Monday, September 14, 2015

Mkito Mpya | Jooh Harakati Feat. Walter Chilambo - September 14

"Nimefanya Track hii ambayo inaelezea nusu ya maisha yangu niliyopitia mpka hapa leo nilipo na kila nilichokiimba kinanigusa mimi kwa 100%. September 14 nilizaliwa na baada ya miaka 2 kupita baba alifariki na kubaki na mama, kaka na dada pia, mama alikomaa mpka wote tukapata misingi na tumezaliwa watoto 11, 2012 mama yetu mpendwa alifariki. Nakupitia Track hii nimeelezea Isikilize."
Jooh Harakati - 2015

https://mkito.com/song/september-14/16265
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support