Saturday, June 7, 2014

Matirio the IQ - Watazame (Audio)

Yule mkali wa ngoma ya Mapito iliyotamba na inaendelea kufanya poa katika media tofauti ndani ya jiji la Mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla,akitokea studio za Sound Lab Records,Mwanza 'Matirio the IQ' amekuja na ngoma mpya inayoitwa 'Watazame',humo kati utamkuta Matirio the IQ mwenyewe akiwa amekamata verse ya kwanza na kiitikio,Dash touch producer na Elly G...noma sana Colabo la kutisha,Tazama kimtazamo,Watazame walipo ndo jina la mchezo.bonyeza hapa kudownload.http://www.hulkshare.com/kbnmedia/material-ft-dash-touch-ell-g-watazame
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support