Saturday, June 14, 2014

Bob Haisa - Lamsondo (Audio)

Mwanamuziki kutoka Rock City,Mwanza 'Bob Haisa' ameachia ngoma yake mpya yenye mahadhi ya Chakacha inayoitwa 'Lamsondo'."hii ni ngoma fulani hivi ambayo inanikumbusha uimbaji wa miondoko ya kipwanipwani ambao naupendaga sana".Alisema Bob Haisa wakati akiongea na blog hii.
Pia aliongeza kuwa huu ni mwendelezo wake wa kuachia ngoma mpya kwa kila mwezi.
Ngoma hii imetengenezwa na King Fenya kutoka Mbunda Records Isikilize na Download hapa
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support