Share:

DAVIDO - AYE (LYRICS)

Le le le
Share:

Friday, February 7, 2014

BOB HAISA - TUPENDANE (CHORUS LYRICS SPECIAL FOR VALENTINE DAY)

Mimi na wewe tupendane tusitengane daima milele
Share:

Thursday, January 23, 2014

ANNA PETER FT. HELLEN - TUNAWEZA (LYRICS)

Share:

Saturday, January 18, 2014

JOH MAKER FT STAMINA-WANASEMAJE (LYRICS)

ARTIST-Joh maker ft Stamina
SONG- wanasemaje
STUDIO- Kwanza records
Share:

Thursday, November 28, 2013

BOB HAISA-NITHAMINI NIKIWA HAI (LYRICS)

Nithamini nikiwa hai usingoje nife unililie nisfie nikiwa hai nitakapokufa uniombeex2
Share:

Saturday, November 9, 2013

BOB HAISA-MEZA YA WANANDOA (LYRICS)

Share:

Saturday, October 19, 2013

SOLO THANG FT. MR BLUE-MDUDU (LYRICS)


INTRO
(DEFA
TALITY MUSIC)
YOU KNOW WHAT TIME IT IS   
ITS YA BOY BACK          (HELLO HELLO HALOOOO)
Share:

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support