Sunday, June 1, 2014

Bob Haisa - Humolaga Mayu (live flute) (Video)

'Humolaga Mayu' ni neno la lugha ya kisukuma lenye maana ya 'Nyamaza Mama' kwa hiyo katika video hii bob Haisa anaonekana akimubembeleza mwanamke aliyepo katika Majonzi.Tazama Video yenyewe hapa chini


Share:

2 comments:

  1. kaka pole na majukum na asante kwa kutuletea habari motomoto za burudani.ila leo mi nna jambo linanitatiza yule mwanamziki wa kike Hush babe anasemekana kubobea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya. kuna ukweli kwenye hili? ni hayo tuu

    ReplyDelete
  2. mmh hayo tena ya Hush babe na madawa ya kulevya ni habari nyingine.ngoja tutege masikio kwenye vyombo vya hbr ila kama ni kweli atakua ameharibu maisha yake kisanii.

    ReplyDelete

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support