Sunday, September 22, 2013

HAPPINESS WATIMANYWA ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2013 (PICHA)


Mrembo Happiness Watimanywa,Alifanikiwa kuchukua Taji la Miss Tanzania 2013
ambaye  pia alitajwa kama Miss Photogenic kabla ya kupata ushindi huo wa Miss Tanzania, shindano hili lilidhaminiwa na Kampuni ya Kinywaji cha Redds na kufanyikia katika ukumbi wa Mlimani City Hall jijini Dar-Es-Salaam, Nafasi ya pili katika shindano hilo ilichukuliwa na Mrembo Latifa Mohamed na Nafasi ya Tatu ilichukuliwa na Mrembo Clara Bayo.
    
Mshindi wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa (katikati) akipunga mkono baada ya kutangazwa mshindi.Wengine kutoka kushoto ni Mshindi wa pili..Latifa Mohamed na kulia ni mshindi wa tatu..Clara Bayo.


         


Source;GongaMx





Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support