Friday, February 28, 2014

Walter Chilambo - Mavela (Lyrics)

Umeufunga moyo wako,nakushindwa kuufungua kabisa,Wangu Mavela..
Umeupa moyo wangu pigo na majeraha yasoponeka,Wangu mavela mamaaaa…
Umegeuza na macho yako hutaki geuka nyuma kunitazama,mavelaa
Umeziba masikio yako oh oh oh hutaki kunisikiliza eee nimejua kosa langu mavela nisameheeeee….
Chorus
Ninakupenda Mavela
Ninakupenda Mavela…×3
Verse 2
Ninatamani kufanya moyo Wangu ukawe jokofu,ili nipoze moyo wako Mavelaa..
Ninatamani nikawe shamba..nawe ukawe Mbegu nzuri,naweza pata mavunoooo mazuri oh Mavela
Hivi ni kosa gani..lisilosameheka…unataka kwenda Mavela unanitesaaa
Na bado nakupenda nimekupa moyo wangu ..nimekupa maisha yangu… ooohh mavelaaa
Chorus
Ninakupenda Mavela
Ninakupenda Mavela…×3

Hook
Hata moyo Wangu wa subira peke yangu umeshindwa ipi kasoro Mavela
Shauku yangu ni wewe cheko langu Mavelaaaaaa
Hook
Mave…..mave…. Mavelaaaaaa×8
END
By Walter Chilambo .
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support