Tuesday, September 29, 2015

Mkito Mpya | Hapa Kazi Tu - Inspector Haroun

Nguli wa Bongo Flava Inspector Haroun kajibu mashambulizi ya Roma (Viva) katika huu wimbo wake mpya #HapaKaziTu

Link > http://bit.ly/HapaKaziTu
Share:

Mkito Mpya | Ben Pol Feat. Avril & Rossie M - Ningefanyaje

Anayejulikana kama undisputed king of RnB BEN POL amerudi tena baada ya kibao chake Sofia na kukuletea wimbo wake mpya aliyomshirikisha AVRIL. Usipitwe na hit mpya kutoka kwa BEN POL - NINGEFANYAJE?


_______________________

The undisputed Tanzania's King of RnB is back with a Brand new RnB Ballad called Ningefanyaje to be release 24th September, 2015. This song features Kenya’s Sweetheart Avril and Tanzania’s upcoming songbird Rossie M. This project is produced by Mswaki.
Ben Pol has taken part in Coke Studio Season 3 which will be aired on 10th October, 2015 and Ningefanyaje is among  the songs he performs with a live band of Coke Studio in Nairobi, Kenya. On Coke Studio Ben Pol is paired and collaborated with Kenya's Wangechi.
This single comes as a follow up of the successful hit record called Sophia which was released on 15th January, 2015. Sophia is rated the longest chart topping single of 2015 so far. Sophia has spread on airwaves and crossed boarders all over the East African Region and some other parts of Africa. 
______________________

Instagram: @iambenpol

for Bookings Contact

http://bit.ly/ningefanyaje
Share:

Mkito Mpya | Nakupenda - Switcher Ft. Quick Rocka

Sikiliza wimbo mpya Switcher Ft. Quick Rocka - Nakupenda!

Share:

Mkito Mpya | Sista Sista - Nakaaya Ft Lady Jaydee

 " I wrote this record in 2009 alongside an artist that i had looked up to, whom later on became a dear friend @jidejaydee It was produced by @dunga_santury_trinity at Fishcrab studios. The idea behind the song was an artistic idea of two close friends/ sistas dating the same man, and the expression of the frustration that comes with it.  we had a great time creating #sistasista" - NAKAAYA
Share:

Mkito Mpya | Usife Moyo - Mansuli Ft Dully Sykes

Umesikia wimbo mpya wa Mansuli?

Share:

Mkito Mpya | Usingizi - Tarsis Masela

"Baba mwenye nyumba amerudi wapangaji wanatafutana..." ndivyo unavyoanza wimbo wa Tarsis Masela (Akudo Impact) - USINGIZI!

Pakua hapa > https://mkito.com/song/usingizi/16319
Share:

Friday, September 18, 2015

New Video : Mtes - Baby

Artist: Mtes
Song: Baby
Audio Mastered by: Prince Clevor
Video Shooted by: Salim
Visualised by Mtes
Contacts:
WhatsApp: +255 713218555
Facebook: Geofray Mtes
Twitter: iamdjmtes
Instagram: iamdjmtes
Link ya Video ni>>>>>>>>  https://vimeo.com/138788330
Share:

Mkito Mpya | Nimepania - Sammisago Ft. Ben Pol

Kuwa wa kwanza kupakua kitu kipya kutoka kwa Sammisago akimshirikisha Ben Pol - Nimepania!

Share:

Mkito Mpya | Dully Sykes - Kwani wewe ni nani?

Prince Dully Sykes anakuja na mzigo mpya kutoka studio za Dhahabu Records. Wimbo unaitwa Kwani wewe ni nani?

Share:

Monday, September 14, 2015

Mkito Mpya | Jooh Harakati Feat. Walter Chilambo - September 14

"Nimefanya Track hii ambayo inaelezea nusu ya maisha yangu niliyopitia mpka hapa leo nilipo na kila nilichokiimba kinanigusa mimi kwa 100%. September 14 nilizaliwa na baada ya miaka 2 kupita baba alifariki na kubaki na mama, kaka na dada pia, mama alikomaa mpka wote tukapata misingi na tumezaliwa watoto 11, 2012 mama yetu mpendwa alifariki. Nakupitia Track hii nimeelezea Isikilize."
Jooh Harakati - 2015

https://mkito.com/song/september-14/16265
Share:

Saturday, September 12, 2015

New Video : Wyre - Kingston girl


This is the first single off Wyre's LION Album. Produced by Chimney Records off the Country Bus Riddim. Video by Young Wallace Productions. LION ALBUM Available on Itunes https://itunes.apple.com/ke/album/lio...
or www.wyre-music.com
Share:

Mkito Mpya | Young Killer - Mtanzania

Katika msimu huu wa kampeni za uchaguzi wasanii mbalimbali wamekuletea maoni yao kuhusu kiongozi bora wa kupigiwa kura ni yupi. Msikilize YOUNG KILLER katika wimbo wake mpya iitwayo MTANZANIA akitoa maoni yake.

https://mkito.com/song/mtanzania/16245
Share:

New Video : Tell Everybody - The Global Goals Campaign


Tell Everybody features Mafikizolo (South Africa), Yemi Alade (Nigeria), Diamond (Tanzania), Sauti Sol (Kenya), Toofan (Togo), Becca and Sarkodie (Ghana). Learn more about the Global Goals at http://www.globalgoals.org

Written, recorded, produced and released by Africans for the world, the song attempts to ignite the political passions of young people to hold their leaders to account in meeting the Global Goals for Sustainable Development: to end extreme poverty, fight inequality and fix climate change by 2030.

The historic signing of the Global Goals for Sustainable Development by 193 world leaders will take place on 25 September at the United Nations in New York.

To capture the voice of Africa’s youth, producers Cobhams Asuquo (Nigeria), David KING DAVID Muthami (Kenya) and Ellputo (Mozambique) launched a verse-writing competition and received 5712 entries from 24 African countries.

Help us get the goals to everyone on the planet. Share this video.

Join here and challenge your leaders to deliver the goals: http://www.one.org/telleverybody

Click here to download the track: http://po.st/TellEverybody
Share:

Mkito Mpya | Redsan - Shoulder Back

Huu ni wimbo mpya wa Redsan ambao umekua ukisubiriwa kwa hamu kubwa

Share:

Mkito Mpya | Utu Uzima Dawa - Nakaaya Feat. Dunga

"Its a song expressing my freedom from the chains that held me back as a woman and an individual. Its a song reminding me of my mothers advice.It does not matter how many times or how hard you fall. Its how you get yourself back up. 
I am now a proud single mom, happy and thankful to have and to raise my soldier alone. In truth utu uzima dawa. You live and you learn."- Nakaaya
Link > http://bit.ly/UtuUzimaDawa
Share:

Friday, September 11, 2015

New Song : Mtes - Baby

Artist: Mtes
Song: Baby
(Woju Cover)
Mastered by: Prince Clevor
Video Released on dis Sunday
Contacts
WhatsApp: +255713218555
Facebook: Geofray Mtes
Twitter: iamdjmtes
Instagram: iamdjmtes
Link ya Nyimbo ni hii>>>>> http://old.hulkshare.com/mupzqn5fo268
Share:

Thursday, September 10, 2015

Mkito Mpya | Staaay - Godzillah

Kutoka Switch Studios, King Zillah anadondosha pini jipya "Staaay" lililokaa kiutofauti
Link > http://bit.ly/STAAY
Share:

Mkito Mpya | Viva ROMA Viva - ROMA

Brand New kutoka Tongwe Records

Share:

Tuesday, September 8, 2015

Mkito Mpya | Fikiri Mara Mbili - Trubadour Feat. P The MC, Songa

Katika kipindi hiki cha uchaguzi, Trubadour akiwa na P The MC pamoja na Songa wanakusihi ukae chini na ufikiri kwa makini kabla ya kupiga kura!

Link > http://bit.ly/FikiriX2
Share:

Saturday, September 5, 2015

New Video : Flavour Feat. P Square - Sexy Rosey

Tazama video mpya kutoka kwa  Flavour Feat. P Square - Sexy Rosey
Share:

Mkito Mpya | Nakaaya - I am an African


The song 'I am an African' Was inspired by the genocide in both Rwanda and Kenya. I wrote it because i felt like alot of Africans have lost sight of who they really are and instead focused on very irrelevant issues such as tribalism or political affiliations. At the end of the day, we are all Africans and it should not matter what tribe, religion or country you come from. We are one! We should be proud.

Nakaaya - 2015

Share:

Wednesday, September 2, 2015

Mkito Mpya | Baki Na Mimi - Mr Blue Feat. Dunga

Umesikia mkono mpya kutoka kwa Dunga na Mr Blue? 

Fuata hii Link > http://b
Share:

New Video : Yamoto Band - Cheza Kwa Madoido

Tazama video mpya Yamoto Band - Cheza Kwa Madoido
Share:

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support