Mwanamuziki Mad Ice amerudi Tanzania kutoka nchini Finland ambapo ametoka kurekodi single yake mpya EVERYTHING I DO chini ya producer DJ Hermanni kwenye studio ya kimataifa ya Sonic Pump Studios (http://www.sonicpumpstudios. com/). Mara nyingine huwa inatosha kuangalia mandhari ya studio kujua kuwa kazi zinazotoka huko lazima ziwe na kiwango cha kimataifa. Tazama picha hizi za studio halafu tusubiri kusikia mapishi yake Jumatatu tarehe 20 Oktoka.
Showing posts with label Photos. Show all posts
Showing posts with label Photos. Show all posts
Saturday, October 18, 2014
Tuesday, October 7, 2014
Monday, May 26, 2014
Picha: Utengenezaji wa video mpya ya Chege na Temba 'Wauwe'
Angalia picha za utengenezaji wa video ya wimbo mpya wa Chege na
Temba "Wauwe" ambayo imeshutiwa ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Kambarage Nyerere.wimbo umetengenezwa kwenye studio za Mkubwa na Wanawe Producer ni Shirko na muongozaji wa video hii ni Adam Juma wa Next Level.