Wednesday, August 7, 2013

GERE ONE FT. DAN-NJOO BABY (AUDIO)


Msanii Gere One (Monga) Kutoka Nzega Tabora kaachia ngoma mpya iitwayo
njoo baby akija kwa miondoko ya kwaito na pia anatarajia kuachia album muda si mrefu iitwayo harakati kwa mahadhi mchanganyiko kwaito na Hip Hop kwa mawasiliano anapatikana kupitia +255765183246 kwa email ni geremanongusa@gmail.com.anahitaji support kubwa kutoka kwako na ushauri poa kuhusu muziki anaofanya.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support