Monday, June 30, 2014

Orodha nzima ya washindi wa tuzo za BET 2014 iko hapa

Best Female R&B/Pop Artist
Beyoncé (WINNER)
Janelle Monáe
Jhené Aiko
K. Michelle
Rihanna
Tamar Braxton

Best Male R&B/Pop Artist
Pharrell Williams (WINNER)
August Alsina
Chris Brown
John Legend
Justin Timberlake

Best Collaboration
Beyonc̩ f/ JAY Z Р"Drunk In Love" (WINNER)
August Alsina f/ Trinidad Jame$ – "I Luv This"
Drake f/ Majid Jordan – "Hold On (We're Going Home)"
JAY Z f/ Justin Timberlake – "Holy Grail"
Robin Thicke f/ T.I. & Pharrell Williams – "Blurred Lines"
YG f/ Jeezy & Rich Homie Quan – "My Hitta"

Best Movie
12 Years a Slave (WINNER)
The Best Man Holiday
Fruitvale Station
Kevin Hart: Let Me Explain
Lee Daniels' The Butler

Best Actress
Lupita Nyong’o (WINNER)
Angela Bassett
Gabrielle Union
Kerry Washington
Oprah Winfrey

Best Actor
Chiwetel Ejiofor (WINNER)
Forest Whitaker
Idris Elba
Kevin Hart
Michael B. Jordan

Video of the Year
Pharrell Williams – "Happy" (WINNER)
Beyonc̩ Р"Partition"
Beyonc̩ f/ JAY Z Р"Drunk In Love"
Chris Brown – "Fine China"
Drake – "Worst Behavior"

Best Male Hip Hop Artist
Drake (WINNER)
Future
J. Cole
JAY Z
Kendrick Lamar

Best Female Hip Hop Artist
Nicki Minaj (WINNER)
Angel Haze
Charli Baltimore
Eve
Iggy Azalea

Best Group
Young Money (WINNER)
A$AP Mob
Daft Punk
Macklemore & Ryan Lewis
TGT

Subway Sportsman of the Year
Kevin Durant (WINNER)
Floyd Mayweather Jr.
Carmelo Anthony
Blake Griffin
LeBron James

Subway Sportswoman of the Year
Serena Williams (WINNER)
Brittney Griner
Lolo Jones
Skylar Diggins
Venus Williams

Best Gospel Artist
Tamela Mann (WINNER)
Donnie McClurkin
Erica Campbell
Hezekiah Walker
Tye Tribbett

Best New Artist
August Alsina (WINNER)
Ariana Grande
Mack Wilds
Rich Homie Quan
ScHoolboy Q    

YoungStars Award
KeKe Palmer (WINNER)
Gabrielle Douglas
Jacob Latimore
Jaden Smith
Zendaya

Centric Award
Jhen̩ Aiko Р"The Worst" (WINNER)
Aloe Blacc – "The Man"
Jennifer Hudson f/ T.I. – "I Can't Describe (The Way I Feel)"
LiV Warfield – "Why Do You Lie?"
Wale f/ Sam Dew – "LoveHate Thing"

Best International Act: UK
Krept & Konan (WINNER)
Dizzee Rascal
Ghetts
Laura Mvula
Rita Ora
Tinie Tempah

Video Director of the Year
Hype Williams (WINNER)
Benny Boom
Chris Brown
Colin Tilley
Director X

Best International Act: Africa
Davido (Nigeria) (WINNER)
Diamond Platnumz (Tanzania)
Mafikizolo (South Africa)
Sarkodie (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)
Toofan (Togo)
Share:

Baucha - Champododo (Official Video)

Tanzanian Bongo Star Baucha Performing Champododo Video Directed By Tonee Blaze Audio Produced By Paul Beat BoX Kruz.Watch
Share:

Sunday, June 29, 2014

K - Zungu - Nawaasa (Audio)

Tatizo Julius aka  K. Zungu kutoka Mwanza ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Nawaasa' Imefanyika JIA Records. Kwa mawasiliano zaidi mcheki kwa 0755688680.
Share:

Bob Haisa - Ramadhan Kareem (Audio)

"Mwenyezi Mungu muweza wa kila jambo ndiye aliyetupa fursa ya kuushuhudia Mwezi wake mtukufu wa Ramadhan, si kwa ujanja wetu Bali ni mapenzi yake tu. Nafungua kinywa changu kukiri na kusifu utukufu huu wa Mungu mkuu huku nikisema Ramadhan Kareem.Sikiliza tungo hii kisha tuseme wote RAMADHAN KAREEM" Bob Haisa
Share:

Saturday, June 28, 2014

Ben Pol ft. Joh Makini - Unanichora (Official Video)

Mwimbaji wa RnB Tanzania, Ben Pol ameachia video ya wimbo wake mpya 'Unanichora' audio imetengenezwa na Fundi Samweli na video imeongozwa na  Nisher.Itazame hapa
Share:

Shetta ft. Diamond Platnumz- Kerewa (Official Video)

Shetta ameachia video ya ngoma yake mpya 'Kerewa' akimshirikisha Diamond Platnumz,audio imetengenezwa na Sheddy Clever kutoka Burn Records na video imeongozwa na Godfather Productions.Itazame hapa
Share:

Kala Jeremiah ft. Nay wa Mitego & Mo Music - Simu ya Mwisho (Official Video)

Kala Jeremiah ameachia video ya wimbo wake mpya 'Simu ya Mwisho' akiwa amemshirikisha Nay wa Mitego na Mo Music,Audio imetengenezwa na Mona Gangstar kutoka Classic Sounds na video imeongozwa na Pablo.Itazame hapa
Share:

Friday, June 27, 2014

Flavour - I'm For Real (Official Video)

New music video by Flavour, performing his newest hit 'I'm For Real'. (c) 2014 2Nite Enter-10-Ment.Directed by Godfather Productions.Watch
Share:

Janu Rocka - Hit That (Audio)

Download na sikiliza ngoma mpya ya Janu Rocka kutoka Mwanza inaitwa Hit that,imetengenezwa na Vinas.
 bofya hapa ku-downloadhttp://www.hulkshare.com/louivinas/hit-that-janu-rocka
Share:

Mataluma ft. Msaga Sumu - Kinyume Nyume (Audio)

Baada ya kimya, Mataluma amerudi tena na ngoma yake mpya inayoitwa 'Kinyume Nyume' akimshirikisha Msaga Sumu,Mtayarishaji ni Nash Designer. Isikilize na Download hapa
Share:

Ben Pol - Upendo (Audio)

Mwimbaji wa RnB Tanzania, Ben Pol ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Upendo' Wimbo huu umeandikwa na mwalimu wa St. Augustine University of Tanzania (SAUT), anaefahamika kwa jina la Wynjones Kinye ambaye anafundisha masomo ya Mawasiliano ya Umma.Mtayarishaji ni Man Water.Usikilize na Download hapa
Share:

Nay wa Mitego & Mr Touch - Mr Nay (Audio)

Nay wa Mitego ameachia ngoma yake mpya iliyopo kwenye mradi wa producer wake 'Mr Touch' ngoma inaitwa 'Mr Nay' Isikilize na Download hapa
Share:

Dayna Nyange - I Do (Audio)

Baada ya kufanya poa sana na ngoma ya 'Mimi na Wewe' Dayna Nyange amerudi tena na ngoma yake mpya inayoitwa 'I Do',Imetengenezwa na Triss kutoka Conga Music.Isikilize na Download hapa
Share:

Kala Jeremiah ft. Nay wa Mitego & Mo Music - Simu ya Mwisho (Audio)

Kala Jeremiah ameachia wimbo wake mpya 'Simu ya Mwisho' akiwa amemshirikisha Nay wa Mitego & Mo Music,imetengenezwa na Mona Gangstar kutoka Classic Sounds.Isikilize na Download hapa
Share:

Jux - Nitasubiri (Official Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Jux ameachia rasmi video yake mpya inayoitwa 'Nitasubiri' audio imetengenezwa na Manecky kutoka AM Records na video imeongozwa na Zed Benson.Itazame hapa
Share:

Wednesday, June 25, 2014

Afande Sele - Miaka Kumi (Audio)

Afande Sele ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Miaka Kumi' Usikilize na Download hapa
Share:

Quick Rocka ft. Barnaba - Subiri Kidogo (Sukido) (Audio)

Quick Rocka ameachia ngoma yake mpya 'Subiri Kidogo (Sukido)' akimshirikisha Barnaba,imefanyika Switch Records producer akiwa ni  Nahreel.Isikilize na Download hapa
Share:

Makamua ft. Rama Dee - Jua Muda (Audio)

Download na Sikiliza ngoma mpya kutoka Makamua akimshirikisha Rama Dee inaitwa Jua Muda
Share:

Pasha - Papara (Official Video)

Tazama video mpya kutoka kwa Pasha inaitwa Papara Audio imetengenezwa na Geof Master kutoka Tongwe Records na muongozaji wa video ni Pizzo Mtena kutoka Skillz Videoz.
Share:

Diamond Platnumz,Davido, Tiwa Savage, MiCasa, Sarkodie & Lola Rae – Africa Rising (Official Video)

Video for Multi Choice Africa Rising project featuring African music stars including  Davido, Tiwa Savage, MI Casa, Sarkodie, Lola Rae, Diamond.
Video was filmed by Callback dreams and shot in Ghana.Watch

Share:

Joh Makini - Najiona Mimi (I See Me) (Audio)

Rapper kutoka kundi la Weusi 'Joh Makini' ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Najiona Mimi (I See Me)' imetengenezwa na Nahreal. Isikilize na Download hapa
Share:

Lamar ft. TID - Asha (The Refix) (Audio)

Baada ya kuachia ngoma sita  Number One remix ya Diamond Platnumz akimshirikisha Davido,Asante ya AY akimshirikisha Dela,Me and You ya Ommy Dimpoz akimshirikisha Vanessa Mdee,Sugua Gaga ya Shaa, 'Come Over' ya Vanessa Mdee na Roho yangu ya Rich Mavoko Lamar amekuja na Refix nyingine safari hii amedondosha Refix ya wimbo wa TID 'Asha' .Isikilize na Download hapa
Share:

Bob Haisa atimiza mwaka mmoja tangu aanze kutoa ngoma mpya kwa kila mwezi

 Mwanamuziki Bob Haisa leo ametimiza mwaka mmoja tangu aanze kuachia nyimbo zake mtandaoni kwa kila mwezi,akiongea na blog hii alisema kuwa "Leo ni siku muhimu kwangu kwani mwaka mmoja unatimia tangu nianzishe rasmi utaratibu wa kuachia ngoma zangu kupitia mitandao, nakumbuka wimbo wa amechoka wakukaya video ndo ulifungua dimba kwa kuingia mtandaoni kwa 'TASHTITI" nyingi, licha ya kwamba wimbo huu uliwekwa mapema na director Louis Bwenge. Tarehe ya leo ndo ulisambazwa rasmi na kuwafikia mafans wangu wengi hali iliyoamsha ari zaidi na kunifanya nitangaze rasmi kwamba kila mwezi nitaachia wimbo mmoja zoezi ambalo limefana vyema ndani ya mwaka mzima. Zaidi ya nyimbo kumi na mbili zimekwenda hewani na zimepokelewa poa sana na ma Djs na wanahabari pamoja na mashabiki na wapenzi wa muziki wangu,hii imekua njia nzuri na rahisi kwangu kuwafikia watangazaji wa Radio na Tv mbalimbali kwakua wanazipata ngoma kwa muda muafaka na kuzitendea haki.
Changamoto kadhaa nimekutana nazo lakini hazikuathiri zoezi hili kwani malengo hayajakwama na ndo kwanza safari inaanza, niwe muwazi kwa kuwashukuru wote walioniunga mkono katika zoezi hili endelevu linalohitaji ushirikiano na uungwaji mkono pia napenda kuwahakikishia wadau wangu kwamba kila tarehe 15 ya kila mwezi nitaendelea na zoezi la ngoma mpya moja baada ya moja. Ahsanteni Sana" Bob Haisa Yes.
Share:

Monday, June 23, 2014

Meninah - Kacopy Kapaste (Official Video)

Meninah ameachia video ya wimbo wake mpya 'Kacopy Kapaste',Audio imetengenezwa na Mesen Selekta.Itazame hapa
Share:

Sunday, June 22, 2014

Lameck Ditto - Tuongeze Bidii (Official Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Lameck Ditto ameachia video ya wimbo wake mpya 'Tuongeze bidii' umetengezwa na Ema The Boy kutoka Surround Sound Studio na Muongozaji wa video ni Sadiki Hamadi kutoka Redline Production.Itazame hapa
Share:

Jaykah Mtengwa - Hip Hop Ujamaa (Audio)

Majina kamili ni Javis Karani Mwangu jina la usanii ni Jaykah Mtengwa ana umri wa miaka 20, Ngoma inaitwa Hiphop Ujamaa' Imefanya chini ya studio za Ricky Recordz Producer akiwa ni Ricky.Isikilize na Download hapa
Share:

Kana Kape - Ng'wana wa Bukwingwa + Pili ng'wana wa kisukuma (Audio)

Download na sikiliza ngoma mbili kutoka kwa Kana Kape Msanii kutoka Rock City,Mwanza.Moja inaitwa 'Ng'wana wa Bukwingwa' na ya pili inaitwa 'Pili ng'wana wa kisukuma'
Share:

Saturday, June 21, 2014

Ally Nipishe - Mshamba (Audio)

Ally Nipishe ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Mshamba' ikiwa ni mkono wa Mesen Selekta.Isikilize na download hapa
Share:

Nakaaya - Blessing (Audio)

"As an artist, I thought of an everlasting way of expressing my love and appreciation to my son. So with the help of super producer D.X of Noizmekah production, we were able to cook a beautiful song from the depths of my heart. It is the start of many more records to come. Please download the song here. It is free!!! enjoy!"Nakaaya
Share:

Mkubwa na Wanawe - Nitajuta (Audio & Video)

Mkubwa na Wanawe wamekuja na ngoma yao mpya inayoitwa 'Nitajuta' imetengenzwa na producer Shirko.
Isikilize na Tazama video hapa
Share:

Coming Soon : Future Jnl - Worumo

Baada ya kuachia track ya 'Crazy' Future Jnl aongelea kuachia track nyingine mpya inayoitwa 'Worumo'.
"Worumo ni track ambayo itakuwa mpya masikioni mwa watu kwa sababu imekaa tofauti kidogo na style niliyozoeleka kufanya,hii itakuwa katka mahadhi ya Afro-Pop ambayo imetengenzwa na J Monster ndani ya Studio za Mega Town Records".Alisema Future Jnl
pia aliongeza kuwa ngoma hiyo itatoka tarehe 25.06.2014.

Share:

Gerry wa Rhymes - Elewa (Official Video)

 
Gelly Wa Rhymes ameachia video ya ngoma yake mpya inayoitwa 'Elewa' ikiwa imetayarishwa na Producer Manecky ndani ya AM Records na muongozaji wa video ni Adam Juma wa Next Level.Itazame hapa
Share:

Friday, June 20, 2014

2Face Idibia ft Bridget Kelly - Let Somebody Love You (Official Video)

Msanii kutoka Nigeria '2Face Idibia' ameachia video yake mpya 'Let Somebody Love You' akimshirikisha Bridget Kelly.Itazame hapa
Share:

Trey Songz - Foreign (Official Video)

Trey Songz was in South Africa earlier this month for the 2014 MTV Africa Music Awards, and the ladies across Africa loved him on the red carpet and on stage.
He has released his new music video called “Foreign“.
Watch

Share:

Linah ft. Diamond Platnumz - Kizai zai (Audio)

Linah Sanga ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Kizai zai' akimshirikisha Diamond Platnumz,Mtayarishaji ni Tudd Thomas.Usikilize na Download hapa
Share:

Vanessa Mdee - Come Over (Official Video)

Hatimaye Vanessa Mdee ameachia video ya wimbo wa Come Over ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu sana na Mashabiki wake.Audio imetengenezwa na Nahreel na muongozaji wa video ni Enos Olik.Itazame hapa
Share:

Thursday, June 19, 2014

Chege & Temba ft. Maromboso - Wauwe (Audio)

Chege na Temba wamerudi tena kwenye spika zako na ngoma mpya inayoitwa 'Wauwe' wakimshirikisha Maromboso kutoka Mkubwa na Wanawe,Mtayarishaji ni Shirko pamoja na Marco Chali.Isikilize na Download hapa
Share:

Wednesday, June 18, 2014

Tanzania All Stars - Tuulinde (Official Video)

Tarehe 14 June,2014 Wasanii mbali mbali walikusanyika mjini Dodoma kuzinduaVideo hii ambapo mgeni rasmi alikuwa Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi mbali mbali. Itazame hapa
Share:

Tuesday, June 17, 2014

Video : Uzinduzi wa video ya Jux 'Nitasubiri'

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Jux usiku wa kuamkia Juni 16, 2014 alizindua video yake mpya iitwayo 'NITASUBIRI' ndani ya Klabu Billicanas jijini Dar es Salaam.Tazama hapa ilivyokuwa.
Share:

Kiba Square - Pita Mbele (Audio)

Alikiba na Abdukiba (Kiba Square) wameachia ngoma yao mpya inayoitwa 'Pita Mbele' imetengenezwa na Abydad kutoka Chaiderz Records.Isiklize na Download hapa
Share:

Ngoma mpya ya Langa aliyomshirikisha Julio & TID iko hapa

Ni mwaka mmoja tangu kifo cha rapper Langa, imefahamika kuwa siku 5 kabla ya kufariki kwake aliweza kumalizia ngoma yake ya mwisho iliyokuwa inahusiana na maisha yake. Na ndio siku waliokutana na Julio Batalia aliyekuwa mshiriki wa BBA 2012 na kufikia hatua ya kumaliza kipande chao na kumsubiria TID ambaye mwaka 2013 siku hiyo alikuwa Uingereza na ilikuwa ombi lake la mwisho kwamba kwenye ngoma yake hiyo alikuwa anataka kumsikia mnyama TID angefanya nini kwenye chorus. Pata ngoma hii ambayo kila ukiisikiliza utagundua kuwa Langa alikuwa anaongea na mashabiki wake.
Share:

Monday, June 16, 2014

Navy Kenzo - Aiyola (Audio)

Baada ya kufanya poa na ngoma ya 'Chelewa',Navy Kenzo wamerudi tena na ngoma nyingine mpya inayoitwa 'Aiyola'. Isikilize na Download hapa
Share:

Rich Mavoko - Roho Yangu (Refix) (Audio)

Baada ya kuachia ngoma tano Number One remix ya Diamond Platnumz akimshirikisha Davido,Asante ya AY akimshirikisha Dela,Me and You ya Ommy Dimpoz akimshirikisha Vanessa Mdee,Sugua Gaga ya Shaa na 'Come Over' ya Vanessa Mdee Lamar amekuja na Refix nyingine safari hii amedondosha Refix ya wimbo wa Rich Mavoko 'Roho Yangu'.Usikilize na Download hapa
Share:

Dj Pro ft. Sat B & Mkombozi - Katoto Rmx (Official Video)

Dj Pro ameachia video ya katoto remix akiwa amewashirikisha Sat B na Mkombozi.Itazame hapa
Share:

Sunday, June 15, 2014

New Music: D’Banj – Alaye

Early on this week, D’Banj aka Kiniun Fun Fun (The White Lion) celebrated his 34th birthday. The #1 Entertainer in Africa, D’Banj drops a new song titled, “Alaye”.
It was produced by recently signed DB Records Artistes/Producers, 2Kriss. This year marks 10 years for D’Banj as an artist, expect a lot to happen before the end of the year!
Download & Listen herehttp://www.hulkshare.com/stargazelive/alaye
Share:

Future Jnl - Crazy (Audio)

Mkali wa miondoko ya RnB kutoka Rock City,Mwanza 'Future Jnl' amerudi tena  kwenye spika zako na single moja hatari "Crazy" akiwa peke yake kuonyesha zaidi uwezo wake katika muziki. Hebu chukua dakika zako kadhaa kumsikiliza na tupitia comment yako hapa.
Share:

Mayne K - Zawapi Hizo (Audio)

Hii ni ngoma mpya kutoka kwa Msanii Mayne K inaitwa 'Zawapi Hizo' imefanyka ndani ya studio za Sound Lab Records zilizopo Usagara,Mwanza. Isikilize na download hapa
Share:

Saturday, June 14, 2014

Bob Haisa - Lamsondo (Audio)

Mwanamuziki kutoka Rock City,Mwanza 'Bob Haisa' ameachia ngoma yake mpya yenye mahadhi ya Chakacha inayoitwa 'Lamsondo'."hii ni ngoma fulani hivi ambayo inanikumbusha uimbaji wa miondoko ya kipwanipwani ambao naupendaga sana".Alisema Bob Haisa wakati akiongea na blog hii.
Pia aliongeza kuwa huu ni mwendelezo wake wa kuachia ngoma mpya kwa kila mwezi.
Ngoma hii imetengenezwa na King Fenya kutoka Mbunda Records Isikilize na Download hapa
Share:

Heri Muziki - Nakukumbukaga (Audio)

Msanii Heri Muziki amekuja na ngoma yake mpya inayoitwa 'Nakukumbukaga',imeandikwa na Barnaba,KT na Heri Muziki.Mtayarishaji ni Producer Mswaki pamoja na Fundi Samweli bonyeza hapa ku-download na kusikiliza http://www.hulkshare.com/katongo/heri-muziki-nakukumbukaga
au
Share:

Rama K - Muda Wa Hatari (Audio)

"Hii ni freestyle yangu ambayo nahisi wadau wangu wanahitaji kuisikia" Rama K
bonyeza hapa kuisikiliza http://www.hulkshare.com/bpm6xb7acwe8
Share:

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support